flulanga
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 4,861
- 6,342
Nimefuatilia nyuzi zako za nyuma nanimejua ulikuwa unatengeneza bidhaa gani.Vitendea kazi vipo niliuzaga mashine moja tu ila haiathir sana uzalishaji, soko la ndani lipo vizuri bado japo mm siku base sana na la ndan maana niliona ushindani mkubwa na huwa sipend competition so nilijikita na kutafuta nje zaidi
Nimevutiwa endapo kama tutaweza kufanya kazi wote bila kuathiri mtaji wangu. Ila endapo kama mtaji utakuwa ndani ya uwezo wangu. Au hiyo biashara umeichoka.