Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Maisha na mapenzi,miyoyo ya watu imebeba mengi. Nimeumizwa na kifo cha wifi yetu ..pole sana bro
Hakika unapopata muda wa kuishi na mtu utumie ipasavyo hakuna anayeijua kesho yake
 
Lawama zote za leo anatupiwa konda msafi.
Mzee umeharibu gemu ya Simba kwa Madiba. Manula akili yake yote ilikuwa inamuwaza Khumbu. Hajui tu kuwa huyu demu alishakfa?
 
Baada ya kusoma hii story Kali sana sema nimejikuta natamani sana kuzamia South Africa na hivi sina mchongo mjini apa
 
Daa like kipande unamuaga khumbu huku ukamkumbatia kwa huzuni sana. Yaan nimejaribu kuvaa viatu vyako nimeona havinitoshi kwa kweli so sad
 
Tatizo la wabongo ni hili: Unaweza kuweka picha ya Khumbu humu watu wakaanza kukushambulia kwa maneno kama "Utawekaji picha ya marehemu kwenye mitandao? Unamdhalilisha marehemu, dini hairuhusu kuweka picha ya marehemu, humu humjui mtu stori tu inatosha hukutakiwa kuweka picha, na maneno mengi yanayofanana na hayo ambayo yatakufanya ujute". So mie naona tuachane na mambo ya picha. Kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
Kweli kabisa mkuu. Kwanza watu hawajui kuwa Khumbu ni fictional character, wao wanadhani ni real character. Sijui wanakwama wapi 🤣 😅 😂
 
Hongera sana kwa ku share story nzuri ya maisha yako. Binafsi nimeburudika na kujifunza mambo kadhaa.

Nimegundua wewe ni mtu mstaarabu sana, nimepitia baadhi ya comments zinatia hasira lkn umebaki kua mtulivu na kumjibu kila mtu hekima. Big up
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom