Jinsi nilivyomuokoa mzee mmoja na njama za kutaka kuuawa na kijana wake

Aisee wadau acha tusonge mbele mbele.....
Inaendelea nilipoishia na hii ndio dawa yao japo na mimi nina kipolo changu huko.
Basi uwezi amini kipindi kile japo watumiaji wa simu hawakuwa wengi sana Ila kumbe ilikuwa muhimu sana kukariri japo namba chache za watu wangu wa Karibu kichwani. Pia napenda kuwakumbusha siku zote za maisha yako hapa duniani hakikisha unazo kichwani namba angalau 5 za watu wako wa Karibu, ili siku likikukuta la kukukuta huko usihangaike sana.

Nilibahatika kufika town kimazabe mazabe hivyo hivyo, kwanza kabla sijaenda home kwa bi mkubwa nikapitia gheto kwa rafiki yangu mmoja hivi ili anipe support ya kuelekea home, maana kwa jinsi bi mkubwa wangu alivyokuwa mtata asingenielewa hata kidogo.
Na sikutaka kumpa pressure kabisa kuhusu huu UTOPOLO uliokuwa unaniandama.
Mshkaji nilimpanga kila kitu kuhusu maujinga yote yanayonisibu, na ikaonekana ni heri zaidi nikatoe taarifa polisi, maana yule mzee alishaanza kuonekana mtu hatari sana kwangu, we jiulize hadi anawakodi watu wa kuniteka na kunipa vitisho?? Sasa siku akiamua kunipokonya namba si atanipokonya kizembe huyu!!? Chakufia mapema nini? eti kisa ushkaji ndio nivumilie maviboko yote Yale ambapo hata kule ilbolu sikuwai kuchapwa hivyo!!

....... Ngoma mpeto mpeto hadi kwa bi mkubwa, aisee kumkuta mother kapanick kinyama, kumbe yule dogo alifika home kuniulizia alafu alienda kiwaki sana kana kwamba anatafuta jambazi na RB mkononi, nikaona isiwe taabu sana acha nianze nao ligi isiyo na mdhamini. Mother nikampa story yote mwanzo mwisho na mwisho akaniwamba kofi eti kwanini wakati nalamba mikwanja ya advance toka kwa mama J sikumpa hata senti moja nyekundu!! Nyie njaa hizi acheni tu.

Itaendelea........

Tunaendelea Sasa, kutokana na kuonekana na bi mkubwa kuwa minoti nilitumia alone, yaani man alone bila kumshirikisha na yeye akajitoa kabisa kunisaidia, kwa ahadi ya siku nikiwekwa lupango atakuwa ananiletea viazi na uji siku moja moja hadi nikome kujifanya mwamba wa mipango mjini.
Ikaisha hiyo, mzee nikaingia ndani nikachange nguo, nikavaa magwanda ya vita sasa, kuna trouser yangu moja hiyo ya kitambaa chata Tokyo, huwa nikiivaa inanifichia umaskini wangu na hiyo huwa inavaliwa mara moja moja, either church kama nikioteshwa kwenda church siku hiyo, au sherehe za kikanisa kanisa.......

Juu nikapiga shati yangu ya mikono mifupi na kiatu kimoja hivi amaizing, ukiniangalia vibaya unaweza kudhani afisa wa TRA anapita mtaani kukagua wakwepa kodi, kumbe ni mbwa kala mbwa hiyo.
Ngoma hiyo na mpambe wangu moja kwa moja hadi kirumba police station, nia na madhumuni ilikuwa kwenda kutoa taarifa za vitisho nilivyotishwa pia kumshtaki yule father kwa kunihisi natembea na mke wake wakati sio kweli, na kuhusu yule dogo ( yaani mtoto wake) huyo sikuwa na shaka nae sana maana nilikuwa najua namna ya kumpata na kumtingisha kisawa sawa.
Nilikutana na yule kamanda wa mwanzo, nikamkumbusha tukio langu, na nikampa taarifa zote za jinsi nilivyovhukuliwa mkuku mkuku na bakora juu Hadi nje kabisa ya mji huko.

Baada ya kuandikisha maelezo, ikabaki issue ya mzee atafutwe ili tukae tuzungumze na sikuona sababu ya kumchukia kwa kitendo cha kunikodia wale wababe, maana nilijua fika uchungu wa mke.
Nilipomalizana na wandewa pale polisi, Sasa kazi ikawa ni kumtafuta yule shwaini muuzia wenzie matatizo. Kwa kuwa sehemu zake zote za kujiongezea dhambi kilazima nazijua, hivyo Mimi na mpambe wangu hatukupata shida sana kumfind huyo dogo.
Aisee nilipomuona nilipandwa na hasira kinyama, ukizingatia hadi muda huo siri zake sijavujisha alafu ndio kwanza yeye anaanza kuniangushia jumba bovu wakati mama ake anamtafuna mwenyewe. Nakajisemea je? wakisha mpunguza yule mzee wao si Mimi ndio nitaonekana muuaji?
Nikaona huu utakuwa ujinga Sasa, nikamsogelea nikamwuliza swali moja dogo tu, unataka nini tena toka kwangu, akajibu akasema, we malaya potea hapa, kima wa kidukuma wewe.

Hivyo nawaambia hadi leo hii nadhani nitakuwa na ufa kwenye fuvu la mbele la kichwa, maana nilimvika ndoo yule fackin hadi bar ikafungwa muda huo huo, ugomvi wake ulikuwa sio mchezo. Niliwasha moto wa kihabeshi siku hiyo na trouser yangu ya kichungaji mwanzo mwisho.
MSIPENDE KULA POP CORN TU, KUANDIKA KUNACHOSHA, NAJUA MTACHONGA SANA MABOTI ILA ITAENDELEA KESHO.

Finally mihogo twashushia Na chai
 
Umenata na biti vijana wanasema endelea mkuu

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Jamani msimseme seme , hawachelewagi kuzira watu wa namna hii , ukizingitia story ndyo tushaanza ifuatilia, nyie mwacheni akishamaliza tu ndyo tutampa vyake .
 
Sijui kama inaendelea au ndo mwisho.

Hope kwako tamaa ya zile pesa ndo ilikutesa mpaka ukakubali kununuliwa.

Hope hukumsaidia mzee maana ulikuwa unatiririka tu na wale wauaji ambapo mwisho wewe ndo ungekabidhiwa zana za kuua, si uliishaonekana unapenda pesa?.

Anyways ngoja nione umemalizaje.
 
Usiendelee unaizingua unaandika kifala, una andika kwa visentesi viwili viwili tu ndo nini sasa? Amdika yote story iishe au acha kabisa kuandika tusome story zingine maana zipo nyingi tu.
Acha kupaniki Boss. Life is too short mzee..
 
Back
Top Bottom