Mtindi na Vitunguu swaumu unavifanyaje. Tiba inakuwaje?Salute wakuu
Sifa na utukufu zirudi kwake Mola mlezi alieumba magonjwa na tiba zake ninayofuraha kubwa kuwashirikisha dawa rahisi iliyonitibu ugonjwa ulionisumbua kwa muda mrefu.
Ugonjwa wa fangasi umenitesa sana pamoja na kuwa usafi nilizingatia sana, chupi nilivaa za pamba, situmii sabuni nikiwa najisafisha sehemu za siri lakini bado niliendelea kuumwa.
Katika kusoma nikagundua shida ni goita niliyonayo,dawa nilishachoka kutumia hivyo nilifanya kujaribu tiba ya mtindi na kitunguu swaumu.Wale wenzangu wenye tatizo la fangasi sugu sehemu za siri naomba mjaribu tiba hii.
upo bestMm nimesumbuliwa hiyo kitu kwa miaka5.
Nimetumia hivyo vidonge vya blue vya Hospital Tshs 30, 000 havitibu kabisaa!!
Ili nibidi nitafute dawa za miti shamba. Ina hitaji ujasiri kwenda kutumia dawa za asili. Kichupa kidogo tu, dawa ni ya njano. Mtaalamu mzuri huchanganya na dawa zingine kama 4 hivi.
Ni Tshs 2000 au 5000.
Nilipata siku 7 tu. Fangas imeisha kabisaa!!
Hapo ndo nmekutoa akili chizi weNyingi hazina...lakini sikulazimishi! Fanya yale ambayo unsona ni sawa machoni pako!
Pole sana mkuu, nimekuwa mbali na kijiwe kwa muda mrefu sana.Naomba unisaidie hiyo mycota powder inapatikana wapi na shilingi ngapi mtoa post tafadhali
Ahsante Mkuu ubarikiweTumia dawa inaitwa candid powder
Ni komesha kwa fungas sugu wa aina yeyote