Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that
Hiyo picha ya illustration ni pumba na speculation, Wamarekani wameshasema Bin Laden hakuwa na bunduki wala silaha yoyote. Tuwe wavumilivu kidogo, watarelease details when appropriated.
Dah! Dankie sana kunifungua macho mkuu<!--[if gte mso 9]><xml> <w:WordDocument> <w:View>Normal</w:View> <w:Zoom>0</w:Zoom> <w:Compatibility> <w:BreakWrappedTables/> <w:SnapToGridInCell/> <w:WrapTextWithPunct/> <w:UseAsianBreakRules/> </w:Compatibility> <w:BrowserLevel>MicrosoftInternetExplorer4</w:BrowserLevel> </w:WordDocument> </xml><![endif]--><!--[if !mso]><object classid="clsid:38481807-CA0E-42D2-BF39-B33AF135CC4D" id=ieooui></object> <style> st1\:*{behavior:url(#ieooui) } </style> <![endif]--><!--[if gte mso 10]> <style> /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:"Table Normal"; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-parent:""; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin:0in; mso-para-margin-bottom:.0001pt; mso-pagination:widow-orphan; font-size:10.0pt; font-family:"Times New Roman";} </style> <![endif]--> Osama Bin Laden ni agent wa Marekani na power elite ya dunia ambaye pamoja na tukio la September 11 alitumiwa kutengeneza "enemy"-image kwa raia wa wamarekani na dunia nzima ili waunge mkono serikali ya US kwenda vitani mara mbili. Nadhani unaamini kuwa kuna power elite ambayo inamiliki asilimia kubwa ya rasilimali za dunia. Miongoni mwa power elite hiyo kuna baadhi ya wanasiasa lakini ilianza kupata nguvu yake kwa kuwekeza ktk mafuta (Rockefeller Dynasty), chuma (Carnegie steel empire), mfumo wa mabenki (e.g. Chase Manhattan), vyombo vya habari na [amini, usiamini] - silaha.
Tangu vita vya baridi (&Vietnam) ambapo tulidanganywa kwamba kuna tishio la Kikomunisti, mauzo ya silaha yamepungua sana. Vita vina faida nyingi kwa baadhi ya watu - hasa power elite hiyo ambao tangu enzi za Prescott Bush, John D. Rockefeller, P.J. Morgan, Rothschild dynasty... wamekuwa wakijipatia utajiri kupitia umiliki kamili wa rasilimali zote muhimu duniani. Miongoni mwa faida hizo ni mapato kutokana na silaha na wingi wa mafuta unaotumika vitani (kumbuka ni wanasiasa wangapi wa serikali ya awamu ya Bush walikuwa wamiliki wakubwa wa biashara ya mafuta duniani (e.g. Standard Oil, Texaco, Mobil, Exxon... in fact, kuna oil tanker moja wa kampuni ya Exxon yenye jina "Condoleezza"). Faida nyingine ni kuwepo kwa sababu "halali" ya uwepo wa jeshi katika "bustani" ya adui na hivyo kuweza kudhibiti resistance na rasilimali zake.
Hivyo, wakajitungia sababu za kwenda vitani - hata WW1 na WW2 (e.g. Meli ya Lusetania, Pearl Harbor, na sasa 9/11). : Ndio hao hao waliofaidika na vita hivyo vinavyoendelea kutafuna mabilioni ya Dollar kila mwaka. Ulishasikia makampuni kama Halleburton au Carlyle Group wanaowekeza kwenye usalama? Baadhi ya members unawajua? Nakutajia wachache: Dick Cheney, Donald Rumsfeld, George W. Bush, Muhammad Karzai... Familia ya Bin Laden ni miongoni mwa familia tajiri zaidi duniani, kwa sababu kwa miaka mingi wamekuwa wakipata tenda zote za kujenga military bases za wamarekani Uarabuni.
Siri hizi ni nyingi na kila mwaka unaopita, skendo nyingine zinagundulika na tunajifunza jinsi vizazi vilivyopita vilivyodanganywa na kukubali wanaume wao kupoteza uhai kwa faida ya wachache. Kwa sasa, serikali ya US inaona dhahiri kuwa haina tena uwezo wa kifedha wa kuendeleza vita hivyo. Kwa hiyo, wakaamua kumaliza mchezo wa kujifanya kumtafuta Osama, wakampata akiwa "amekufa" na kujaribu kunyamazisha maelfu ya wamarekani wasomi wanaoandamana kudai ukweli wa 9/11.
Any proof? ya kwamba alishakufa siku nyingi kama ujuavyo
umejuaje?na wewe ni nani hadi ujue kuwa osama alikuwa ashakufa? kila stage si hiyo hapo imeanikwa?au unataka nini zaidi ya hapo muungwana
duh! kweli kuna watu na viatu, kwa hiyo watugee pumba kwa manufaa ya nani?
Osama bin Laden was not armed but did put up resistance when U.S. forces entered the compound he was in, then killed him, White House spokesman Jay Carney said Tuesday.
Ni kweli uyasemayo Marekani taifa kubwa sana, na wala hawakurupuki, na ndio maana wamefanikiwa kukamata siraha za maangamizi kule Iraq. zei a veri jinihasi!Ubishi wa nini? Lazima tukubali marekani taifa kubwa pia hawakurupuki kutoa tamko kama hapa kwetu tz. Tumeona obama alivyochelewa kutoa tamko jiulize sababu nini?Alitaka aseme kitu chenye ukweli.
kwani hujaona picha hapo? Au hujazielewa?just say/asks i if you need explanation. We are here for all of us
Hiyo picha itakuwa imetoka from some crap website or tabloid newspaper imekaa kibiashara zaidi.
Akizungumza kwa njia ya simu na Shirika la Habari la Ufaransa, AFP, mmoja kati ya wanamtandao hao, amesema hawakuamini waliposikia taarifa za kifo cha kiongozi wao. Amesema, hata hivyo, aliwasiliana na wenzao wa Pakistan ambao walithibitisha kifo hicho.
Osama alikufa siku nyingi, proof FoxNews.com - Breaking News | Latest News | Current News mambo yameanza kudhihirika.
Ilo neno brain washed ndio msamiati wako mpya nini. Kwi kwi kwikwi kwikwi kwikwi kwi!Haya ndio mafundisho ya msikiti wa mwembe chai. pole sana, sijui kwa nini haukutuambia tangu hizo siku nyingi kwamba Osama ameshakufa! haya ndio madhara ya kuwa brain washed.
hivi bilali alikufaje kufaje :happy::happy::happy:
umejuaje?na wewe ni nani hadi ujue kuwa osama alikuwa ashakufa? kila stage si hiyo hapo imeanikwa?au unataka nini zaidi ya hapo muungwana
Nijuavyo ni kuwa Osama alikufa kitambo tuu ila jamaa wakaamua kutunga mission tuu!
Niwajauvyo USA wangeanika kila stage ya uuaji huo but twaletewa picha za kucholwa apa mbona sadam wakati wanamnyonga walirusha kama ilivyo.
Nina wasi wasi kifo chake kitaamsha hasira toka kwa wafuasi wake kuna haja ya kuwa standby on that