Jinsi ubakwaji wa Demokrasia ulivyotokea kule Nyasa-Nyuma ya pazia

unatangaza blog yako na ukijaribu kufungua inaa ha virus katika pc yako kuweni macho mkitaka kufungu.

swissme
 
unatangaza blog yako na ukijaribu kufungua inaa ha virus katika pc yako kuweni macho mkitaka kufungu.

swissme
Ha ha ha.....unatishia watu virusi wakati kuna antivirus!!

Acha watu waujue ukweli wa mambo ....hivi hata wewe mwanabavicha unamtetea msigwa badala ya makamu mwenyekiti wako?

hili sakata la Nyasa....ni kama ile story ya ukisimama nchale na ukikimbia nchale.
 
Rambirambi za wahanga bukoba

swissme
 
Ipo mada yake....hapa tujadili ubakwaji wa demokrasia na chama kinachojinadi kuwa cha kidemokrasia
CZOtbHIWIAAu9q8.jpg

swissme
 
Sasa mambo ya chadema yanakuhusu nini falalao oh jingalao ?
Public has the right to know ....kuna kodi zetu mle zinaitwa ruzuku.
Kama chama kinaendeshwa kisanii ni vyema jamii ikatambua...Je mnatenda mnachohubiri?
 
Huo mtego wako wa kusambaza virusi utawapata wajinga wenzako.

Wagombea na wajumbe wenyewe wameshasahau wanakula krismas wewe hulali unahangaika na makala itakusaidia nini.
 
Wagombea na wajumbe wenyewe wameshasahau wanakula krismas wewe hulali unahangaika na makala itakusaidia nini.
Ukweli hauli krismasi mkuu ukweli hubakia kuwa ukweli tu....Nakubaliana na wewe kwamba wajumbe na wagombea wanakula krismasi kwani usanii ndio nguzo muhimu ya chama chenu...watanzania wameshawashtukia na wanapowanyima kura msisingizie kuminywa kwa demokrasia,kuibiwa kura au kukosekana kwa tume huru bali mkumbuke huu usanii na ukanyagaji wa katiba yenu ndio chanzo cha kutokuaminiwa na watanzania.
 
Back
Top Bottom