Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

Endelea....
Tulikaa mlimani usiku wote tukingoja kuona mtego utakavyonasa hayo majini yaliyofukiwa huko kijijini Morogoro.

Baada ya mganga kumaliza kutega yeye alirudi kijijini akatuacha kule mlimani na wasaidizi wake yeye alirudi nyumbani kwake na kuahidi atarudi kabla hakujakucha kukamilisha zoezi.

Ilipofika asubuhi ya alfajiri ghafla tukaletewa repoti na mtu kutoka kijijini kwamba mganga amefariki dunia,yaani ilikuwa kama maigizo tukaona huyo mganga anataka kuleta mapicha picha hapa hakuna lolote wala si chochote itawezekanaje mtu atoke tu aende nyumbani harafu afariki huu ni utani.
 
Ilipofika asubuhi ya alfajiri ghafla tukaletewa repoti na mtu kutoka kijijini kwamba mganga amefariki dunia,yaani ilikuwa kama maigizo tukaona huyo mganga anataka kuleta mapicha picha hapa hakuna lolote wala si chochote itawezekanaje mtu atoke tu aende nyumbani harafu afariki huu ni utani.Tuliwaza ni utapeli lakni hatujamlipa bado basi ni nn au kazi imemshinda ,ukweli hatikupata majibu .
itaendelea...
 
Endelea....
Tulikaa mlimani usiku wote tukingoja kuona mtego utakavyonasa hayo majini yaliyofukiwa huko kijijini Morogoro.

Baada ya mganga kumaliza kutega yeye alirudi kijijini akatuacha kule mlimani na wasaidizi wake yeye alirudi nyumbani kwake na kuahidi atarudi kabla hakujakucha kukamilisha zoezi.

Ilipofika asubuhi ya alfajiri ghafla tukaletewa repoti na mtu kutoka kijijini kwamba mganga amefariki dunia,yaani ilikuwa kama maigizo tukaona huyo mganga anataka kuleta mapicha picha hapa hakuna lolote wala si chochote itawezekanaje mtu atoke tu aende nyumbani harafu afariki huu ni utani.
story yako ni nzuri ila inaiharibu mwenyewe, kwanza paragraph zenyewe fupi fupi tiu zenye sentesi mbili. pili kila unapokuja ulipoishia inarudia story zile zile za nyuma, kwani unakimbizwa???? huwezi kutulia ukaandika kitu kikaeleweka???>
 
Huenda sio mfatiliaji mzuri, mbona hilo la paragraph fupifupi alishalitolea majibu kuwa sababu ni Nini.
 
Endelea...
Dada anaadithia kwamba:
Baada ya kupata taarifa za msiba wa mganga pale mlimani ghafla kulizuka mzozano kati ya wasaidizi wa mganga na sisi kwamba wametutapeli na kutupotezea mda wetu baada ya kuona kazi imewashinda wanasingizia mganga kafa.Mabishano hayo yaliendelea kwa mda huku tukiendelea na safari ya kushuka kutoka mlimani kuelekea kijijini nyumbani kwa mganga.

Tulipofika nyumbani pale kijijini tulikuta kundi kubwa la wanakijiji wakiwa wameizunguka nyumba huku vilio vikiwa vimetawala.Tulikimbia moja kwa moja mpaka ndani chumba ambacho kimeweka maiti kiukweli sote tulipigwa na butwaa kuona mganga amelala macho akiwa ameyambua akiwa teyari amekwisha kata kauli.

Kiukweli kila mmoja wetu aliumia sana moyoni mwake kwani kilikuwa kifo cha ghafla sana ,cha mtu ambaye alikuwa ndio tumaini letu lililotufanya tosafiri toka Dar tuje Tanga kupata ufumbuzi wa tatizo letu.

Mara ghafla mzozo ukaanza miongoni mwa wana ndugu wakitushutumu kwamba sisi tukishirikiana na yule dada yake mganga wa Dar kumuua kwa kumroga mganga.

Kiukweli mzozano ulokiwa mkubwa sana mpaka ndugu wakaamulu maiti isizikwe mpaka hapo mwili utakapofanyiwa uchunguzina wazee wa ukoo kuchunguza tuhuma kwamba mganga alikufa kwa kurogwa au ni siku zake zilikuwa zimetimia.

Lete mambo haya andika kwa ziwe ndefu
 
Endelea..
Wazee wa ukoo baada ya kupiga ramli zao walijiridhisha kwamba hakuna mkono wa mtu katika kifo cha mganga hivyo wakaamuru shuguri za mazishi ziendelee.

Hata hivyo baashi ya ndugu bado hawakukubaliana na uamuzi wa wazee ,wakasisistiza kwamba yule dada wa Dar ndugu na yule mganga asikanyage kijijini sababu ya kumroga ndugu yake.

Sisi hatukuwa na jinsi kishingo upande hivyo hivyo ilibidi tushiriki kwenye mazishi ya mganga mpaka na baadaye tulirudi Dar kutoa taarifa kwa yule jirani yetu kilichotokea kijiji .

Yule mama jirani bila kujari marufuku aliyopigwa alienda kijijini kuakikisha kwamba anaenda kuona kabuli la kaka yake yule mganga na kuyaweka mambo sawa.
 
Ww jamaa kwann usiandike stor yako kwa mfumo wa msg then ukimaliza unafanya kupaste unakuja kucopy unakuja kutuandikia vistor vivup km msamiati
 
Yani haii stori naofatilia na nmekutana na chai nyingi sana, hiki kipindi ulikuwa hata hujielewi sasa ulikimbiaje sema basi naisoma ivo ivo ila kuna fiksi nyingi sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom