Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

Mkuu usihangaike na watu kama hawa ambao hawajui nini kinaendelea duniani.
Aisee Mkuu Kuna haja tuangalie upya mfumo wetu wa Elimu Aisee kama kijana nasikitika sana kuona vijana wenzangu na wazee wazima hawajui Dunia Yao inaendaje Aisee,
Huu Sasa utakua wajibu wetu kama wanajukwaa tunabahatika angalau kufuatilia vitu kuwahabarisha ndugu zetu walio gizani maana ipo siku Moja ndugu zetu watakuja kuona vitu vya ajabu wakadhani ni miujiza kumbe man made!
 
Good thinking mkuu.Watu wengi hawatumii akili kabisa.
The funny thing is just last week nilikuwa nawaza haya mambo. Kuwa wazungu wapo busy kuexplore ulimwengu nje ya dunia.

Why wanahangaika na kutafuta uwezekano wa kuishi nje ya dunia?!

So it means ile story ya mwisho wa dunia watu kunyakuliwa is not as magical is we think it will be, i think itakuwa ni scientific na itahappen as kama kwenye filamu vile tukiona watu wanaishi nje ya sayari.

Waafrika kimsingi tutabakia kushika mkia. Maana wenzetu wanaplan kutafuta pa kupeleka watu wao just incase dunia ikiharibika ila sisi mipango yetu imekaa kwenye upigaji.

Ask yourself. Hizi nyuklia power siku wakibutuana hapa na kuachia mabomu dunia nzima hivi itakuwaje sisi tutajificha wapi?!
 
Mm nilowahi soma sehemu kuna hadi technology za kuprint human organ
Hadi gari walisema linaweza kua printed except some few parts ndo hyo technology haiwez
 
Katika hali ya kawaida huwezi print chakula hasa kilichopikwa hata kibichi kinachofanyika ni kutengeneza vyakula vibichi maabara as gmo (genetic modified organism) ambavyo vinaandaliwa maabara sio kulimwa mfano cabage zipo hata mayai
So hiyo hoja ya kuprint 3d chakula hapa ni uongo jiongeze hata kwakushghulisha ubongo
Ni kweli maarifa yameenda mbali sana wana clone miili ya viumbe hai ila utashi ndio unasumbua ndio ambao unafanyiwa kazi bado
 
Bado sana kufika mars maana mars core is dead cold it does not generate magnetic fields
 
Wakati huo Mungu atakua wapi?

Kila nafsi itaonja mauti!!
wakati huo Mungu ataendelea kua vichwani mwa Watu Kama wewe,wakati huo wenzio watakua wamekamilisha project Yao,
Ndio Kila nafsi itaonja mauti kama ilivyo kawaida ila haitazuia wenye fahamu zao kuendeleza kazi!
 
Hilo jambo lishafanyika hayo yatakua marudio....that means waliofanya hivyo mwanzo wanaenda fanya tena saaame thing
 
endelea na akili zako za usiku Huyo Mungu unaesema yupo walimtengeneza wao na wakakuletea na wamekukaririsha na kukujaza upepo na umejaa
Fuuuuuu Nenda kawaulize hao waliokuambia Kuna Mungu uone Kama wao wanaamini yupo!
Kiufupi Bado hujaijua Dunia inavyoendeshwa ndugu yangu,
Huyo Mungu aliyeko na unaemuwaza kwenye akili zako hayupo na ambaye yupo hayupo na hafanyi hayo mambo ambayo wewe umekaririshwa anafanya na unajitesa kwayo,
Dini,Imani na masalia ya yake ni programing project iliyoandaliwa Kwa usahihi Sana Ili kuteka watu kisaikolojia kabla ya project kamili
Kama unabisha Leo usiniulize kwanini dini Zimeanza ibuka Karne ya 7 tu Tena AD na wakati Dunia Ina mamilion ya miaka hao watu wa nyuma waliishije?

Wake up dude,funguka akili be free utaujua ukweli ingawa itakua ngumu Sana kukuamsha uamke!
Sound like kweli vile, ila n wewe jiulize. Kama ni kweli huyo Mungu walituletea? Wako wapi waliotuletea? Wamkeufa sio? Hawawi sehemu ya hiyo mbingu yako uliyoileza sio? Wanafaidika nini kwa kuanzisha project ambayo wan uhakika hawatajua mwisho wake? Ukiweza kudadavua hii vizuri nitarudi
 
hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?
Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa
Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
Wataweza kuwafufua waliokufa?
 
Inatafakarisha Sana,Inamaana
1:Uumbwaji Wetu Nani Muhusika?

2:Vitabu Vitakatifu Vilikujaje,Nani Muhusika?

3:Yaliyotabiriwa Katika Vitabu Vitakatifu Nani Muhusika Maana Yapo Yaliyotabiriwa na Sasa Yanaonekana.

4:Lile Jiwe La Chumvi (Mwanmke Aliegeuka Jiwe la Chumvi)
Kule Sodoma Na Gomora Limetajwa Katika Biblia,Nayo Ni Mission?

5:Uponyaji wa Wagonjwa Kupitia Maombi Nayo Ni Mission?

6:Uchawi,Miujiza,Viumbe (Majini,Wanyama,Wadudu,Mimea nk) Nayo Ni Mission?


Your Not Sirius Brother,
Niishie Hapa Kwa Muda,Ukinisaidia Uelewa Katika Haya Tutaendelea.
 
Elon Musk aendelea kumwaga pesa kwenye mradi wa Space X kuendeleza kuichunguza Sayari ya mars!
Tutakuja na update wadau!
 
hizo after life ni porojo tu watu wenye akili zao wanafanya tafiti za kufa mtu Ili kuweza pandikiza seli kwenye miili ya watu Ili wawe immortal wewe unazungumzia kufa?
Hiyo ya kufa huko future itaenda kua masimulizi kwamba Kuna watu walikua wanakufa
Hahhahaa ni kama masikhara ila yajayo yanafurahisha!
 
ngoja waje wazee wa vifungu vya biblia na quran kuja kukukemea.

ukwel ni kwamba hii dunia ilipo hapa haijafika kwa bahat mbaya, kila ukionacho ujuwe kuwa kimekuja/tokea kwa makusudi na sio bahat mbaya.

kumekuwapo machafuko mengi dunian mpaka sas yapo machafuko yazauilikayo na yapo yasiyozuilika, na si kwel kwamba hayazuilik, ila kuna mission za watu kupitia machafuko hayo ili dunia ifikie yale malengo wanayotaka.

ni juzi tu kulkuwa na mkutano wa Umoja wa mataifa kujadili mabadiriko ya tabia nchi, na kwel ukiangalia kabla na baada ya mkutano huo kumekuwa na mabadiriko ya kutisha dunian, ikiwepo joto kali kuongezeka, mvua kupungua, haya yote hayatokei kwa bahati mbaya.

matetemeko na mafuriko/tsunami hazitokei kwa bahat mbaya, bali kuna makusudi ya watu wachache kurun dunia vile watakavyo kwa kuibua majanga/matatizo ili kupitisha agenda zao na mission zao.

magonjwa makubwa yasiyotibika na yanayotibika yanayoibuka, si bahat mbaya, bal kuna mikono ya watu ili kutimiza ajenda zao.

vita ya1&2 zote hazikutokea kibahat mbaya, na bado kuna nyingne kubwa tukae mkao wa kula kuipokea vita ya3 ya dunia ambayo itafyeka wengi zaid ya wale waliofyekwa na 1&2 world wars, na hii inaweza ihusishe siraha kubwa na zakutisha ili kuleta ufanisi mkubwa wa kuuwa&kuharibu sehem zilizotergetiwa.

pia vita hiyo inaweza isihusishe siraha hizo za moto, bali ikahusisha biological weapons au majanga ya dunia,

siraha hizo za kibaolojia znaweza kuwa kama magonjwa yaambukizwayo kwa njia nyepesi na kuuwa watu wengi bila kuwa na tiba,

pia siraha zingine ni kusababisha majanga ya dunia sehem iliyotargetiwa, mfano vimbunga, mafuriko, joto kali, tsunami, na matetemeko,

haya yote ni aina za siraha za maangamizo ambazo hufanya attacting bila kumjua msababishaji ni nani,
mfano kwa majanga ya milipuko ya magonjwa/matetemeko watu hasa wajinga wanabaki kumsingizia Mungu wao kuwa anatoa adhabu dunian sabbu ya dhambi, na wengine hawa wasomi uchwara watabaki kusingizia mabadiriko ya tabia nchi, kumbe nyuma ya pazia kuna wasababishaji wanapiga ambush ya bila wao kujulkana, na mpka watajulkana itakuwa agenda zao zmetimia.

dunia imebadrika sana, kizaz hiki si kile cha kupigana na kutishana kwa masiraha ya kutisha tokea kwa adui yako, bali ni kizaz cha usiri ambacho mjanja anafanya mission zake kisiri na kupata matokeo makubwa ambayo yanaangamiza iyo target yake, bila ya watu kumjua muhusika.

wengi hupenda kubisha kuwa, kama hao watu wananguv why wasitupige mara moja tufe? jibu ni tupo ktk nyakat ambazo kuna jamii mbili zote zenye nguvu, yaan jamii ya haki ambayo inajumuisha makundi ya utetezi wa haki za binadamu, ndiomaana hata utumwa wa afrika ulikemewa na hao hao walioleta utumwa, sababu haki za binadamu hazibagui znataka usawa wa usarama kwa jamii zote.

hivyo bas hata ile pande ya pili ambayo inawajumuisha waharibifu, ni ngumu kufanya uharibifu hadharani.

matatizo yote hayo yanafanyika ili kuandaa dunia mpya, yenye jamii mpya ya watu waliostaharabika kwa mujibu wao, pia jamii ya watu wachache watakao balance ulaji wa rasilimali za dunia bila magomvi,

target kuu ni kuondoa weak race include black people, pia kupunguza population ya watu, ili lengo la wachache watakaotawala , dunia na rasilimali,

mbinu hizi hazijaanza leo wala jana, zmekuwa zkifanyika kisiri na kutimilika kwa ukamilifu, sabbu ya watu wengi kugoma kupokea maarifa ya kupambana na uo ushenz wao ndiomaana wanafanikiwa.

dunia si sehem sarama na hapo uishipo haijarish unalindwa kinamna gani, lkn ujuwe kuwa hatuko sarama, hii dunia ina wenyew na tuendako ni kubaya kulko tuliko toka....subirini ujio wa.........naishia hapaView attachment 2006377
The Antichrist?Mbona hukumalizia bwana?
 
Back
Top Bottom