Jinsi mitandao inavyo haribu akili ya kufikiri na kutoa maamuzi sahihi na binafsi

neliville

JF-Expert Member
Jan 26, 2017
202
176
Kwanza napenda nieleweke nia si kushambualia mitandao ya kijamii ila naomba tuangalie side effects za hii mitandao watanzania wengi akili zao bado kuweza kuhimili propaganda za mitandaoni yaani smart phone zimekuja ikiwa akili zetu tulio wengi hazija pevuka kuweza kujua jinsi ya kuishi kutokana na maoni ya wengi juu ya matatizo unayo omba ushauri wa wengi nimeona mada na maoni mengi ya watu kuhusu hoja na changamoto mbalimbali za mahusiano za watu na pia Luna watu humu kwenye mitandao wanatumia kuchukulia kama sehemu za kufarahisha nafsi zao kwa kutunga story za uongo na matokeo ya uongo kufurahisha jamvi huku yakionekana kivutio kwa wachangiaji lakini ukweli in watu wenye upeo mdogo kuhusu mada za kufanikisha maisha yaaani yenyewe yana jua mada za ngono bila kjua kuwa kuna matokeo mabaya ya uongo wa story zao zina haribu watu kiakili nakufanya vijana wapumbavu kuamini kuwa kweli hayo ni maisha halisi wanayo ishi na matokeo yao ni ya kweli mfano wa MTU huyo ni gudume na baadhi ya wengine wengi jamani tutumie mitandao vzuri c kuhamasisha ngono na umalaya kuna watu wajinga wana amini kila ushauri au story humu ni ukweli
 
Andiko refu, mwanzo mwisho; hakuna kituo?

Shule zifunguliwe tu, wajinga wapungue humu JF!
 
Nachukia sana i tabia
Kisaikologia hawa watu ndio wana prove idadi kubwa ya wagonjwa Wa akili
 
Back
Top Bottom