Jamani mnazungumza vitu gani?.. au labda mimik ndio sielewi!
Lini panya wakategua mabomu?.. navyojua mimi panya hutumiwa kunusa harufu ya TNT au DNT, na kwa sababu panya hawana uzito wa hilo bomu haliwezi kulipuka wanaposimama juu yake kisha mhusika wa kutegua ndo huja akategua lile bomu.