Jinsi nilivyopiga chini Proposal ya Zoom Tanzania kutangaza nasi!

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Nimeingia ofisini, mara HOD ananiambia.."Dude, I've forwarded you an Email, do I need years to get your feedback?" ile kufungua, nakuta ni Marketing Proposal ya Zoom Tanzania, ati wanatuomba tutangaze nao, kwasababu they have a massive number of visitors per month, so we have an opportunity to sell our products! nikageuka nikamwambia HOD:
"Sir!..."
"don't call me Sir godman it!"
"Ok Sir; Silvester!, this Zoom Tanzania thing is a total fraud!"
"why?"
"those thousands visitors are per month are broke folks, looking for job!"
"really?"
"Yes Sir!"
"Dude, I told you not to call me Sir!"
"Yes Sir, I mean, Sylvester!"

Unajua kilichofatia? tuliipiga kapuni proposal yao, these Zoom Tanzania people should work on their "LEGITIMACY".
 
Nawashukuru Zoom Tanzania waliniwezesha nikauza gari langu kupitia mtandao wao within a 2 days.
 
hivi unahisi wanaotafuta kazi wote wana shida sana,au wote kwao ni mabovu kinoma...elimu ya mtanzania inamjenga kuajiriwa so usitishike kutangaza nao
 
Ww si umeilalamikia PSPF wamekunyima mafao kumbe kustaafu bado na huenda ni Kampuni ya briefcase
Hebu waache zoomtanzania.com mimi ni member na nimeuza gari 2 kupitia kwao nikiwa Dodoma, biashara yao ni wazi na hulipii chochote ww weka no. yako
 
Honestly mtandao wa Zoom unanisaidia sana kupata bidhaa ninayoihitaji. Sikubaliani nawe kuwa wanaotembelea site hiyo ni broke folks
 
Nimeingia ofisini, mara HOD ananiambia.."Dude, I've forwarded you an Email, do I need years to get your feedback?" ile kufungua, nakuta ni Marketing Proposal ya Zoom Tanzania, ati wanatuomba tutangaze nao, kwasababu they have a massive number of visitors per month, so we have an opportunity to sell our products! nikageuka nikamwambia HOD:
"Sir!..."
"don't call me Sir godman it!"
"Ok Sir; Silvester!, this Zoom Tanzania thing is a total fraud!"
"why?"
"those thousands visitors are per month are broke folks, looking for job!"
"really?"
"Yes Sir!"
"Dude, I told you not to call me Sir!"
"Yes Sir, I mean, Sylvester!"

Unajua kilichofatia? tuliipiga kapuni proposal yao, these Zoom Tanzania people should work on their "LEGITIMACY".
Thanks zoom my wife got a job! Ur some douchebag to ignore..!
 
Kama sijakosea wiki kama iliopita wewe jamaa ulikuaa unaomba upate kazi yoyote ya kufundisha au ulikua ni muongo?
Pia alishakuja na nyuzi ingine humu kuwa ni mpigaji mzuri wa gitaa kwenye events mbalimbali! 20,000 kwa saa. ukiwa muongo muongo! uwe na kumbukumbu!
 
Nawashukuru Zoom Tanzania waliniwezesha nikauza gari langu kupitia mtandao wao within a 2 days.
Mie bodaboda zangu zoote nikifanya replacement nauzia kupitia zoom pekee.
Hawa jamaa wapo vizuri saana,labda mtu atumwe

Kuna mtu aliuza Hotel yake kupitia Zoom,tena alieiona yupoCanada huko,ni mtandao wenye kutizamwa na watu wengi sana Duniani
Zoom habari nyingine kabisaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimeingia ofisini, mara HOD ananiambia.."Dude, I've forwarded you an Email, do I need years to get your feedback?" ile kufungua, nakuta ni Marketing Proposal ya Zoom Tanzania, ati wanatuomba tutangaze nao, kwasababu they have a massive number of visitors per month, so we have an opportunity to sell our products! nikageuka nikamwambia HOD:
"Sir!..."
"don't call me Sir godman it!"
"Ok Sir; Silvester!, this Zoom Tanzania thing is a total fraud!"
"why?"
"those thousands visitors are per month are broke folks, looking for job!"
"really?"
"Yes Sir!"
"Dude, I told you not to call me Sir!"
"Yes Sir, I mean, Sylvester!"

Unajua kilichofatia? tuliipiga kapuni proposal yao, these Zoom Tanzania people should work on their "LEGITIMACY".

Aisee waambie waliokutuma wamechemka
Hayalfu kujifanya msomi,hivi ndio umeandika nini?maana mwanangu anasoma pale Olympion Std 5 nimempa asome labda mie sijaelewa,lakini yeye imebidi acheke tu na kusema baba hivi kama hujui kiingereza si ukae kimya tu,ndio ameandika nini.
Halafu post yenyewe imechacha,Waambie waliokutuma wajipange tena.
Maana siku hizi kuna vimitandao uchwara kibaooo vinavyofanya kazi hizi.
ZOOM NI BRAND KUBWA MKUU,sie tuliofanikiwa na kufaidika na zoom tunajua umuhim wake kaka
 
Back
Top Bottom