Mwalimu wa Zamu Tz
JF-Expert Member
- Jan 2, 2021
- 1,040
- 2,714
Habari wakuu
Nielekee moja kwa moja kwenye lengo la mada..Ukweli ni kwamba tuko katika kizazi ambacho ni hatari sana,kizazi ambacho kinatulazimu tuchukue TAHADHARI kabla ya HATARI..
Utakuwa shahidi kwasasa kila kona utakayokatiza sio mtaani,sio mitandaoni utakuta wanauza dawa za kuongeza Nguvu za kiume ambayo sababu kubwa ni PUNYETO...madhara ya punyeto yameongelewa sanasana sidhani kama kuna haja ya kuorodhesha...lakini Ni ukweli usiopingika kwamba punyeto inachochewa na video za ngono maarufu kama (pilau)..ambapo vijana wengi huzitoa mtandaoni kwa urahisi na mbaya zaidi zinatengeneza Uraibu (Arosto) na kudhoofisha mwili
Kwa kufata misingi ya Negotiation niliamua kumuandikia ujumbe Waziri wa Teknolojia na Habari,MH. Faustine Ndugulile. Katika mtandao wa Instagram..Juu ya wazo la kuzuia/block Website zinazojishughulisha na kurusha/kuonesha picha na video za ngono(pornographic websites) zilipita siku kadhaa bila kujibiwa nikawa nimekata shauri juu ya jambo lile..siku moja sina habari naperuzi mtandao wa IG mara nkaona simu inapigwa(IG call) kilichonistaajabisha zaidi ni mpigaji kwani alikuwa ni waziri Faustine..aisee sikuamini nikahisi labda kakosea bila ajizi nikapokea na mazungumzo yaliendelea na nilivyopokea tu alinambia niondoe wasiwasi kwanza kwasababu ile simu amenipigia baada ya kuona ujumbe wangu na kuvutiwa na wazo la ujumhe ule.
Bahati nzuri au mbaya nafkiri ni kipaji au mapenzi tu ya kutumia Computer tangia umri mdogo...hivyo katika waraka ule niliomuandikia waziri nilimuandikia mpaka mbinu za kufanya kama vile kutumia DNS na kublock IP address za website izo.nafkiri ndio sababu zilizomvutia zaidi kwenye ujumbe ule.
Hatukuishia apo bali tuliendelea kuwasiliana na jambo kubwa zaidi alinialika katika kikao cha mtandaoni(kupitia Zoom) ambapo aliwasilisha wazo katika wizara yake na hivyo kikao hicho kilicho-hostiwa na waziri mwenyewe kilikutanisha wataalam mbalimbali wakiwemo madaktari,I.T's,,Data analyzers na wadau wakubwa mbalimbali..Sio siri nilijihisi ni mwenye bahati na furaha sana kwani Sikuwai kuota kwamba ipo siku ntaalikwa ata na balozi wa mtaa tu chakula cha mchana achilia mbali waziri au mbunge...
Nilijifunza mambo mengi sana..kuna dk alifunguka mambo mengi sanasana..machache ni kwamba idadi ya magonjwa yasioambukizwa kama vile Uoni hafifu,,Kunyonyoka kwa nywele...Miguu kuwaka moto...viungo kuuma(mgongo) hii yote mara nyingi ni sababu ya kujichulia sheria mkononi (kupiga punyeto) hasa kwa sisi vijana wa kiume
Mwisho kabisa hitimisho lilikua ni kuanzisha project ya kimyakimya itakayopambana na website hizo na kuanzia tarehe 16/08/2021 kazi ilikua imefika pazuri kwani waliweza kudhibiti website mbalimbali
Aidha,Pamoja na kuzuia bado kuna changamoto wapambanaji hawa wanazokutana nazo kama vile matumizi ya VPN na kwakuwa wamejidhatiti katika kupambana na hii vita basi naamini watakuja na mbinu mbadala kabisa ili kuokoa taifa na vizazi vijavyo
Pia soma
Nawasilisha
#vote
AHSANTE

SoC01 - Ushauri/wazo muhimu kwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Habari wanajamvi Tuendelee kuchukua tahadhari juu ya janga hili la CORONA. Basi bila kupoteza muda nielekee moja kwa moja kwenye lengo la Uzi..Wakuu baada ya mawazo yangu kusikilizwa na waziri wa teknolojia DKT.Faustine Ndugulile na kufanyiwa kazi ipasavyo...
www.jamiiforums.com
Nawasilisha
#vote
AHSANTE