clixus
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 810
- 616
Sasa wewe unajua jins ya kutibu hiyo case lazima uanze na whitefield( comb of salicyclic acid and benzoic acid) though lazima itam irritate sana hasa kweny hizo pumbu
Ukija kwenye skdem baada ya juu kugoma ni vizuri sana kwa maana ina combination of more different drugs(for fungal, bacteria, allergic) ila hata kinheal ipo vizuri kweny hyo case.
Ukija kwenye skdem baada ya juu kugoma ni vizuri sana kwa maana ina combination of more different drugs(for fungal, bacteria, allergic) ila hata kinheal ipo vizuri kweny hyo case.
Hii sio dawa ya fungus, ni just anticeptic.
Mgonjwa, kwa maelezo yako naona unasumbuliwa na fungus aina ya Tinea ungium. Hapo naomba uanze na tube ya White field. Tumia 1x2 means asubuhi paka baada ya kuoga, then jion oga vzr kisha kausha eneo athirika kisha paka dawa. Fanya hivyo kwa wiki 2. Ukiona haujapona Nunua dawa ya SK Derm, fanya tiba kama awali.
Kama haukupona, waweza kunitafuta privately kwa ushauri zaidi.
NB: Zingatia maelezo ya tiba na usiruke siku. Ukivuruga utaratibu fungus huwa sugu na watakuwa wagumu kuwatibu again. Pia hakikisha usafi wa nguo zako za ndani na nje, pia hakikisha unakuwa mkavu muda wote.
Asante