Jinsi nilivyomuokoa mzee mmoja na njama za kutaka kuuawa na kijana wake

Kasha potelea kusiko julikana , moja ya mipango yangu ndani ya mwaka huu , ni kwamba nisijisumbue kufuatilia story yoyote ndani humu , ona sasa sijui nini kimenikuta mbaka nikaanza kuifuatilia story hii , natabaki nateska tu na kiu jamaa hata haendelei tujue mwishoe ikawaje .
 
Badala ya kujifunza uharamia WA wanawake; Hasa Wenye umri mkubwa kuoa watoto!
Aisee ukiwa na mali na umri umeenda Acha kabisa kaa mbali na watoto wadogo awachelewi kumuita mtoa roho.
Mke wa kwanza uliyechuma nae nadra Sana kukuua wa pili chance ni 75% Ili arithi mali na ampendae
 
Back
Top Bottom