Jinsi mikao ya mtu inavyosaidia kujua tabia yake

sijui kwanini wanaume wa dar hasa macellebs hua wanapenda kukaa mkao A!
 
Huwa ni upuuzi sana, mtu anakaa kulingana na anavyo jisikia
Haya mambo ya ku copy paste kwa wenzetu wenye tamaduni zao tabu sana.

Wewe picha zenyewe tu miguu ya watu weupe, analeta habari kwetu Bongo!

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Huo mkao E ni wa wale wavaa vimini. 🤣🤣

Mana wanajibanaga mbaya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom