The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 2,997
- 4,166
Interested .mkuu venus unaongea kitu ambacho si rahisi mtu mwenye akili ya kawaida kuelewa...ww ulikutana na alien..na chombo chao kinaitwa ufo, wana technolojia kali sana na wako mbele yetu mno..chombo chao kinatumia electromagnetic na kinatembea speed sana kinakata kona 90 degree na kinaweza kusimama angani..mm nimekiona juzi angani...wanataka sana kutufundisha ila nadhani hofu yao ni kwamba tunaeza kutumia technologia kumalizana...