Jinsi NEC ya CCM ilivyovihadaa vyama vya upinzani...........kuilinda CCM

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
Kuna mengi ambayo NEC ya CCM iliyafanya na ambayo yamechangia kuufanya uchaguzi huu usio wa huru na wa haki.........kwa kuanzia ilifanya haya yafuatayo:-

a) Ilikubaliana na vyama vya siasa kuwa itagharimia gharama za mawakala lakini JK na CCM yake wakaweka ngumu hazina kutoa fedha na NEC badala ya kuilaumu serikali ya CCM ikajitoa kugharimia mawakala hao.

Athari yake ni kuwa upinzani na ukata wake ikawa haina maandalizi yoyote yale ya kutafuta fedha za kuwalipa mawakala na hivyo kutoa mwanya wa CCM kuwaghilibu mawakala wa upinzani..matokeo ya uchaguzi huu yanaendelea kuwashangaza watanzania wengi kama hii ni demokrasia ya chama kimoja au ya vyama vingi.....

b) NEC iliyoteuliwa na serikali ya CCM ilikuwa na uwezo wa kuajiri wasimamizi huru wa majimbo ya uchaguzi lakini ikaamua kuwatumia watendaji wa serikali za mitaa ambao wanawajibika kwa serikali kuu ya CCM na hivyo kutii maelekezo ya uchakachuaji kutoka juu kwa minajili ya kulinda ajira zao.........wale waliopinga kama yule aliyekuwa Mkurugenzi wa jiji la Arusha alijikuta anabughudhiwa na uhamisho wa papo kwa hapo na kule akashushwa cheo na hivi sasa anaitwa Arusha kujibu tuhuma za ubadhirifu wa mali ambazo CCM imeziibua hivi majuzi kumkomoa.......................................................................Hii ilikuwa ni ghiliba nyingine ya kuhakikisha CCM inapata ushindi wa mezani tu na wala siyo vinginevyo.........

Kurudia kuhesabu kura za Uraisi ni hatua ya kwanza kujua hivi ni nani kweli kashinda Uraisi?

c)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom