Jinsi Paul Makonda anavyowaburuza CHADEMA

Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.
we kama ni mwanaume ni una homoni za kike
 
Katibu wenu mkuu mwenyewe hamkubali. Itakuwa chadema?
 
Jikite kwenye hoja
Chakushangaza ...Mawaziri vivuli wawili waliandika barua ya kukana na kupinga kua Serikali ya CCM aihusiki na tamko la Makonda..wa kwanza akiwa Waziri Mahiga wa pili waziri Lugola mambo ya ndani.
Yaani hao mawaziri vivuli kutoka Upinzani walitukosea sana.
 
Paul C Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa mkoa wa Dares salaam historia inaonyesha hajaanza leo wala Jana kuwaburuza vibaya mno chadema kila wanapojaribu kufuata nyayo zake. Ikumbukwe kila jambo jema kwa taifa linaloanzishwa na Makonda ,Chadema lazima wapinge tu hata kama hilo jambo lina manufaa makubwa kwa nchi yetu !

1. Alianza kwa kuwaambia Lowasa hafai kuwa rais, wakapinga sana na kutukana kila aina ya matusi lakini ukweli ukabaki kuwa Lowasa hakuwa rais wa Tanzania na hatakuwa.

2. Aliwataja wauza madawa ya kulevya hadharani ,chadema wakapinga sana lakini ukweli ulibaki kuwa ukweli kwamba baada ya mapapa wa madawa ya kulevya kutajwa, madawa ya kulevya yalipungua sana nchini na mateja wameisha kabisa kwenye vituo vya daladala.

3. Aliwaita wazazi na watoto waliotelekezwa na kuwapatanisha na wazazi wao. Zaidi ya watoto na ndoa 1000 ziliokolewa na watoto kuanza kupata huduma kutoka kwa wazazi wao wote .
Kama kawaida chadema walibeza sana

4. Alianzisha kampeni ya usafi katika mkoa wa Dares salaam kwa kuachilia mgambo watakaosimamia usafi .Baada ya kufanya hivyo jiji limebadilika kabisa kwa usafi, sehemu zilizokuwa zimekithiri kwa uchafu na mrundikano wa takataka kwa muda mrefu sasa hivi ni safi mno.!
Licha ya mafanikio haya chadema kwa kushilikiana na magazeti ya mafisadi walichafua sana kampeni hii na kuipinga vikali kwa kisingizio kwamba baadhi ya mgambo wa Makonda wanapiga wananchi.

5. Sheria za nchi yetu, dini zetu na hata tamaduni zetu haziruhusu kabisa mambo ya ushoga lakini sasa swala hilo lilitaka kuonekana kama limehalalishwa Tanzania kwa sababu mashoga walianza hadi kujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na hata kufanya mahojiano bila aibu kwenye vituo vya redio!
Kufuatia hali hivyo Paul Makonda akaanzisha kampeni Kali ya kupiga vita na kukomesha kabisa kwenye jamii zetu .Cha kushangaza kabisa na kuacha vinywa wazi chadema walimpinga waziwazi Makonda!
Cha kusikitisha mno wengine ni wasomi lakini wanasimama hadharani bila aibu kutetea ushoga na mashoga ! Walifikia hatua ya kumlisha maneno waziri ili kuhakikisha tu wamemzodoa na kumkatisha tamaa Makonda kwenye kampeni yake ya kupinga ushoga .

Leo baada ya Waziri wa mambo ya ndani Kangi Lugola kuweka wazi kuwa serikali ya Tanzania kamwe haitaruhusu ushoga ,Chadema pamoja na wapambe wao wamepata aibu ya mwaka mbele ya macho ya watanzania.

Ni ushauri kwa chadema kuwa Makonda siyo saizi yenu , Makonda kwenye utendaji wake hajifungii ndani ya box anaenda extra mile ndiyo maana anapata uungwaji mkono mkubwa sana kutoka kwa wananchi kwa sababu anaonekana ni mbunifu tofauti na chadema ambao uwezo wao wa kufikiri upo kwenye box la Mbowe. Hanna mwanachadema anayefikiri zaidi ya anachofikiri Mbowe.
100% Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom