Jinsi nilivyoteswa na mama mkwe, alichoma vyeti vyangu vyote

Mi naomba thread yako uigawe mara mbili. Ya mamamkwe ibaki mmu ya mtaji wa 7m iende jukwaa lake.

Duh Kazi Kweli Kweli......

Sasa nauli ya kwenda Mwanza uliipata wapi na kwanini ulingoja mpaka uuze ng'ombe ndio upige simu si ungeazima simu..

Anyway kwa wale watakaopoteza vyeti vyao procedure ni kwenda polisi ku-report na kwenda wizarani kupata cha form four na six na chuo walichotoka na kujieleza ili wapewe copy nyingine

Utapata vyeti vipya, au unaweza enda kwa mwajiri wako wa zamani anaweza kukupa hata kopi ukaanza nazo

Baada ya kusimamishwa kazi mambo mengi yalikwama kiasi cha kutimuliwa kwenye nyumba nliyokuwa naishi anga za Sinza.

Mama mkwe alinibembeleza sana nikakae nyumbani kwake Tegeta ambako ana nyumba kubwa na anaishi peke yake.

Nilienda ili nikae kwa wiki moja then niondoke ili nirudi kijijini kwetu Nassa Jeneri ili nikauze ng'ombe na nije kuanza maisha upya.

Siku ya tatu ya ukaaji wangu ukweni nikiwa busy na JF mara sms ikaingia. Ile msg inaingia tu waif akaidaka simu na kukimbia nayo.

Akampelekea mama yake, ambaye akaja akiwa amekasirika sana. Mke wangu akaanza kunitukana kuwa mimi ni malaya na mama mkwe akaanza kuchana chana nguo zangu huku akinisimanga kuwa sina mbele wala nyuma na matusi mengine mengi mazito yasiyoelezeka.

Nguo zangu zikachanwa kiasi cha kuniacha mtupu kabisa, nikamwagiwa maji na kutolewa nje ya geti mchana kweupe.

Simu yangu, vyeti, laptop na vitu vyangu vyote vikabaki kwa mama mkwe wangu.Niliondoka hadi mitaa ya jirani ambako kuna rafiki zangu walionisitiri.

Baada ya siku chache nikaenda Mwanza kuuza ng'ombe wangu, sikuwa na simu wala namna yoyote ya mawasiliano.

Nikiwa Mwanza niliuza ng'ombe nikanunua simu na kumpigia mama watoto.

Akaniambia kuwa yale yote yalitokana na hasira, ndipo nikamuuliza kwani ile msg iliyoleta songombingo ilikuwa inasemaje?

Akaniambia ilitumwa na sekretari wangu na aliiandika Dear boss, hali ya ofisini ni mbaya sana amna amani, i m praying for you. Dah.. Nlivyo ambiwa hivyo nkatamani kucheka na kulia kwa wakati mmoja.

Nikauliza vyeti vyangu, nikaambiwa mama mkwe kachoma moto vyeti vyangu vyote vya sekondari hadi chuo.

Nliposikia hivyo niliumia sana.

Sasa nina mtaji wa milioni saba, wana jamvi anaombeni ushauri wenu je nifanye biashara gani kwa mtaji nilionao? Maana sina tena vyeti, biashara ndio maisha yangu yajayo.

mmmmh!habari yenyewe haitaki kabisa kuingia kichwani mwangu!
Hivyo vyeti vilikuwa kwenye meza ya chakula?aliwezaje kuvipata kirahisi hivyo!!!
Na wewe ulikuwa unadhalilishwa hivyo ukiwa kimya?ulishindwa hata kukimbia!ukachekelea tu ukichaniwa nguo?umenikasirisha sana,hauta pata hata ushauri
wangu wa kibiashara!

n

Na hapa inmaonekana jamaa anatudanganya tuu. Kwani kwa mwajiri hata copy ya vyeti hakutoa wakati anaomba ajira
Ameshindwa kwenda hata kwa yule mwajiri aombe wampe copies za vyeti vyake
Na je yeye mwenyewe hakuwahi kutoa hata copy ya vyeti vyake
Ahhh story za kutunga bana

Duh Kazi Kweli Kweli......

Sasa nauli ya kwenda Mwanza uliipata wapi na kwanini ulingoja mpaka uuze ng'ombe ndio upige simu si ungeazima simu..

Anyway kwa wale watakaopoteza vyeti vyao procedure ni kwenda polisi ku-report na kwenda wizarani kupata cha form four na six na chuo walichotoka na kujieleza ili wapewe copy nyingine

Nauli alinipa mmoja wa wafanyakazi yangu. Kuuza ng'ombe was my first plan.
Nilimpigia mama watoto baada ya hasira kupungua, only that

Na hapa inmaonekana jamaa anatudanganya tuu. Kwani kwa mwajiri hata copy ya vyeti hakutoa wakati anaomba ajira
Ameshindwa kwenda hata kwa yule mwajiri aombe wampe copies za vyeti vyake
Na je yeye mwenyewe hakuwahi kutoa hata copy ya vyeti vyake
Ahhh story za kutunga bana

Umeona ehhhhh????

mmmmh!habari yenyewe haitaki kabisa kuingia kichwani mwangu!
Hivyo vyeti vilikuwa kwenye meza ya chakula?aliwezaje kuvipata kirahisi hivyo!!!
Na wewe ulikuwa unadhalilishwa hivyo ukiwa kimya?ulishindwa hata kukimbia!ukachekelea tu ukichaniwa nguo?umenikasirisha sana,hauta pata hata ushauri
wangu wa kibiashara!

n

Shigongo kuna kijana anaitwa Mikela hebu M-PM utende naye kazi maana yuko juu ile mbaya

Duh Kazi Kweli Kweli......

Sasa nauli ya kwenda Mwanza uliipata wapi na kwanini ulingoja mpaka uuze ng'ombe ndio upige simu si ungeazima simu..

Anyway kwa wale watakaopoteza vyeti vyao procedure ni kwenda polisi ku-report na kwenda wizarani kupata cha form four na six na chuo walichotoka na kujieleza ili wapewe copy nyingine

We umeshangaa nauli ya kwenda Mwanza mie nimeshangaa hata hiyo M7 za fasta hivyo katoa wapi??? Na kwanini hakuuza baada ya kufukuzwa kazi???? Maswali mengi hayana majibu.

(Mikela sikuhukumu tafadhali nielewe)

Kijana, kaombe transcript UDSM. Halafu toa taarifa ya polisi kuhusu cheti chako. Kama ni cha zamani yaani kuanzia mwaka 2002 kurudi nyuma unaweza kuandaliwa cheti kingine ila kama ni hivi vipya vya kutengezewa UK, nadhani utapata kilichoandikwa copy katikati. Hebu jaribu. Vya NECTA ffuata taratibu za polisi halafu nenda NECTA utapewa results slip na pia cheti chenye maandishi ya copy katikati. Hujapoteza kitu hata kidogo. Unaweza kutafuta kazi bila tatizo.
Huyo mama mkwe ana matatizo pamoja na huyo mkeo. Ila yawezekana ulikuwa si mwaminifu ktk ndoa yako na mkeo keshamwambia mama yake. Kijana jifunze kuheshimu ndo. Starehe ya dk 10 itakupotezea mambo mengi.

Mbona mi naona kama ameandika kwa paragraphs vile... au macho wangu ndio yanahitaji msaada wa yule mganga wa bungeni PROFESA MAJI MAREFU?

angalia kilichoandikwa utoe ushauri paragraph has nothing to do with you bana! acha mbwembwe!

Nafikiri unachohitaji ni kumkaribisha Yesu katiika maisha yako. Sidhani kama ni kipindi kwako kizuri cha kufanya biashara ya aina yoyote kama una miss ya kumjua Mungu. Nahisi kabla ya hii story yako una mambo mengi mabaya umefanya, au umefanyiwa ambayo katika njia moja au nyingine umeyatunza rohoni kwako wakati unatakiwa kuachilia.

Nakushauri uangalia background yako huko nyuma ulikuwaje? Kwa nini anguko limekuacha ulivyo? Jitambue ili uweze kusonga mbele. Kama hujaachilia ya huko nyuma nahisi kila utakachoweka mkono wako hutafanikiwa. Nakupa hii kwa sababu nina experince.

Pole kwa matatizo yote. Mungu akutie nguvu.

AMEN

CD

Na hapa inmaonekana jamaa anatudanganya tuu. Kwani kwa mwajiri hata copy ya vyeti hakutoa wakati anaomba ajira

Ameshindwa kwenda hata kwa yule mwajiri aombe wampe copies za vyeti vyake

Na je yeye mwenyewe hakuwahi kutoa hata copy ya vyeti vyake

Ahhh story za kutunga bana
Na mimi nilihisi hivyo.
1. Graduate gani asiyejua kuwa kuna transcript za chuo. Tena transcript zinatumika zaidi ya cheti
2. Ameanza story kwa kumtaja mama mkwe mara ghafla katikati ya paragraph mke anaibuka.
3. Aliombwa yeye tu kwenda kuishi na mama mkwe, mkewe hakuwa kwenye picha.

Kind of fishy!

mie mwenzenu naamini haya aliyoyasema mikela......sababu nishawahi kusoma nyuma stori yake na mkewe waligombana mke akavunja vyombo ndani vyote! so huyo mke na mama yake wote gubu tu linawasumbua nadhani...........................pole sana mikela hizo milion 7 ungeziinvest kutafuta vyeti vyako(copies) na kutafuta kazi nyengine....nadhani ukipata kazi ambayo una utaalamu nayo utakuwa na amani kwa sababu ushawahi kufanya....otherwise unaweza fanya biashara ya piki piki au bajaji ila kwa sasa nayo ngumu sababu ya mafuta lol

Back
Top Bottom