Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
Mama yake MTU wa Singida kasema mwenyeweHakuna kitu kama hicho Lisa mzee wake ni Mwarabu wa Tanga na Mamaake mchaga..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama yake MTU wa Singida kasema mwenyeweHakuna kitu kama hicho Lisa mzee wake ni Mwarabu wa Tanga na Mamaake mchaga..
Aisee .. So maisha magumu waliyapata baada ya kula pesa za watu katika ile project !Ule nimpango walipanga watu wameliwa pesa zao.
Hata hivyo walikuwa wanamaisha magumu mpaka wakaukimbia Mji....
Jombi wanaume hata ukipigika hutakiwi kukaa hom pambana ulee familia yako
Kama alikuwa ana kipato cha kuhudumia familia na mmewe ilikuwaje Mabeste atembeze bakuli ili kumuuguza?
Et ali-plan yeye ile event lengo ni kutuoneshe mmewe hawezi chochote! Kwa nini hakuenda kuimba yeye sasa kwenye hiyo event kama ndiye kila kitu?
Bila umaarufu wa mmewe anadhani ni nani angehamasika hata kumchangia?
Kutokutambua mchango wowote wa mmewe ni ufala haijalishi ana mapungufu kiasi gani.
Jamii haijawasaidia inabidi watumie mitandao kuonyesha maumivu yao. Zamani mambo kama haya watoto wanaitwa wanakanywa na kuelekezwa na wakubwa. Siku hizi wazazi wanaishi tu wapo wapo wanaacha vijana na matatizo yao badala ya kuwapa sapoti.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vifua vipi vya kutuliza wanawake au
Natural mwanaume kaumbwa kuwa Provider.Mkuu ina maana huyu dada alimkuta Mabeste hana shughuli au? Kama alimkuta na shughuli now mambo yamekwama anamkosea sana. Naona namna mambo yakiyumba sana mwanaume akikosa kipato kuliko wanawake. Huwezi kusikia mwanaume akisema nimemuacha sababu nilikuwa namlea.
Wadada wa siku hizi pamoja na kuelimika wamekuwa tegemezi zaidi kuliko mama zetu wa zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ustahamilivu mfano stamina na mabesteVifua vipi vya kutuliza wanawake au
Sawa kabisa.... Nimekupata barabara
Nimekusoma....Panatuhusu ndo nimekujibu inategemeana hekima na uvumilivu wa mkeo,
Halafu kwani hamna wanaume wanaokimbia wake zao kwenye magumu?
Mabeste unamjua wewe?
Kuna rapper Bongo hii anaweza mfikia Mabeste? Including unju na Singasinga
Rapper mkali ila ameshindwa kuwa baba kwa familia yakeMabeste unamjua wewe?
Kuna rapper Bongo hii anaweza mfikia Mabeste? Including unju na Singasinga
Mama yake sio mchagga bwana ni mtu wa Singida, mbona unatuuzia mbuzi kwenye kiroba?!Hakuna kitu kama hicho Lisa mzee wake ni Mwarabu wa Tanga na Mamaake mchaga..
Umeshawahi kuona mwanamke ambae anakuingilia katika mipango yako ya utafutaji na anakukosoa kuwa unachofanya unapoteza muda jaribu jambo jingine.....Mwanamke akikupenda atafanya kila kitu kukusupport ili akuone umesimama katika nafasi yako kama mwanaume ila akigundua huwezi kuisimamia nafasi yako anachoka na anahisi kukosa security na hayo ndio yanakua matokeo.
Nimewasikiliza wote mabeste na Lisa. Kwa kweli mabeste aliamua kurelax mnooo na kumwachia Lisa majukumu yote ya familia.
Kaka zangu fanyeni kazi mtunze familia zenu.... Ukipata mwanamke anayeweza kukusuppprt usirelax ukamwachia majukumu yako. Wanawake hatujaumbwa hivyo huwa tunachoka na kufanya maamuzi kama ya Lisa.
Mabeste angekua anatimiza wajibu wake hata leo hii wangekua pamoja
Wewe ndiye Mama Kendrick hadi unasema hivyo?Rapper mkali ila ameshindwa kuwa baba kwa familia yake