Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Hii story ungepeleka kipindi cha njia panda clouds ingeuza sana endapo ungekuwa umefulia kimaisha.maana wale mwisho wa siku lazima mleta stori aombe msaada,tatizo we wakishua
labda kabla hajajibu konda msafi ni kuwa kule kwenye vyombo vya habari isingelipa kwani kina Dr Maro wasingekubali yale maneno ya kukung'uta kiuno km anaondoa siafu, au kumgongea swimming pool au kule kwenye kigodoro wakati juu watu wanakula chabo, labda atunge kitabu ambacho naye kakataa gharama ni kubwa kukiandaa,
najua alichoomba tumuunge mkono kwenye hii NGO, km ni ya kwake Hongera zake sana kuliko angekuwa Mhasibu huko Bondeni
1615096205814.png
 
yan kila nikisoma hii nakumbuka penz la mtoto alikuwa anasoma loyola alikuwa msambwanda wa hatari ukipita nae ubungo kwa miguu utapata tabu sana kipindi hicho nipo mkoani nilikuwa namfuata dar naish nae kinyamwezi alikuja kulizima penz kimasihara sana iliniuma *****, siji kusahau, mtoto alikuwa mtamu sana daaah kala sana hela zangu za loans board saivi nazilipa mwenyewe....Yule angenikuta kipind hiki ningemvuruga sana..nilimla sana ila naonaga kama haikutosha...


Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom