Jinsi nilivyovalishwa sanda na mganga kisa mapenzi...

Pole SUZANE pole sana.
Na kutokana na haya ndio sababu sina na sintakuwa na rafiki mimi na kama ni madhara basi yanipate lakini ni miaka mingi sana sijapungukiwa na sintapungukiwa!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana kwa yaliyokusibu ila hujamalizia vizuri story yako tafadhali malizia umetuacha njia panda
 
Pole SUZANE pole sana. Na kutokana na haya ndio sababu sina na sintakuwa na rafiki mimi na kama ni madhara basi yanipate lakini ni miaka mingi sana sijapungukiwa na sintapungukiwa!
Ulishawahi kutendwa na rafiki?
 
Last edited by a moderator:
Ucpate wasiwasi..amini hakuna awezae funga tumbo lako ambalo mungu mwenyewe alilibariki na kulitakasa na kulipa mamlaka ya kuwa kitanda cha mwana wake akiwa mchanga....muombe kwa njia zote atakufungua na mtoto wako wa kwanza muite DAUDI(mwanaume) au MARIA(wa kike)
 
Pole SUZANE pole sana.
Na kutokana na haya ndio sababu sina na sintakuwa na rafiki mimi na kama ni madhara basi yanipate lakini ni miaka mingi sana sijapungukiwa na sintapungukiwa!

kiukweli rafiki hakuna, zaidi ya Mungu na mm yk mzazi, eeh wengine wote wanafiki tu
 
Last edited by a moderator:
Ucpate wasiwasi..amini hakuna awezae funga tumbo lako ambalo mungu mwenyewe alilibariki na kulitakasa na kulipa mamlaka ya kuwa kitanda cha mwana wake akiwa mchanga....muombe kwa njia zote atakufungua na mtoto wako wa kwanza muite DAUDI(mwanaume) au MARIA(wa kike)

waooooh!! Nimetabasamu.....
 
Kisa chako kitaishia kwa mchungaji yupi? kondoo wapo humu, utawapata tu.
 
mmh Suz mbona kama narudia kitu ambacho nakifahamu tayari?au ndio mambo ya Pasco nina psyc power???
 
daaaa imeniuma nakunishtusha nimeumia zaidi uliposema huyo rafiki yako amekuchezea tumbo usiweze kupata watoto aisee naumia sana dada SUZZANE nimekumbuka ule uzi niloandika kuwa nahitaji dawa za asili za kuzuia mimba isiingie na nikakumbuka ulicomment kwamba wew unaomba usiku na mchana uipate lakin wapi. Nimeumia sana jaman nimejuta sana kwani nadhan nilikuumiza sana na ule uzi duuu mungu anisamehe bure. Nakuombea kwa mwenyezi mungu baba wa rehema akujalie uweze kupata mtoto nawe uwe na furaha maishani. Amen

Naamini siku ikifika nitawaambia mnichagulie mpk jina la mwanangu, maana tumehangaika kwa mahospital imeshindikana, mpk Naitobi tumefika lkn vipimo vyote viko safi tena cha ajabu mayai yng yanapevuka 2 au 3 kila mwezi. lkn ndio kama hivyo tena dia...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom