Jinsi sifa na majivuno ya Kihaya zinavyofanya vijiji vya Bukoba kuwa na majumba na mahekalu ya nguvu

Sifa za kilofa,
Kwa hiyo bukoba vijijini kuna nyimba za kisasa hizo 6 tu? Eeh kumbe hata kwetu CHITOHOLI kuna nyumba za kisasa nyingi kuliko bukoba vijijini.
 
Sifa za kilofa,
Kwa hiyo bukoba vijijini kuna nyimba za kisasa hizo 6 tu? Eeh kumbe hata kwetu CHITOHOLI kuna nyumba za kisasa nyingi kuliko bukoba vijijini.
Bukoba vijijin
images%20(16).jpeg
images%20(15).jpeg
images%20(14).jpeg
images%20(13).jpeg
images%20(12).jpeg
images%20(11).jpeg
images%20(10).jpeg
images%20(9).jpeg
images%20(8).jpeg
images%20(2).jpeg
images%20(7).jpeg
 
Ona sasa unavyowasingizia wamasai Kwa sifa zenu za kipuuzi


Kilimanjaro ni ya wachaga na wapare.

Au nilete picha nyingine
Hapana tuko wachaga, wapare, wamasai, wasambaa na makabila mengine.......

Hapo Ni Mawalla...... Lazima.....na watu hao Ni wakuja......ndio huwa wanajenga nyumba hizo za muda
 
Umeanza vizuri kwenye Kichwa cha Habari yako
Kwamba sifa
Na sikuzote mjisifu hujisifu hata kwa Uwongo na Majisifu yasiyo kuwepo
 
Juzi nilifanikiwa kufika bukoba vijiji, kujionea hawa ndugu na misifa yao.

Boss wangu alifiwa na baba yake,tukapita ile barabara ya katerero,kijiji sijui ni kabare( kama sikose) tukapita kwa tajiri karamagi dah kuna mijumba imesimama haswa.haina ubishi,
Sema hawa ambao bado maisha ni bangaiza kama mm ndo wanajuwa kuipamba bk.
Pale katerero pabaya hakuna hata nyumba nzuri ila kijana mmoja alibisha kwa nguvu, eti pale wanataka kuweka mall itaitwa katerero mall😂😂😂 wahaya hapana dah!

Ila sio siri hawa watu wana sifa sijawahi ona😀😀😀 vijana tuloenda nao ni wahaya, sasa humo njiani tukipita jumba zuri, utasikia hapo kwa mjoma.😂😂😂😂

Tulivyokuwa tunatoka Mjini nikasema tuweke mafuta tusije kwama huko vijijini.dah mmoja kadakia, twende kwetu kijijini shell ipo nyuma ya jiko lao dah hawa viumbe😁😁😁 ila kweli kwenye migomba tulikutana na shell dah.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom