Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Mtindi unakunywa 1/2 litre kwa wiki mara tatu, halafu kitunguu swaumu unameza na maji ya moto/uvuguvugu
muda wa kunywa asubuhi kabla hujala kitu. Dose ni siku saba
kitunguu swaumu kimenye kizima kimoja .Kwa matokeo chanya zaidi kitunguu unaweza kitwanga na ukachanganya na maji ya uvuguvugu

Mimi chakutwanga kilinishinda ingawaje nilielekezwa kutumia kile kilichopondwapondwa.

Tahadhari wenye presha ya kushuka vitunguu swaumu vimaweza kushusha zaidi .

Mwenye swali naomba aniulize hapa kwa manufaa ya wengi na sio PM. Maradhi hayana aibu
 
Salute wakuu

Sifa na utukufu zirudi kwake Mola mlezi alieumba magonjwa na tiba zake ninayofuraha kubwa kuwashirikisha dawa rahisi iliyonitibu ugonjwa ulionisumbua kwa muda mrefu.

Ugonjwa wa fangasi umenitesa sana pamoja na kuwa usafi nilizingatia sana, chupi nilivaa za pamba, situmii sabuni nikiwa najisafisha sehemu za siri lakini bado niliendelea kuumwa.

Katika kusoma nikagundua shida ni goita niliyonayo,dawa nilishachoka kutumia hivyo nilifanya kujaribu tiba ya mtindi na kitunguu swaumu.Wale wenzangu wenye tatizo la fangasi sugu sehemu za siri naomba mjaribu tiba hii.
Mtindi na Vitunguu swaumu unavifanyaje. Tiba inakuwaje?
 
Hellow
Mm nimesumbuliwa hiyo kitu kwa miaka5.
Nimetumia hivyo vidonge vya blue vya Hospital Tshs 30, 000 havitibu kabisaa!!

Ili nibidi nitafute dawa za miti shamba. Ina hitaji ujasiri kwenda kutumia dawa za asili. Kichupa kidogo tu, dawa ni ya njano. Mtaalamu mzuri huchanganya na dawa zingine kama 4 hivi.
Ni Tshs 2000 au 5000.

Nilipata siku 7 tu. Fangas imeisha kabisaa!!
upo best
 
Nyingi hazina...lakini sikulazimishi! Fanya yale ambayo unsona ni sawa machoni pako!
Hapo ndo nmekutoa akili chizi we

Dawa za hospital hazina side effects wkt kila dawa ya hospital unayoijua wewe lazima kuna sehmu y maelezo ya side effects zake

sema kuna mijibu imekarirushwa na imekariri haswaa
 
Naomba unisaidie hiyo mycota powder inapatikana wapi na shilingi ngapi mtoa post tafadhali
Pole sana mkuu, nimekuwa mbali na kijiwe kwa muda mrefu sana.
Unknown.jpg
Mycota powder (Tolnaftate) 1 % Topical Powder inapatikana kwenye maduka ya madawa! Ina bei juu kidogo lakini ukikosa hiyo tumia Lotrimin AF Antifungal Powder au clotrimazole powder inayopatikana kwa bei ya chini ktk maduka ya dawa mengi nchini
candid.jpg

Ukitumia clotrimazole powder itabidi uitumie kwa muda mrefu zaidi ukilinganisha na mycota powder, ila mwishowe matokeo ni mazuri! ANGALIZO:kumbuka kuendelea kutumia angalau wk 2 zaidi baada ya kuhisi kupona ili isijirudie!
 
Watanzania kuna jamaa anajikuna sana. Yupo smart ila haipiti dakika 5 lazima aguse pumbu kwani kunamuwasha sasa nauliza ili nikamshauri. Dawa yake ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom