JINSI SKRILL INAVYOFANYA KAZI


T

tidninjas

Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
19
Likes
5
Points
5
T

tidninjas

Member
Joined Jul 18, 2017
19 5 5
Naomba kufamishwa ni kwa jinsi gan naweza kutumia skrill hapa Tanzania kutoa pesa mwenye uzoefu naomba msaada wake please!
 
kwa-muda

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
912
Likes
1,559
Points
180
kwa-muda

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
912 1,559 180
Naomba kufamishwa ni kwa jinsi gan naweza kutumia skrill hapa Tanzania kutoa pesa mwenye uzoefu naomba msaada wake please!
Unafungua account unadd bank account yako na kadi sijawahi kuhamisha ela kuja kwenye account yangu ya TZ hata mara moja ila uwa nahamisha kwenda checking account yangu ya payoneer iliyoko germany na uwa inachukua siku mbili kuweza kuwithdraw ela.
 
T

tidninjas

Member
Joined
Jul 18, 2017
Messages
19
Likes
5
Points
5
T

tidninjas

Member
Joined Jul 18, 2017
19 5 5
Ko iyo payoneer inapatikana au upo huko germany
 
kwa-muda

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2018
Messages
912
Likes
1,559
Points
180
kwa-muda

kwa-muda

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2018
912 1,559 180
Ko iyo payoneer inapatikana au upo huko germany
Una jiregister online unaweka 32 USD unaagiza kadi wanakutumia kwa njia ya posta unakuwa unaweza draw ela via atm ypypte inayo su[port master card
 

Forum statistics

Threads 1,237,089
Members 475,401
Posts 29,277,992