Jinsi Nilivyofedheheka:Baba wa bi harusi akatangaza jinai ile..

Niliwahi kukutana kimwili na mchumba wangu..

Mambo yalipoharibika akawa shemeji sasa.. Hakuna aliyejua kati yetu kama mimi naweza kuwa namfahamu hata mtu mmoja wa familia yao hapo kabla..

Vipi kuhusu kukumbushia?! .......
MP.
 
Msemakweli mpenzi wa Mungu , haka kaji'story nimetoka kaputi ! Nimeachwa Msamvu Round about ! Sijaelewa hii maneno.
 
kama ni story ya kweli basi inasikitisha na hapo hapo inafurahisha,so funny
 
huyu kala wote itakua, haiwezekani akapose kabla hajakula.

Sikilizeni mtanielewa... nikiwa na tabia mbaya,nikampa ujauzito binti.. Sikujua ndugu zake hata kidogo...

Niliporekebika kitabia,na kuamua kuoa, binti aliyekuja kuwa mchumba wangu,sikuwahi kujua kama ana undugu na binti niliyepata kumpa ujauzito miaka ya nyuma..

Sasa mnaposema nililala na shemeji yangu sasa shemeji yupi! Maana wote nilitembea nao katika nyakati tofauti na nikiwa sijui kama wanahusiana..
 
Vipi kuhusu kukumbushia?! .......
MP.

Hakuna kukumbushia bosi..
Kama umesoma posts zangu za awali nimesema ya kuwa hata yeye siku ya tukio la mimi kukimbia,hata na yeye alifedheheka!

We fikiria mtu anayempenda,aliyetangaza kwa ndugu zake kuwa atafunga naye ndoa.. Mtu huyo anafika kwa wazazi wake kumbe walipokuwa wanalea katoto kasikokuwa na baba,kumbe baba mtoto ndo huyo mtarajiwa wake!

Hebu pata picha!
 
Msemakweli mpenzi wa Mungu , haka kaji'story nimetoka kaputi ! Nimeachwa Msamvu Round about ! Sijaelewa hii maneno.

Utakuwa ulikuwa una thread nyingi unazotupia posts kwa pamoja.. Yaani huku wataka,na huku wataka.... Hii ilitakiwa utulivu kidogo..na tena I guarantee utapata kitu cha kujifunza..
 
Hadith inatufunza mengi

Ni kweli inafunza mengi... Na ni hadithi kwa kuwa imesimuliwa,lakini ni tukio la kweli lililotokea miaka hiyo,na ukiangalia juu kabisa kabla ya masimulizi yenyewe,nimeandika ilinukuliwa lini...
 
Mwanamke aliyealika mchumba ndiye aliyefedheheka kuliko wewe@ trachomatis

Yeah... Ndiye alikuwa na mategemeo makubwa zaidi ya mwenza..
Ogopa kuwaambia wazazi na ndugu kuwa una mchumba,halafu yatokee ya dizaini hiyo..

Unahisi kama umedhalilisha hadi ukoo wako..
 
Yeah... Ndiye alikuwa na mategemeo makubwa zaidi ya mwenza..
Ogopa kuwaambia wazazi na ndugu kuwa una mchumba,halafu yatokee ya dizaini hiyo..

Unahisi kama umedhalilisha hadi ukoo wako..

Hata chuki huenda ilidevelop..
 
Kaeni mkao wa kula...

Nitakuja na nyingine kesho...

Kwa hiyo,nilijuta kabisa..
 
Back
Top Bottom