Jinsi mila na Itikadi za wanyaturu walivyozichukua kutoka kwa simba Mnyama

Kila Shetani ana mbuyu wake 'hakuna jamii yenye mila isiyo na makandokando (ubaya) wake hasa Africa'
 
VILE SIMBA ANAVYOWINDA NA KULA

Simba jike ndiye anaewinda wanyama kwa ajili ya kitoweo, simba jike huwinda kwa nguvu zote ili kuhakikisha dume na watoto wanakula,

simba jike akishakamata mnyama huwa hali hadi hapo simba dume aje ALE, Jike humsubiri pembeni simba dume ale ashibe kwanza na kumbakishia mkewe,

Baadae simba jike nae husogea kula.

(wazee Wa zamani waliita kulindana, yaani mmoja anakula mwingine anakuwa anamlinda mwenzake)
Pamoja na mapenzi hayo ya Simba jike kwa dume lake, Simba dume akizeeka tu na kukosa nguvu basi hapo simba jike humutelekeza dume na kutafta Dume jingine lenye nguvu(umalaya Wa Simba).

ITIKADI ZA WANYATURU

kama ilivyo kwa simba mnyama!
simba jike akishakamata mnyama huwa hali hadi hapo simba dume ale ashibe ambakishie mkewe, ndipo simba jike nae atasogea kula.

sasa basi! wanyaturu nao wakaliikopi kwenye mila yao!

Ni hivi; Mwanamke wa kinyaturu akishapika chakula kwenye nyungu/chungu, hutenga chote kizima kizima kwa wanaume ili wale kwanza wao wakiongozwa na mzee (baba mwenye nyumba)

wakati wanaume wakiwa wanakula, mwanamke anatakiwa akiwa chumbani ahakikishe anachungulia kwenye tobo maalum kumuangalie mzee!

Jukumu la mzee ni kuhakikisha anajua idadi ya wanawake wanaosubiri kula ili a balance chakula cha kuacha.

Mzee akishiba au akiona saizi ya chakula kilichobaki kitawatosha wanawake basi hunawa mikono!

Ile ishara ya mzee kunawa mikono tu humaanisha wengine anaokula nao wa- STOP, hata kama kuna wengine mkiwa bado mnakula inabidi mstop kula .

Mwanamke anaechungulia kwenye tundu maalum akisha ona mzee kanawa! huja pale na kubeba vyakula vyote na kwenda kula!
Huu utamaduni upo hadi Leo huku kijijini.

WANAUME WA DAR MSITHUBUTU KUIGA HII HAKIKA MTATILIWA SUMU

Ni kweli Simba jike ndiye mtunza familia, anawinda kwa ajili ya familia yake ile LAKINI hakai pembeni kumwacha Simba dume ale kwanza, huu si ukweli. Simba jike anawinda na kula na familia yake ila kama Simba dume liko karibu linanyang'anya chakula na kufukuza Simba wote, akishiba ndipo Mama na watoto wanakuja kula. Kama dume halipo, jike linakula bila hiyana.
 
sawa kabisa
 
VILE SIMBA ANAVYOWINDA NA KULA

Simba jike ndiye anaewinda wanyama kwa ajili ya kitoweo, simba jike huwinda kwa nguvu zote ili kuhakikisha dume na watoto wanakula,

simba jike akishakamata mnyama huwa hali hadi hapo simba dume aje ALE, Jike humsubiri pembeni simba dume ale ashibe kwanza na kumbakishia mkewe,

Baadae simba jike nae husogea kula.

(wazee Wa zamani waliita kulindana, yaani mmoja anakula mwingine anakuwa anamlinda mwenzake)
Pamoja na mapenzi hayo ya Simba jike kwa dume lake, Simba dume akizeeka tu na kukosa nguvu basi hapo simba jike humutelekeza dume na kutafta Dume jingine lenye nguvu(umalaya Wa Simba).

ITIKADI ZA WANYATURU

kama ilivyo kwa simba mnyama!
simba jike akishakamata mnyama huwa hali hadi hapo simba dume ale ashibe ambakishie mkewe, ndipo simba jike nae atasogea kula.

sasa basi! wanyaturu nao wakaliikopi kwenye mila yao!

Ni hivi; Mwanamke wa kinyaturu akishapika chakula kwenye nyungu/chungu, hutenga chote kizima kizima kwa wanaume ili wale kwanza wao wakiongozwa na mzee (baba mwenye nyumba)

wakati wanaume wakiwa wanakula, mwanamke anatakiwa akiwa chumbani ahakikishe anachungulia kwenye tobo maalum kumuangalie mzee!

Jukumu la mzee ni kuhakikisha anajua idadi ya wanawake wanaosubiri kula ili a balance chakula cha kuacha.

Mzee akishiba au akiona saizi ya chakula kilichobaki kitawatosha wanawake basi hunawa mikono!

Ile ishara ya mzee kunawa mikono tu humaanisha wengine anaokula nao wa- STOP, hata kama kuna wengine mkiwa bado mnakula inabidi mstop kula .

Mwanamke anaechungulia kwenye tundu maalum akisha ona mzee kanawa! huja pale na kubeba vyakula vyote na kwenda kula!
Huu utamaduni upo hadi Leo huku kijijini.

WANAUME WA DAR MSITHUBUTU KUIGA HII HAKIKA MTATILIWA SUMU

Sijaona kufanana kwa hizo culture

Simba jike anawinda
Mwanamke wa kingaturu hawindi analetewa na mumewe

Kusubiri kwa simba jike ili simba dume ale ni ishara ya upendo kwa mumewe
Kusubiri kwa mwanamke wa kinyaturu tena akiwa anachungulia kwenye tundu na baadaye kuchukua chakula na kwenda nacho kula nje kuna element za unyanyasaji ndani yake

Itikadi inatumika kwenye kuhadaa watu kisiasa, wanyaturu na simba hawana itikadi
 
Acha unyaturu,UKURYA PIA.
Mimi ni mmoja wao,
Simba dume kazi kubwa ni security
So as mwanaume kikurya.

Mwanamke anatafuta sababu kaolewa na katolewa mahali ngombe si chini 20,au zaidi
Ndie anaenda kulima shamba(ndio maana wanatahiriwa,wawe wafanyakazi wazuri),kulinganisha thamani ya mahali.

Chai asubuhi yeye,kukamua ngombe yeye,mzee akiamka akute kila kitu teyari.

Sana sana mwanaume kikurya ni kuhangaika na kitoweo,kuwinda,kushinda minadani kibiashara.

Tabia za kula hazina tofauti na hizo za nyaturu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom