Jinsi mkutano wa Dr.Slaa ulivyochanganya polisi na wahuni wa CCM..na dili kuharibika.

Chama cha kilaghai chadema kilishakufa mtahangaika sana na huyu marehemu chadema.

Labda kama tafsiri ya neno kufa imebadilika maana yake.

Chadema ndiye mbadala wa ccm 2015

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Kigoma imechoooka mno
ni vumbi tu na nyumba mbovu...

halafu full siasa..
 
Chama cha kilaghai chadema kilishakufa mtahangaika sana na huyu marehemu chadema.

Mkuu, Usiangale chadema kama chama bali angali watu wanaokiunga mkono na sababu zao. chadema inaweza kufa lakini wazo lake ilsife mioyoni na akilini mwa watu. watu wa ccm toeni maelezo kuhusiana na kuongezeka kwa ufisadi, tamaa ya mali kwa njia ya wizi, pengo kati ya masikini na matajiri kuzidi kukua, elimu yetu kuzidi kuwa ya kibaguzi n.k. tamaa ya kutaka chadema ife ni tamaa kama ya fisi kutamani mkono wa binadamu uanguke ni ujinga na umaamuma uliopita kiasi.
mimi natamani ccm iatoke madarakani na si ife bali iwe mpinzani hali hii italeta mawazo mapya na fursa ya maendeleo. jibu la maendeleo ya tanzania si ccm kufa au chadema kufa jibu ni kupishana na kuleta mawazo mapya. hicho watanzania wengi wanakitarajia kubali ukatae watu hawaangalii tena ccm wanaangalia watakavyokomboka. Alamsiki
 
Mbinu na mikakati ya kishetani ya CCM hazikuanza leo: aliekuwa msajili wa vyama vya siasa aliwahi kumtisha kamanda Lema eti asiende Arumeru kufanya kampeni kuwa atauawa! leo yuko wapi kile kibabu? Mwigulu amewahi kupeleka timu ya SImba iramba kijijini ili Slaa asipate wasikilizaji ! Kila mwenye kutaka kuhoji uhalali wa BAKWATA kumiliki mali za waislam kwa niaba ya CCM lazima watamdhuru! ... Majambia waliyosingiziwa CUF yako wapi? kuna wachagga wangapi Iringa, Tunduma, Mwanza, Kigoma, Singida, Dar es Saalam, Arusha waliowachagua wachagga wenzao? Siasa za ukabila na Udini ni sehemu ya mikakati ya mbinu chafu za CCM zisizokubalika kamwe... CCM watueleze sisi wananchi wenye kukabiliwa na hali ngumu ya maisha RASILIMALI zetu kwanini zinawanufaisha wageni? kwanini Tembo wanaangamizwa? kwanini Kodi inatuumiza? kwanin Huduma muhimu za kijamii hazipatikani ilhali sisi ni matajiri wakubwa katika sayari hii Dunia?...

CDM itaendelea kuwatoa kimaso maso CCM kwa kuonyesha kuwa haisiti kuchukua maamuzi kwa kiongozi yeyote no matter ni maarufu kiasi gani kama akikosea anaadhibiwa kwa mujibu wa sheria, Kidumu CDM
 
Nianavyofahamu mimi polisi wa kawaida woooote huwa ni cdm ila viapo tu lakini hizo zote ni delaying tacts tu mpango wa ccm ufeli ukiangalia coordination ya Dr Slaa na Police katika kuhandle hizi vurugu tangu mikutano hii ianze hupaswi kutojiridhisha kwa hilo.
 
Kweli mkuu nshawahi mwona msaidizi wa OCS kituo . kimoja nikihofadhi amelewa baa anatamba kuwa Dr. Slaa ni jembe akasema alimpigia kura wakamwibia kura yake akasema kama tutafika 2015 tukutane uwanjani Slaa achukue kura yake, akaonyesha na kadi yake ya CDM, so ccm wasidhan cdm haina back up ya Polisi wanajidanganya
 
Nianavyofahamu mimi polisi wa kawaida woooote huwa ni cdm ila viapo tu lakini hizo zote ni delaying tacts tu mpango wa ccm ufeli ukiangalia coordination ya Dr Slaa na Police katika kuhandle hizi vurugu tangu mikutano hii ianze hupaswi kutojiridhisha kwa hilo.

Kweli mkuu nishawahi mwona msaidizi wa OCS kituo kimoja nikihifadhi amelewa baa anatamba kuwa Dr. Slaa ni jembe akasema alimpigia kura wakamwibia kura yake akasema kama tutafika 2015 tukutane uwanjani Slaa achukue kura yake, akaonyesha na kadi yake ya CDM, so ccm wasidhan cdm haina back up ya Polisi wanajidanganya
 
Chama cha kilaghai chadema kilishakufa mtahangaika sana na huyu marehemu chadema.

Mazishi yake lini? Maana ni muda sana nasikia hii chorus lakini sioni CHADEMA ikifika mwisho! Nambie lini watazikwa nije kwenye mazishi? Mipango ya mazishi inafanyikia wapi? Lumumba? Kwa Msajili wa vyama? Marehemu atazikwa wapi? Lumumba?
 
Chama cha kilaghai chadema kilishakufa mtahangaika sana na huyu marehemu chadema.

Unayehangaika ni wewe ambaye huli hulali kwa sababu ya CDM.Nawafananisheni na mbwa koko coz mumebakiza kelele mitandaoni tu huku CDM ikikata mawimbi kuelekea magogoni.
 
Wiki hii watu watakuwa wamechanganyikiwa ,kucheka na kushangazwa na kinachotokea ktk kipindi hiki.CCM wamedhamini na coordinate matukio maalumu kwa ajili ya kumkwamisha Dr.Slaa au hata kumdhuru ktk kivuli cha wafuasi wa Zitto.

CCM walijisahau na kutangaza kuwa wafuasi wa Zitto wamepiga marufuku Dr.Slaa kwenda.Dr.Slaa kwa kujua kuwa shetani siku zote ana tumia vitisho na mifano fulani ya kutisha ili kukatisha mipango ya watu.Ila hiyo ikaiubua tena hatari kwa CCM kutuhumiwa na kuwajibishwa baada ya matukio ya aina fulani ya kigaidi Arusha,na sehemu nyingine nchini.Game likaanza kuwa ugly na linalowapa CCM majukumu kuliko nafasi ya kufanikisha nia hiyo.

CCM pia walikuwa wanakabiliwa na shinikizo lingine la kuwalinda hao washabiki, wafuasi wa ZITO in collabo with CCM.CCM walijua kuwa hao jamaa wangeshikwa na makamanda+red brigade hao jamaa wangaamizwa au kupata kichapo ambacho kingepelea kuumbuliwa kwa kukutwa na kadi za CCM km kitambulisho mara polisi wakiwakamata ili kusort wa CCM na wachadema (Masalia), na wanaobaki wawaambiwe wakiri na kufanyiwa show nyinginyingi.Hapo ndipo Polisi wakapewa role

Sasa balaa likaja kuwa gumu kuliko uwezo wa CCM na Polisi,Polisi walisindwa cheza timing ,ya kuwaachia jamaa wafanye show yao ,halafu kabla ya reaction ya makamanda basi polisi wawashike na kuwaokoa.Sasa hali iliharibiwa sana na Dr.Slaa kwa kuwakaribisha..polisi wakashindwa wachezesha show ,ili wawakamate na kuwatenganisha ili wawapate wale watakaotumika kutangaza kuwa ni wanachadema wanaopinga hiyo hali.Halafu akina Kova wapande na kutangaza huku wakimwambia dr.Slaa ni hatari kwa hivyo ni bora wakatatue matatizo ya ndani ili kuepusha vurugu.

CDm wamekujwa unpredictable na hivyo polisi kw autendaji wa robot hawakupercieve hilo na mwisho wakaishia kufanya show ya kusaidia CDM kushika na kuwaabisha wahuni ktk Whuni days.

Hiyo ndiyo hali halisi ya polisi walioshngaza watuktk issue ya Zitto-Kigoma na Ziara ya Dr.Slaa.

tunazidi kuwapunguza meno maccm
 
Hivi kumbe askari CCM mnaowalaumu kila kukicha kuwa wauaji, watekaji mara wanawaonea leo imekuaje wawasaidie? Je leo si wangeacha ili muone cha moto ili nafsi zao ziridhike? Hivi maneno ya kejeli mnayowatukana askari katika kila mikutano yenu leo mlisahau au vip? Ama kweli njia ya mwongo fupi? maana huwa mwatuaminisha kuwa chama chenu siku zote huwa ni chama cha kunyanyaswa na vyombo vya dola kwa vile kinatetea wanyonge kumbe ni uongo bali nyie mwapenda kulazimisha hata pale msiporuhusiwa kwenda mfano ni hiyo ziara na taarifa ya kiongozi wenu wa eneo la Kigoma! Ingelikuwa ni amri ya polisi mngesema mmeonewa kumbe huwa mnaelezwa kwa faida yenu bali mnakaidi ili baadaye mpate kuonewa huruma kuwa mnanyanyaswa!
 
Hujasoma thread?ulikariri tangu ulipotoka nini?Polisi hawalindi CDM wanawalinda hao wahuni...kwani leo ndio mmeanza kuwatuma wahuni halafu wakianza ingia ktk hatari mnawaokoa.Soweto si aksari walipiga watu ili wasimdake mrusha bomu?

Dr. Slaa kuwaita mbele kuliwafanya wawe mbele na wanaCDM,red brigade wawazunguke,Kitu amabcho polisi hata nao wakiwepo wasingeweza waokoa.

Sasa wewe unaeta habari ya mwezi mkubwa kuliko Jua,wakati sisi tunakwambia jua ndio kubwa kuliko mwezi.Uliona walivyopata aibu?Polisi walioshikwa na polisi walikuwa wakiokolewa,ila sasa waliookolewa km ni maCCM si rahisi kwao kuwaweka ktk TV ili wajifanya kuwa waliopohojiwa na police walisema moja mbili, 3.Na hivyo Dr.slaa asfanye blah blah kwa sababu ya usalama.Na migogoro y andani ya CDM.ili kuichafua CDM
 
Back
Top Bottom