Nimeipata, naona watanzania tunajilaumu bure watu mnaroho ya upendo sana. Ona umenisaidia...nasema Asante sana.Kilaba nimamua nikusaidie kwa kukutag..maana hii story umeitafuta sana..sasa kazi ni kwako kuanza page namba 1 na kuendelea...Bonge moja la story.
Hahahaha basi naomba zawadi yangu mkuu...maana toka juzi naona unaihangaikia link...Asante kushukuruNimeipata, naona watanzania tunajilaumu bure watu mnaroho ya upendo sana. Ona umenisaidia...nasema AsanteSana.
kichwani uko vizuri sana mkuu. bigupTatizo la wabongo ni hili: Unaweza kuweka picha ya Khumbu humu watu wakaanza kukushambulia kwa maneno kama "Utawekaji picha ya marehemu kwenye mitandao? Unamdhalilisha marehemu, dini hairuhusu kuweka picha ya marehemu, humu humjui mtu stori tu inatosha hukutakiwa kuweka picha, na maneno mengi yanayofanana na hayo ambayo yatakufanya ujute". So mie naona tuachane na mambo ya picha. Kila mtu amchore Khumbu kichwani kwake.
Mkuu coment yako imenifanya machozi yanilengelenge. I miss this woman.Stori nzuri,nimesoma episodes zote kuanzia saa kumi na moja jioni mpaka saa tano usiku wa jana nikawa nimehitimisha
Mzee Konda,,Khumbu alikupenda for real,pamoja na mambo mengine mengi, kile kitendo cha kufiwa na Bibi yake afu akakujulisha na ukaenda ukamkuta yupo na ndg,zake kinaonyesha alikuwa na hisia za kweli juu yako,alijua wewe ndo mfariji wake
Kwa namna ninavyoona ingekuwa siyo kifo kukatisha uhai wake, basi Khumbu kuna siku angetia timu kwenye ardhi ya Tz na labda angewazidi kete Dada zetu mkaanzisha familia
Ushauri,ikitokea ukapata safari ya kwenda South, tafadhali usiache kwenda kuona nyumba ya milele aliyolala shemeji yetu Khumbu
Kuhusu picha ya Khumbu,nakazia
Mkuu coment yako imenifanya machozi yanilengelenge. I miss this woman.
Part three; kurudi Tanzania!Bora tuendelee na story khumbu
Mkuu coment yako imenifanya machozi yanilengelenge. I miss this woman.
Mkuu kwani picha ya Khumbu ulishaweka??Vipi niwawekee na picha ya Amina mtoto wa kihaya? Amina naye alikuwa kisu. Pale kwenye foleni ya Akamba ukifika tu lazima macho yako yatue kwakwe halafu shuguli zingine ndio ziendelee.
Bado hujamalizana na mimi, sijamuona Khumbu bado, naomba picha PMHahahaha! Hiyo picha ni ya Khumbu. Picha nimeshawawekea, ambaye haamini kama huyo sio Khumbu anitajie huyo ni nani? Kwa hiyo suala la picha tushamalizana. Bado matukio mawili tu nimalize stori. 1.Siku ya kuagana, 2. Kifo chake.
Picha ya Khumbu tulishakubaliana kila mtu aichore kichwani mkuu.Bado hujamalizana na mimi, sijamuona Khumbu bado, naomba picha PM
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hata jina la Khumbu hujui kuliandika. Huyu hata akiniongeza na hela sitaki.kumbu uyo hapo sasa View attachment 1778752