Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,099
- 8,284
- Thread starter
- #201
Aisee Mkuu Kuna haja tuangalie upya mfumo wetu wa Elimu Aisee kama kijana nasikitika sana kuona vijana wenzangu na wazee wazima hawajui Dunia Yao inaendaje Aisee,Mkuu usihangaike na watu kama hawa ambao hawajui nini kinaendelea duniani.
Huu Sasa utakua wajibu wetu kama wanajukwaa tunabahatika angalau kufuatilia vitu kuwahabarisha ndugu zetu walio gizani maana ipo siku Moja ndugu zetu watakuja kuona vitu vya ajabu wakadhani ni miujiza kumbe man made!