Jinsi mkutano wa Dr.Slaa ulivyochanganya polisi na wahuni wa CCM..na dili kuharibika.

Magamba wamechanganyikiwa baada ya kugundua mwaka huu unamalizika bila CHADEMA kusambaratika kinyume na alivyowatabiria Wassira!

Dealines zinapita tuu...Dr. anataka watanzania waone jisni gani CCM hawawezi meet even loose deadlines.
 
Chama kilichojaa Nape, Mwigulu, LeMutuz, Lusinde, Kapuya, Komba, Rage unategemea nini kama sio uhuni na ubakaji
 
Wiki hii watu watakuwa wamechanganyikiwa ,kucheka na kushangazwa na kinachotokea ktk kipindi hiki.CCM wamedhamini na coordinate matukio maalumu kwa ajili ya kumkwamisha Dr.Slaa au hata kumdhuru ktk kivuli cha wafuasi wa Zitto.

CCM walijisahau na kutangaza kuwa wafuasi wa Zitto wamepiga marufuku Dr.Slaa kwenda.Dr.Slaa kwa kujua kuwa shetani siku zote ana tumia vitisho na mifano fulani ya kutisha ili kukatisha mipango ya watu.Ila hiyo ikaiubua tena hatari kwa CCM kutuhumiwa na kuwajibishwa baada ya matukio ya aina fulani ya kigaidi Arusha,na sehemu nyingine nchini.Game likaanza kuwa ugly na linalowapa CCM majukumu kuliko nafasi ya kufanikisha nia hiyo.

CCM pia walikuwa wanakabiliwa na shinikizo lingine la kuwalinda hao washabiki, wafuasi wa ZITO in collabo with CCM.CCM walijua kuwa hao jamaa wangeshikwa na makamanda+red brigade hao jamaa wangaamizwa au kupata kichapo ambacho kingepelea kuumbuliwa kwa kukutwa na kadi za CCM km kitambulisho mara polisi wakiwakamata ili kusort wa CCM na wachadema (Masalia), na wanaobaki wawaambiwe wakiri na kufanyiwa show nyinginyingi.Hapo ndipo Polisi wakapewa role

Sasa balaa likaja kuwa gumu kuliko uwezo wa CCM na Polisi,Polisi walisindwa cheza timing ,ya kuwaachia jamaa wafanye show yao ,halafu kabla ya reaction ya makamanda basi polisi wawashike na kuwaokoa.Sasa hali iliharibiwa sana na Dr.Slaa kwa kuwakaribisha..polisi wakashindwa wachezesha show ,ili wawakamate na kuwatenganisha ili wawapate wale watakaotumika kutangaza kuwa ni wanachadema wanaopinga hiyo hali.Halafu akina Kova wapande na kutangaza huku wakimwambia dr.Slaa ni hatari kwa hivyo ni bora wakatatue matatizo ya ndani ili kuepusha vurugu.

CDm wamekujwa unpredictable na hivyo polisi kw autendaji wa robot hawakupercieve hilo na mwisho wakaishia kufanya show ya kusaidia CDM kushika na kuwaabisha wahuni ktk Whuni days.

Hiyo ndiyo hali halisi ya polisi walioshngaza watuktk issue ya Zitto-Kigoma na Ziara ya Dr.Slaa.
KUMBE SOURCE TANZANIA DAIMA GAZETI LA UDAKU LA MWKT WA MAISHA WA CDM NA MKWE WA MTEI MR.MBOWE HIZI HABARI HAZNA TOFAUTI NA ZA IJUMAA WEEKENDA ZNAZOMHUSU DIAMOND NA PENY BABU SILAHA NAMUONA KAKONDA SANA NA GAIDI LA REDBRGADE LINAMLINDA kama kgoma anakubalka kwa nini redbrgade na ufpa(Chadema) makao makuu wametangulia kigoma wengi na mwanza na tabora
 
Lazima atapishwe na CCM hizo hela alizokula km nyoka navyotolewa sumu...kabango kenyewe hako na jinsi laivyoshikwa hakuweza tengeza scene?

NICHOLAS a.k.a KIBARAKA WA MENGI MFADHILI MKUU WA CHAMA CHA WACHAGA CHADEMA NAONA MNAFURAHIA SANA RUZUKU KUTUMIKA KUKARABATI BILLCANAS NA PESA ZA MKWEPA KODI ANAYENYONYA WAFANYAKAZI MZEE WA VBINTI MENGI ALIYEKOMESHWA NA WAZRI MHONGO NA TAJIRI NAMBA MOJA ROSTAM AZIZ AMBAYE AMEWEKEZA KWENYE MAWASILIANO NA MADINI PLUS BARABARA
 
Chama cha kilaghai chadema kilishakufa mtahangaika sana na huyu marehemu chadema.

Mwaka huu CCM ntakomakulinga. Pamoja na kutumia hera nyingi na kupima maji ya bahari kuu kwa ulimi huko Njombe mliposhindwa kusomba watu na kuhadhirika vibaya,CDM inaendelea kuchanja mbunga na kuchukua viongozi wenu.
 
Mimi ndiye nianzisha huu uzi Our lovely blackwidow...sasa makene aweke picture ya nini?Si umeona za Kinana...?CCM mmefulia mbaya kabisa...

Nimekufundisha mara chungu nzima uache papara wakati wa kuandika na uwe unayapitia maandiko yako kabla ya ku-post, papara zinakufanya usieleweke.

Ntaendelea kukupa darsa mpaka utakuwa una post maandiko yanayoeleweka, ingawa una mengi ya kujifunza lakini naona unajitahidi sana siku hizi, makosa yanapunguwa siku hadi siku. Hongera.

Somo lingine; unapooneshwa kuwa umefanya kosa inabidi ujifunze kutumia "edit" uwe unakwenda kurekebisha usione vibaya, sote tunakosea lakini kila tulionapo kosa hutumia kifungo cha "edit" kurekebisha makosa. Anza.
 
NICHOLAS a.k.a KIBARAKA WA MENGI MFADHILI MKUU WA CHAMA CHA WACHAGA CHADEMA NAONA MNAFURAHIA SANA RUZUKU KUTUMIKA KUKARABATI BILLCANAS NA PESA ZA MKWEPA KODI ANAYENYONYA WAFANYAKAZI MZEE WA VBINTI MENGI ALIYEKOMESHWA NA WAZRI MHONGO NA TAJIRI NAMBA MOJA ROSTAM AZIZ AMBAYE AMEWEKEZA KWENYE MAWASILIANO NA MADINI PLUS BARABARA

huja jipaya hapa ni umbea tupu.
 
Wala sitaki edit baada ya mtu ku quote.Hey..usipotezee ujumbe umeshakufikia.Mimi ndie niliyeweka na unayemtaka aweke picture hausiki.

mengine jifuarihishe kuwa kazi yako ni kunifurahisha na si kuikoa CCM ambayo kansa ipo ktk stage mbaya kabisa.
 
KUMBE SOURCE TANZANIA DAIMA GAZETI LA UDAKU LA MWKT WA MAISHA WA CDM NA MKWE WA MTEI MR.MBOWE HIZI HABARI HAZNA TOFAUTI NA ZA IJUMAA WEEKENDA ZNAZOMHUSU DIAMOND NA PENY BABU SILAHA NAMUONA KAKONDA SANA NA GAIDI LA REDBRGADE LINAMLINDA kama kgoma anakubalka kwa nini redbrgade na ufpa(Chadema) makao makuu wametangulia kigoma wengi na mwanza na tabora

mbeya wewe..sijakuambia wala kuweka source..hii kitu ni eal km ilivyo....wewe ijaribu tena kwa CCM km unavyoweza onja sumu.speculations za nini sasa?
 
NICHOLAS a.k.a KIBARAKA WA MENGI MFADHILI MKUU WA CHAMA CHA WACHAGA CHADEMA NAONA MNAFURAHIA SANA RUZUKU KUTUMIKA KUKARABATI BILLCANAS NA PESA ZA MKWEPA KODI ANAYENYONYA WAFANYAKAZI MZEE WA VBINTI MENGI ALIYEKOMESHWA NA WAZRI MHONGO NA TAJIRI NAMBA MOJA ROSTAM AZIZ AMBAYE AMEWEKEZA KWENYE MAWASILIANO NA MADINI PLUS BARABARA

Acha uongo !
 
Ha! Ha! Ha! Ha! Nicholas I SALUTE YOU KAMANDA ! unayapiga mno magamba mpaka yanatawanyika yenyewe ! Mungu akulinde sana mkuu .
 
Mwaka huu CCM ntakomakulinga. Pamoja na kutumia hera nyingi na kupima maji ya bahari kuu kwa ulimi huko Njombe mliposhindwa kusomba watu na kuhadhirika vibaya,CDM inaendelea kuchanja mbunga na kuchukua viongozi wenu.

vijana wa ccm ofisi ndogo lumumba akiwemo Simiyu yetu wamekasirishwa sana na malipo makubwa yanayofikia hadi laki 3 kwa kila abiria aliyekuwemo kwenye coaster ili kwenda KUMZOMEA TU Dr slaa , wakati wao pamoja NA MAPOVU YOTE wanalipwa 7000 TU !
 
Wala sitaki edit baada ya mtu ku quote.Hey..usipotezee ujumbe umeshakufikia.Mimi ndie niliyeweka na unayemtaka aweke picture hausiki.

mengine jifuarihishe kuwa kazi yako ni kunifurahisha na si kuikoa CCM ambayo kansa ipo ktk stage mbaya kabisa.

Wanafunzi wabishi kama wewe ndio nawapenda. Tazama nilipokuwekea nyekundu, yote hayo ni makosa kwa papara zako. Hebu tulizana, shusha pumzi, kunywa maji halafu uandike kwa utaratibu, halafu usome ulichokiandika kabla huja post. JF iko hapa-hapa wala haikimbii.

Unazidi ku-improve post hadi post, post hii umefanya makosa manne tu. Ukisha-weza kuandika vizuri ntaanza darsa lingine kwako, la kutengeneza sentensi zinazoeleweka, kwa sasa ujumbe wako huwa siufahamu kwa makosa yako ya kuandika. Usikate tamaa utafika tu.
 
haha....huna jibu ..jifiche hapo hapo.Ujumbe umefika 4sure.
 
Back
Top Bottom