Jinsi Sirikali ilivyozima jaribio la TPDC Kuagiza Mafuta ili Kupunguza Bei kwa maslahi ya mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi Sirikali ilivyozima jaribio la TPDC Kuagiza Mafuta ili Kupunguza Bei kwa maslahi ya mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipira, Mar 16, 2011.

 1. k

  kipira Senior Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Wana JF, Mtakumbuka jinsi agizo kwa TPDC kupitia bunge kuagiza mafuta - ''bulk Purchase of petroleum Products'' likisimamiwa na mkuu wa kaya.

  Agizo hili lilizimwa kimtindo kwa maslahi binafsi ya wafanyabiashara wachale ili kuendelea kuwakamua Wa-tz vilivyo ili wao waendelee kuneemeka. Since then hakuna yeyote anayeliongelea tena swala hili huku M-TZ akiendelea kutaabika!
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  Maelezo yaliyomo katika Thraed hii, hayshabihiani na Kichwa chake. Umeanza na neno "Jinsi" na kuvuta hisia za wasomaji kuwa utatumwagia maelzo ya vitendo vilivyofanywa na wakuru huko serikalini. Lakini bahati mbaya katika maeleoz hyo haman kitu.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Ofcoz hata mimi nilijua mwanzisha mada angetutajia mbinu au namna ambayo ilitumiwa na mafisadi hao kuzima uamuzi wa kuagiza mafuta.
  Anyay angalau tumehabarika kuwa serikali iliweka ngumu katika kunusuru mfumuko wa bei ya mafuta.
   
 4. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Kama kweli serikali iliweka ngumu katika kunusuru mfumuko wa bei ya mafuta, huo uamuzi wa kufanya hivyo ulikuwa kwa maslahi ya nani? Serikali inayowajali wananchi wake hata siku moja haiwezi kuwa upande unaolinda maslahi ya mafisadi!
   
 5. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Biasharaa ya mafuta inahusishaa vigogo na marafiki zao wakaribu.Hivyo kuna ukweli mpango huo kuzimwa na wakubwa kwa masilahi yao na marafiki zao.
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tena vigogo wenye nguvu kubwa sana kwenye chama cha kijani... ukiindoa ile bishara mikononi mwao na hicho chama kinaanguka chali ndo maana hawawezi hata siku moja kujaribu hiyo kitu... mpaka hicho chama cha kijani king'oke!!!:embarassed2:
   
 7. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2011
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Wabunge wanaopita humu; (wa vyama vyote) na wanaojali na wenye uchungu na makali tunayotupata wananchi, tunawaombeni .. kikao kinachofuata (April) mlishughulikie hili suala hadi kieleweke ni kwa nini mpango huu haujaanza . Nini kinakwamisha a simple arrangement which would take a couple of weeks to put together.
  Hatutapenda kusikia story za serikali kuwa ".. serikali inajiandaa na inafanya mikakati" na bullshit zingine zinazofanana na hizo.
   
Loading...