Jinsi nilivyotumia Tsh. Milioni 1 kuzalisha faida ya Tsh. Milioni 10 ndani ya miezi kumi

Onyo:
Usijaribu nilichokifanya kama huna ozoefu katika biashara hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid-19.

Tuanze na maelezo.

Je Umeshawahi kucheza ule upatu wa uswahilini ule wa kuchanga hela kila baada ya muda na mmoja anachukuwa kwa mzunguko? Na je unautumiaje na unawezaje kurejesha fedha za mzunguko?

Soma kisa changu.

Mwaka Jana mwezi wa tano kuna rafiki yangu alinitafuta na kunijulisha kuwa wapo 9 members wanataka kuchangiana kila mwezi 1M na fedha atapewa mmoja na target iwe miezi kumi ili kila mmoja ameet dreams zake, hivyo kama nitaweza nijoin.

Nilimkubalia ila kwa masharti kwa vile yeye ndiye anawafahamu na kwa nature ya shughuli yangu biashara nitaomba niwe wa kwanza kupokea ili nisizohofishe biashara zangu. Nilipomuuliza juu ya hao wengine aliniambia wote ni wafanyakazi wenye vipato vya kutosha kutoa hiyo 1M pasipo kuyumba.

Baada majadiliano tukapanga siku tukutane wote 10 na tukaandika muhtasari wetu wa makubaliano na mwezi ambao kila mmoja atachukua na tutakubaliana kila mmoja atachukua kwa maandishi na muundo Fulani hivi wa kisheria.

Nikakubaliwa kuwa wa kwanza kwa nature za shughuli zangu za biashara. Miongoni mwa hao members kulikuwa na washkaji wa Bandari, Doctors na michanganyiko mingine yenye kipato cha wastani ila wengi hawakuwa na ndoto za biashara.

Mwisho wa mwezi May 2019 nikakabidhiwa fungu la 10M ikiwa na pamoja na million yangu na zao 9M. Nilichokifanya kwa vile niko nafanya biashara za fedha za mtandao nina uzoefu wa maeneo ambayo ukiweka biashara haitokutupa. Nikaamua hizi hizi hela zao ndio mtaji wangu. Nikatafuta sehemu nikapata fremu ya 300k monthly for six months.

Mchanganuo wa matumizi.
1. Kodi miezi 6 = 1.8M
2. Ukarabati na design front view = 500k
3. 236k Machine ya CRDB
4. Line za uwakala na machine ya NMB nilihamisha kutoka kwenye moja ya ofisi yangu yenye machine 2 na line za ziada.
5. Usiniulize leseni najua nimeipataje.
6. Mfanyakazi, nilimuhamisha mmoja kutoka ofisi yangu za zamani mshahara wake ni 300k kula juu yake.
7. Mtaji wa uzungushaji ulibaki around 7.2M

Mwanzo wa biashara.

Nashukuru Mungu sehemu ile ulikuwa na return nzuri ya around 1.6m mwezi wa kwanza kwa maana mwisho wa mwezi wa 6/2019. Hii nikawa natoa 1M kurudisha upatu na 300k ya mfanyakazi inayobaki naiacha iongeze biashara. Kwa kadri muda ulivyokwenda biashara imekuwa ikitoa profit kubwa na miezi yote nafanya kutoa hiyo 1M na 300k za mfanyakazi na kusave mpaka tulivyomaliza mzunguko mwisho wa mwezi wa pili 2020. Sasa nimebakiwa na around 10M ambazo nimezipata kwa ile 1M yangu na monthly profit around 2M monthly. Mantiki yangu hapa ni kwamba kama ningekaa nazo tu zile hela mpaka mzunguko unaisha nilipaswa kubaki na 1M only.

Malengo ya baadae.

Malengo yangu ni kwamba mpaka mwisho wa mwaka huu nikusanye 10M nyingine kutoka kwa hii miezi 7 iliyobaki kwa kusave profit ya 1.5M ambayo roughly nitapata 10.5M ambazo zitafanya mtaji ufike 20M. Ikishafika hiyo 20M nitaweza kupata around 3M as monthly profit.

Kwa rate 3M nataka mpaka mwisho wa 2021 nikusanye profit ya 30M kutoa kodi ya frem na mfanyakazi. Hii itafikisha around 50M kama mtaji. Ikifikia hapo nitabreak into 2 business branches. Nitawajulisha kama Mungu ataweka hai.

Hii nataka iwe historia ya kipekee katika maisha yangu. Sizitumii fedha hizi vile nina vyanzo vingine mpaka majariwa itakapofika 100M kutoka kwa hii 1M. Wale members wenzangu wengine wamenunua viwanja, wengine magari ya kubebea madem kila mtu mradi anatimiza alichokusudia. Mbaya tu nimesikia wale wa mwanzoni kule walinunua magari na tayari wameshayauza.

Katazo la mwisho.

Sijaandika ili kujigamba au kwa nia ovu, na sitojibu ujumbe wa mtu yeyote PM ukiwa na maoni au tatizo tuulizane hapa hapa wala sihitaji kuja kuitwa mwizi au tapeli.

Kuna ambao mutahisi hii ni hadithi ya kusadikika. Nakuwekea record za biashara kwa kitabu cha kuanzia January 2020. Usipoamini pita tu tafadhali bila kukwazana.

Mubarikiwe wote.

View attachment 1450255View attachment 1450256View attachment 1450257View attachment 1450258View attachment 1450259
Hongera sana mdau. kweli ulijipanga vizuri na kuweka malengo. Ninatamani kupata abc ya biashara ya uwakala wa bank.. mfano mtaji unaohitajika, na namna mtu anaweza kupata faida.
 
Watu wanaibiwaga kizembe alafu ili asionekane mshamba katika maelezo anadai kuwa ni ushirikina umetumika...ukijiuliza sasa hao wanaoiba kishirikina kwanini wasiende bank wakaondoka na masanduku ya hela,majibu ya baadhi ya watu eti bank zimezindikwa😂😂😂...unajiuliza ni lini washawahi ona waganga wa jadi wanachukuliwa kwenda kuzindika bank???
 
Watu wanaibiwaga kizembe alafu ili asionekane mshamba katika maelezo anadai kuwa ni ushirikina umetumika...ukijiuliza sasa hao wanaoiba kishirikina kwanini wasiende bank wakaondoka na masanduku ya hela,majibu ya baadhi ya watu eti bank zimezindikwa...unajiuliza ni lini washawahi ona waganga wa jadi wanachukuliwa kwenda kuzindika bank???
Hata mi siaminigi hayo mambo, na sitaki kichwa changu hata siku moja kifikirie hivyo vitu!

Mara nyingi ma'layman 'ndo wanaamini sana ushirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza mkuu mtu mwenye mtaji mdogo wa kama 1M Tigo pesa apo kwako ndio nimeona inazunguka sana afu akapata location kama Mabagala hivi anaweza zalisha kiasi gani kama Commission kwa makadirio?
Biashara hii sio nyepesi kama unavyosoma hapa mtandaoni. Fanya utafiti binafsi wa kina na tengeneza urafiki na mawakala ktk eneo unalotaka kufanyia kazi, utajifunza mambo mengi mno
 
Utaratibu wa kupata line na machine za uwakala iko hivi.

Kwa mitandao ya simu line ni bure uwe na TIN na leseni ambayo iko valid. Sema unaweza pata za mtaani wakati unaprocess au kama huna hizo doc.

Kwa bank nako yakupasa uwe na valid business license pamoja na TIN na minimum capital ya 2M kwa hizi giants banks NMB, CRDB kwa equity na nyingine hazina masharti ya mtaji. Mashine hulipiwa CRDB 236,000/=, NMB 500,000/= kwa sasa, Equity 200,000/=, Azania bank 300,000/=. Cha ziada ni lazima uwe layout ya biashara yako nje na ndani. Muda wa bank kupata machine ni changamoto kidogo mpaka uwe verified na BOT ndio bank itakuruhusu kupewa inaweza ikakuchukua miezi hata sita bado unasotea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu (Minimum capital) Mtaji kiasi gani unahitajika kwa kuanzisha bashara ya Mpesa, Airtel Money, Togo pesa, Halopesa?
 
Mkuu mi naomba kuuliza ....kuhusu hii changamoto ya pesa baada ya kazi ....mfanyakazi anarudi nayo home....inabaki ofisini .....au mwenyew unaenda jioni kuichukua .....
 
Onyo:
Usijaribu nilichokifanya kama huna ozoefu katika biashara hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid-19.

Tuanze na maelezo.

Je Umeshawahi kucheza ule upatu wa uswahilini ule wa kuchanga hela kila baada ya muda na mmoja anachukuwa kwa mzunguko? Na je unautumiaje na unawezaje kurejesha fedha za mzunguko?

Soma kisa changu.

Mwaka Jana mwezi wa tano kuna rafiki yangu alinitafuta na kunijulisha kuwa wapo 9 members wanataka kuchangiana kila mwezi 1M na fedha atapewa mmoja na target iwe miezi kumi ili kila mmoja ameet dreams zake, hivyo kama nitaweza nijoin.

Nilimkubalia ila kwa masharti kwa vile yeye ndiye anawafahamu na kwa nature ya shughuli yangu biashara nitaomba niwe wa kwanza kupokea ili nisizohofishe biashara zangu. Nilipomuuliza juu ya hao wengine aliniambia wote ni wafanyakazi wenye vipato vya kutosha kutoa hiyo 1M pasipo kuyumba.

Baada majadiliano tukapanga siku tukutane wote 10 na tukaandika muhtasari wetu wa makubaliano na mwezi ambao kila mmoja atachukua na tutakubaliana kila mmoja atachukua kwa maandishi na muundo Fulani hivi wa kisheria.

Nikakubaliwa kuwa wa kwanza kwa nature za shughuli zangu za biashara. Miongoni mwa hao members kulikuwa na washkaji wa Bandari, Doctors na michanganyiko mingine yenye kipato cha wastani ila wengi hawakuwa na ndoto za biashara.

Mwisho wa mwezi May 2019 nikakabidhiwa fungu la 10M ikiwa na pamoja na million yangu na zao 9M. Nilichokifanya kwa vile niko nafanya biashara za fedha za mtandao nina uzoefu wa maeneo ambayo ukiweka biashara haitokutupa. Nikaamua hizi hizi hela zao ndio mtaji wangu. Nikatafuta sehemu nikapata fremu ya 300k monthly for six months.

Mchanganuo wa matumizi.
1. Kodi miezi 6 = 1.8M
2. Ukarabati na design front view = 500k
3. 236k Machine ya CRDB
4. Line za uwakala na machine ya NMB nilihamisha kutoka kwenye moja ya ofisi yangu yenye machine 2 na line za ziada.
5. Usiniulize leseni najua nimeipataje.
6. Mfanyakazi, nilimuhamisha mmoja kutoka ofisi yangu za zamani mshahara wake ni 300k kula juu yake.
7. Mtaji wa uzungushaji ulibaki around 7.2M

Mwanzo wa biashara.

Nashukuru Mungu sehemu ile ulikuwa na return nzuri ya around 1.6m mwezi wa kwanza kwa maana mwisho wa mwezi wa 6/2019. Hii nikawa natoa 1M kurudisha upatu na 300k ya mfanyakazi inayobaki naiacha iongeze biashara. Kwa kadri muda ulivyokwenda biashara imekuwa ikitoa profit kubwa na miezi yote nafanya kutoa hiyo 1M na 300k za mfanyakazi na kusave mpaka tulivyomaliza mzunguko mwisho wa mwezi wa pili 2020. Sasa nimebakiwa na around 10M ambazo nimezipata kwa ile 1M yangu na monthly profit around 2M monthly. Mantiki yangu hapa ni kwamba kama ningekaa nazo tu zile hela mpaka mzunguko unaisha nilipaswa kubaki na 1M only.

Malengo ya baadae.

Malengo yangu ni kwamba mpaka mwisho wa mwaka huu nikusanye 10M nyingine kutoka kwa hii miezi 7 iliyobaki kwa kusave profit ya 1.5M ambayo roughly nitapata 10.5M ambazo zitafanya mtaji ufike 20M. Ikishafika hiyo 20M nitaweza kupata around 3M as monthly profit.

Kwa rate 3M nataka mpaka mwisho wa 2021 nikusanye profit ya 30M kutoa kodi ya frem na mfanyakazi. Hii itafikisha around 50M kama mtaji. Ikifikia hapo nitabreak into 2 business branches. Nitawajulisha kama Mungu ataweka hai.

Hii nataka iwe historia ya kipekee katika maisha yangu. Sizitumii fedha hizi vile nina vyanzo vingine mpaka majariwa itakapofika 100M kutoka kwa hii 1M. Wale members wenzangu wengine wamenunua viwanja, wengine magari ya kubebea madem kila mtu mradi anatimiza alichokusudia. Mbaya tu nimesikia wale wa mwanzoni kule walinunua magari na tayari wameshayauza.

Katazo la mwisho.

Sijaandika ili kujigamba au kwa nia ovu, na sitojibu ujumbe wa mtu yeyote PM ukiwa na maoni au tatizo tuulizane hapa hapa wala sihitaji kuja kuitwa mwizi au tapeli.

Kuna ambao mutahisi hii ni hadithi ya kusadikika. Nakuwekea record za biashara kwa kitabu cha kuanzia January 2020. Usipoamini pita tu tafadhali bila kukwazana.

Mubarikiwe wote.

View attachment 1450255View attachment 1450256View attachment 1450257View attachment 1450258View attachment 1450259
Sikupingi mdau namjua alianza na laki 5 hadi mil 4 anatengeneza mil1 cost yake miguu tu ofisi iko mfukoni
 
Kitu cha muhumu hapo ni nidhamu ya fedha tu hakuna maajabu yeyote.Hata hukuitaji kuwa kwenye upatu Ungeweza ukajiwekea mwenyewe hiyo milioni moja ya kila mwezi Benki na baada ya miezi 10 badala ya miezi 9 unaenda kuchukua milioni 10 zako na ukaendelea na biashara yako kama kawaida.SHIDA YETU ungefanya hivyo usingeweza kuwa na nidhamu ya fedha ungeweza kuzitumia au kutopeleka Benki
 
Duuh hongera,
Kwa lugha rahisi ni tuseme ulikopa mil9. Kuanzisha biashara kwa kutegemea hela ya mkopo 100℅ ni risk sana.

Nadhani kilichokusaidia zaidi ni kuwa ulianzisha biashara huku huitegemei ikuendeshee maisha. Nafikiri ndio maana umefaulu vyema sana.
Nimeipenda sana!!
 
Onyo:
Usijaribu nilichokifanya kama huna ozoefu katika biashara hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid-19.

Tuanze na maelezo.

Je Umeshawahi kucheza ule upatu wa uswahilini ule wa kuchanga hela kila baada ya muda na mmoja anachukuwa kwa mzunguko? Na je unautumiaje na unawezaje kurejesha fedha za mzunguko?

Soma kisa changu.

Mwaka Jana mwezi wa tano kuna rafiki yangu alinitafuta na kunijulisha kuwa wapo 9 members wanataka kuchangiana kila mwezi 1M na fedha atapewa mmoja na target iwe miezi kumi ili kila mmoja ameet dreams zake, hivyo kama nitaweza nijoin.

Nilimkubalia ila kwa masharti kwa vile yeye ndiye anawafahamu na kwa nature ya shughuli yangu biashara nitaomba niwe wa kwanza kupokea ili nisizohofishe biashara zangu. Nilipomuuliza juu ya hao wengine aliniambia wote ni wafanyakazi wenye vipato vya kutosha kutoa hiyo 1M pasipo kuyumba.

Baada majadiliano tukapanga siku tukutane wote 10 na tukaandika muhtasari wetu wa makubaliano na mwezi ambao kila mmoja atachukua na tutakubaliana kila mmoja atachukua kwa maandishi na muundo Fulani hivi wa kisheria.

Nikakubaliwa kuwa wa kwanza kwa nature za shughuli zangu za biashara. Miongoni mwa hao members kulikuwa na washkaji wa Bandari, Doctors na michanganyiko mingine yenye kipato cha wastani ila wengi hawakuwa na ndoto za biashara.

Mwisho wa mwezi May 2019 nikakabidhiwa fungu la 10M ikiwa na pamoja na million yangu na zao 9M. Nilichokifanya kwa vile niko nafanya biashara za fedha za mtandao nina uzoefu wa maeneo ambayo ukiweka biashara haitokutupa. Nikaamua hizi hizi hela zao ndio mtaji wangu. Nikatafuta sehemu nikapata fremu ya 300k monthly for six months.

Mchanganuo wa matumizi.
1. Kodi miezi 6 = 1.8M
2. Ukarabati na design front view = 500k
3. 236k Machine ya CRDB
4. Line za uwakala na machine ya NMB nilihamisha kutoka kwenye moja ya ofisi yangu yenye machine 2 na line za ziada.
5. Usiniulize leseni najua nimeipataje.
6. Mfanyakazi, nilimuhamisha mmoja kutoka ofisi yangu za zamani mshahara wake ni 300k kula juu yake.
7. Mtaji wa uzungushaji ulibaki around 7.2M

Mwanzo wa biashara.

Nashukuru Mungu sehemu ile ulikuwa na return nzuri ya around 1.6m mwezi wa kwanza kwa maana mwisho wa mwezi wa 6/2019. Hii nikawa natoa 1M kurudisha upatu na 300k ya mfanyakazi inayobaki naiacha iongeze biashara. Kwa kadri muda ulivyokwenda biashara imekuwa ikitoa profit kubwa na miezi yote nafanya kutoa hiyo 1M na 300k za mfanyakazi na kusave mpaka tulivyomaliza mzunguko mwisho wa mwezi wa pili 2020. Sasa nimebakiwa na around 10M ambazo nimezipata kwa ile 1M yangu na monthly profit around 2M monthly. Mantiki yangu hapa ni kwamba kama ningekaa nazo tu zile hela mpaka mzunguko unaisha nilipaswa kubaki na 1M only.

Malengo ya baadae.

Malengo yangu ni kwamba mpaka mwisho wa mwaka huu nikusanye 10M nyingine kutoka kwa hii miezi 7 iliyobaki kwa kusave profit ya 1.5M ambayo roughly nitapata 10.5M ambazo zitafanya mtaji ufike 20M. Ikishafika hiyo 20M nitaweza kupata around 3M as monthly profit.

Kwa rate 3M nataka mpaka mwisho wa 2021 nikusanye profit ya 30M kutoa kodi ya frem na mfanyakazi. Hii itafikisha around 50M kama mtaji. Ikifikia hapo nitabreak into 2 business branches. Nitawajulisha kama Mungu ataweka hai.

Hii nataka iwe historia ya kipekee katika maisha yangu. Sizitumii fedha hizi vile nina vyanzo vingine mpaka majariwa itakapofika 100M kutoka kwa hii 1M. Wale members wenzangu wengine wamenunua viwanja, wengine magari ya kubebea madem kila mtu mradi anatimiza alichokusudia. Mbaya tu nimesikia wale wa mwanzoni kule walinunua magari na tayari wameshayauza.

Katazo la mwisho.

Sijaandika ili kujigamba au kwa nia ovu, na sitojibu ujumbe wa mtu yeyote PM ukiwa na maoni au tatizo tuulizane hapa hapa wala sihitaji kuja kuitwa mwizi au tapeli.

Kuna ambao mutahisi hii ni hadithi ya kusadikika. Nakuwekea record za biashara kwa kitabu cha kuanzia January 2020. Usipoamini pita tu tafadhali bila kukwazana.

Mubarikiwe wote.

View attachment 1450255View attachment 1450256View attachment 1450257View attachment 1450258View attachment 1450259
Hongera sana mkuuu, ni mfano mzuri wa kuigwa. Nimependa sana maamuzi yako na nimejifunza sana kutoka kwako. Naomba nafas ya kuonana nawe nina muongozo nahitaji.
 
Story tu hizi,
Kwa miezi 10,na wewe umewachangia wenzio 9M,sasa hiyo faida ya 10M kutoka 1M,inatoka wapi?ulichofanya Cha kawaida sana,hata kijana wa darasa la Saba,anaweza,nothing unick
 
Una bahati sana na ninafikiri huyo mfanyakazi ni ndugu yako au mtu wako wa karibu pia mcha Mungu. Kwa mtaji huo mkubwa kiasi hicho wala isingekuchukua zaidi ya miezi mitatu kabla ya kufunga biashara.
 
Biashara yeyote inaambatana na bahati pia. Ni asilimia chache sana kwenye biashara hii wanaweza kusimama na kusema walipata faida zaidi ya hasara na kujutia pesa yao hasa wale wanaotumia wafanyakazi wa kuajiriwa.
 
Muongeze mfanyakazi mshahara asikuibie. Kiukweli hii biashara nimeifanya mwaka mmoja sasa. Tena mi mwenyewe ila j3 ya tar3/08/2020 sitokaa niisahau katika maisha yangu. Kaja mtu kaiba mtaji wote sasa nna mpango wa kuuza line na baadhi ya vitu vya ndani nikatafute maisha mkoanj

Dah..ilikuwaje ukaibiwa
 
Back
Top Bottom