Hakuna MTU awaye yeyote alidhania au aliwahi hisi Eti Hitler siku moja angekimbia kiti nakujificha na mwisho kupotezwa kama alivyo poteza wenzake. Vitabu vinasema Hitler alitafutwa mithili ya panya popote alipo auwawe nakupotezwa. Dola ya Manazi ilikuwa ni Dola yenye nguvu kiasi ilipanga mistari wayahudi nakuwatia Moto kama kuni ama Kwa hakika alikuwa katili Sana.
Dola ya Mzee Mobutu MTU alie simamia mauwaji ya Patrick Lumumba na Mwisho akajifanya anamuenzi ili kuzima uasi ulio Anza kuenea kwamba ndie alie husika na mauwaji Yale. Hata hivyo mwisho alianguka na leo kijiji chake ni magofu.
Kitakuwa stendi haki kutoelezea utawala wa Ghadafi mwamba wa Africa alieuwawa kikatili nakuburuzwa kama mbwa na wananchi wake. MTU alie wekeza ktk usalama na kupoteza mamia ya wapinzani wake mpaka wakashituka na kugunduwa Nani anawatafuna na mwisho wakamtafuna na yeye. Alikuwa kiongozi katili alie wapa Watu wake chakula Ila nyuma akiwachinja kama kuku ktk Banda.
Serikali zinaangukaje?
Serikali yeyote duniani inamifumo ya kitaasisi inayo Linda masilahi mapana ya serikali. Jambo ambalo viongozi wengi husahau nakuingia ktk mashaka nipale wanapo itumia serikali kuwa kama mali yao binafsi wakisahau wao ni taasisi ndani ya serikali na sio vingine inapo sema serikali na miundo wake kuna Taasisi nyingi zimo ndani yake na Ile ya Rais ni kipande Tu japo Kwa muonekano wa nje wengi tunadhani Rais aweza Kuwa ndio taasisi kubwa kuliko zote na anaweza Fanya lolote atakalo pasipo guswa na taasisi nyingine.
Jambo hili sii kweli Kwa Kuwa taasisi ya Rais ina vi sub coordination na main taasisi mfano Sheria unakuta kuna mahakama ila kuna ofisi ya mwendesha mashitaka na Judiciary system. Ndio maana jaji mkuu anateuliwa Ila huwezi muondoa why?
Ndio maana serikali kamili ina Judiciary system, Executives and Parliament.
Nini hasa kina angusha serikali?
Serikali nyingi huwanguka baada ya hii miili mitatu kusuguwana why? Hawa wote watatu KAZI zao huchakatwa ktk idara nyeti za Usalama na mule ndipo mtiti huwanza Jambo Baya kabisa linalotokea ni pale kiongozi mkuu anapo Anza pata wrong information zinazosababisha kufanya bad decisions zinachochea kuanguka kwake.
Ndio maana idara za usalama wa Taifa ni idara zenye nguvu Sana Kwa sababu ndio ubongo wa serikali. Ukitomasa tomasa hii idara nyeti basi jiandae kisaikolojia.