Jinsi nilivyotapeliwa $600 Kampala Uganda

Nimepamis sana KAMPALA MULUNJINYO MUKWANO WANGE. Sema hii covid 19 imezingua sana
 
Kazi za serikali ni ngumu sana. labda mtu akusaidie kwenye mchakato wa ajira na si kukushika mkono kwenda kazini
Hata kushikwa mkono kupelekwa ofisini kupo ndugu yangu inategemea tu huyo aliyekushika mkono ufunguo wake unafungua hadi wapi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom