Jinsi ninavyotumia gari kama mtego wa warembo

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu?

Kwakuwa mara nyingi nakuwa na safari za kwenda Dodoma kikazi (maana ndipo ilipo Serikali), basi gari langu nimeliboresha sana ndani ili nisichoke sana.

Ninachofanya huwa napitia sehemu zenye stand kubwa (hasa stand za mikoa) pale utakutana na abiria waliokosa usafiri na wenye haraka, nikisimama wapigadebe wanakuja kila mmoja na abiria wake mimi nawaambia na nafasi 1 tu halafu nawauliza wateja wao wanaenda wapi huku naangaza angaza kuona kama miongoni mwa wateja kuna mwanadada mrembo ambaye Yuko pekeyake kwakuwa nafasi ni moja tu, asipokuwepo nawauliza wengine wanapokwenda wakinijibu nawaambia sifiki huko halafu naondoka kwenda kituo kingine mpaka nipate kile ninacho kutafuta na hii njia imewahi kuniangusha mara 1 tu.

Kisa ambacho sita kisahau ni cha binti mrembo Rachel, huyu nilikutana naye stand ya mkoa ninaoishi miezi kadhaa iliyopita akiwa amesimama nje ya stand na mpiga debe pamoja na mshkaji wake wa kiume ambaye alikuwa amemsimdikiza maana alikuja kumsalimia huyo mshkaji, nilivyosimama tu nikamwona Rachel jicho likanitoka, nikamwambia mpiga debe aisee Nina nafasi 1 tu maana napitia familia hapo mbele, akaniambia msafiri ni mmoja tu anaenda Dodoma nikamtajia nauli akatoa nikamwambia apande siti ya nyuma maana naenda kuchukua familia. Akapanda mwenyewe na vi miwani vyake, wakaagana na mshkaji nikaondoka zangu tukaenda umbali mrefu nikaanza kumpigisha story, alikuwa na nidhamu sana alinijibu vizuri mwisho nikasimamisha gari nikamwambia akaribie siti ya mbele, akauliza familia nikamwambia niko pekeyangu huwa sipendi tu kuwa na abiria wengi, akashuka akahamia mbele.😂

Safari ikaendelea nikamuuliza anafanya kazi gani akanijibu kuwa anasoma chuo (sikitaji) nikamuuliza alipotoka ni home au akacheka cheka mwisho akasema ni kwa mshkaji wake, nikamwambia mbona hukunitambulisha akacheka tu, tukafika sehemu fulani wanapika na kuchoma nyama vizuri nikaomba anike company akawa anaogopa ogopa, kwakuwa najua wanavyopenda warembo, nilimuuliza tu kinywaji anacho tumia nikaenda kumletea na makuku kuku kidogo tukasepa, badae akawa huru sana nikawa namsifia sifia, nasifia miwani yake kidogo😂 safari inanoga.

Badae nikaanza kumtongoza taratiibu, akawa anapotezea mimi nambembeleza badae nikasikia ila wanaume sijui mkoje, yani umemwona kabisa mtu wangu bado unanitaka tu, nikamtuliza kwa maneno matamu ile tunaanza kuingia maeneo ya Ihumwa nikajaribu nikaomba tufike mpaka Lodge nichukue chumba then nitamsindikiza mpaka chuoni.

Nikasikia haya bwana nikajua tayari😂 tukafika chimbo tukashuka nikaomba anisaidie kuchagua chumba kizuri tukaingia akanichagulia chumba nikamwambia apumzike nikalipie ili nije tuondoke, alivyokubali tu kusubiri pale nikaenda kulipa, nikarudi kwenye gari nikalizima nikabeba mizigo yake nikaingia nayo chumbani.

Nikafunga mlango, yeye amekaa tu nikaomba asimame nikamkumbatia, mikono yangu ikakivuta kiuno chake barabara, nikaanza kumtomasa tomasa màtakóni, akaanza kutoa miguno yenye utata.

Kilicho fuata kila mmoja anajua, tukiwa katikati ya msuguano simu ya jamaa yake ikaita ikabidi nichomoe úböó apokee😂 akamwambia ndo naingia hostel nimechoka nataka nikaoge nipumzike, wakamaliza kuongea nikamwambia we mwongo wewe, akacheka nikamwinamisha kazi iendelee😂

Siku hiyo nilienjoy sanaaa, asubuhi nikampeleka chuoni nami nikaendelea na kilicho nipeleka, ila hela ilinitoka si unajua tena wanachuo, lakini sisi watu wa manunuzi huwa hatuna shida kama value for money inaonekana.

Nina visa vingi vya namna hii, ila demu mmoja tu kawahi kunipiga chenga kama Morrison au Aziz Ki yeye kipindi tumeanza safari nilivyo muuliza anaenda wapi akaniambia anaenda msibani nikasema hiiiiiiiiii.
 
Hahahhahaah, maisha haya
IMG_20220704_165450_193.jpg
 
Nina visa vingi vya namna hii, ila demu mmoja tu kawahi kunipiga chenga kama Morrison au Aziz Ki yeye kipindi tumeanza safari nilivyo muuliza anaenda wapi akaniambia anaenda msibani nikasema hiiiiiiiiii

Kuna baadhi ya wanaume wengine hawana aibu bado wangeweza kuforce.
Duuu, labda kuomba namba tu na ukiomba namba ujue utaanza kuombwa hela kabla ya kuonja mzigo😂
 
Back
Top Bottom