Jinsi mwalimu wa sekondari ('O' na 'A' Level) anavyo weza kujiongezea kipato. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi mwalimu wa sekondari ('O' na 'A' Level) anavyo weza kujiongezea kipato.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Prime Dynamics, May 2, 2011.

 1. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kutokana na mabadiliko ya dunia, walimu pia mnatakiwa kubadilisha mbinu ya kufanya kazi. Tuition sidhani kama inawalipa jinsi mnavyo dhamiria.
  Kwa upande wangu mimi nashauri hivi;
  Kwa mfano, kama wewe ni mwalimu wa Economics au somo lolote, kutokana na syllabus inayotakiwa nchini unaweza kutoa DVD yenye kuelezea topics za somo lako. Inakuwa kama vile unavyo fundisha darasani. Pia unaweza kutoa CD ya notice instead of a pamphlet.
  Pia njia nyingine ni to solve a number of past papers through DVD.
  (usiwaze kuhusu kuchakachuliwa let it be a by the way case)
  Kwakufanya hivyo utaweza kuwa fikia walengwa kwa njia safi. Kwa wale wasio na access ya computer or DVD player, shule husika zenye upungufu wa walimu will have to do the necessary na kwa taratibu they will adapt to the situation.
  Lakini wewe mtoa DVD na CD kipato chako kitakua kimeongezeka.
  Naomba kuwakilisha.
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  mkuu,hongera sana kwa hizi business ideas.nadhani njia nyingine ni ku-publish vitabu kabisa.hata dvd nadhani kuna copy protection?nilikutana na doc moja mtandaoni hai-kopiki kabisaa until unawasiliana na publisher...
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
 4. mama D

  mama D JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 1,755
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  kwa shule zipi jamani!!!!????

  eh! labda kina SENTI................

  LAKINI wengi wetu zaidi ya 80% tunafundisha kule kwenye KIDUMU NA UFAGIO yaani kidumu cha maji na ufagio wa chelewa au majani ya porini..... kompyuta hata hata hatujui zikoje
   
 5. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mkuu, mimi nadhani kwa njia ya kusambaza elimu kupitia njia mbali mbali kutokana na mabadiliko ya dunia, i think wakati utafika hata hizo shule ambazo hazina vifaa vinavyo takiwa zitalazimika kuanavyo either kwa kupitia wizara husika au michango ya wazazi. Kuprint kitabu ni gharama sana na pia usambazaji pia nao uko na gharama zake. Lakini DVD au CD gharma yake haiwezi kuwa sawa na kitabu. hii inaweza kuongeza ushindani katika elimu. Sometimes inakuwa ngumu kukwepa mabadiliko ya technology.
   
Loading...