Jinsi navyoteseka moyoni. Nahitaji faraja yenu ndugu zanguni

Nilivyosoma kichwa cha habari nikajua ni wale tuliojikatia tamaa ya maisha
Ila nilivyosoma ID ya mtoa mada nikajikuta nacheka kwanza.

Kiduku Lilo;
Mi naomba tuletewe wale ma- designer wako mkuu manake hawa akina fundi Juma watatuharibia halafu tukakosa picha hivi hivi.

Pili hapo kwenye lugha ya malkia ebu legeza kidogo basi ili na sisi ambao english is few tupatepo kanafasi, najua huduma nyingi zitakuwa self service na kama itatulazimu basi tutatumia ishara。◕‿◕。


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakula mkuu siyo issue kubwa sana. Chakula kitakuwepo cha kutosha. Hii catering nliyowakodi ndo huwa wanaandaa dhifa za kimataifa pale Ikulu.wapo fresh sana.mimi wamenifanyia plate moja tsh 130,000 sababu jamaa anayeimiliki nliwai msaidia one time alikuja USA akapungukiwa pesa za matumizi.so nlimpa kiasi flani.amekuwa kama ndugu though amenizidi sana umri.alitaka anifanyie bure nlimwambia hapana.kama hela ninazo nitumie tu why nifanye ubahili?
😂😂😂😂hapa nawaza kwenye stoo yako vitu ulivyoweka maana vyakula hivyo si vitaharibika?

Nikija kwenye besdei nibebe hata box tatu za maziwa na juice😁
 
Back
Top Bottom