Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

Ni vema tukajifunza kuwa wasikilizaji zaidi kuliko kutoa kasoro mara kwa mara kwa msimuliaji,ndio maana tumepewa masikio mawili(ili tuweze kusikiliza zaidi!) kuliko kuongea(tunao mdomo mmoja tu!).Sasa hizi tabia mbovu za baadhi yetu wasikilizaji zinamkatisha tamaa msimuliaji na matokeo yake ndo haya kuwa story inachukua muda mrefu,ikitokea unaingilia kati basi iwe ni kumtia moyo msimuliaji ili aendelee na sio vinginevyo.
 
Kuanzia juzi hapa JF pamekuwa patam sana, kuna nyuzi kama 3 hivi nkiingia lazima nizipitie.
1.hii ya khumbu
2.Jamaa anaye mkataa mtoto rasmi.
3.ya mzee wetu Mwitore na bi mdogo wake.

Yaani mambo ni Hot no Stress.
ni tag kweny hiz nyuzi asee mbona zimenipita nimekomaa na khubu tu
 
Mambo hayo,ila tuache masihara ktk swala la kunyonya mtaro hata mi linanijia automatic tu ila baadae ndo nakuja najicheka hivi kweli nilifanya vile mimi !!, Ila konda msafi we shusha nondo shusha kila kitu kama icho kipengele kina explicit basi watahadharishe walokole kwa juu kabisa nawe utakua free ila tunataka ushushe kama ilivyo tafadhali.

Au nasema uongo ndugu zangu
 
Be warned, this is public talk of the week... mamlaka zote zinakumulika kwa ukaribu mkubwa.
 
Huyu nmb j Ni boya Sana yaan ndie kaharibu Kila kitu ,et binafsi nimekwazika Sana ,yaan unakwazika na kitu ambacho hujalazimishwa kukisoma.
Ni sawa mtu uende mwenyew bar alaf useme nimekwazika kuona wanawake wakiwa nusu uchi ,yaan we lijamaa nmb j Ni bonge moja la snitch yaan umejianika waz kabisa kuwa upo hivyo hata katika maisha yako ya Kila siku ,pia una roho ya husda.

Konda msafi Rudi kutoa madin hapa na usiache kitu hata kimoja ,sisi tunaelewa content ya uzi Ni ipi na for sure uko sahihi kabisa.
 
Baada ya kumuweka mbuzi kagoma kwenda na hii style yake ya kuzungusha kiuno huku akiwa anarukaruka kama anakung'uta siafu, na ukizingatia punde tu ametoka kunipiga blow job ya hatari haikuchukua hata dakika 2 nikamaliza. Bao lilikuwa tamu na la kusisimua maana hadi misuli nyuma ya goti ilikakamaa nikashindwa hata kutoka nyuma yake nikabaki nimemkumbatia huku nimemlalia mgongoni, machine ikiwa bado ndani. Muda kidogo misuli ikaachia nikajibwaga kitandani na yeye akaja kunilalia kwa kugandamiza kifua chake kifuani kwangu maana mimi nilijibwaga na kulala chali. Tukabaki tumelaliana hivyo hadi tukapitiwa na usingizi.

Baada ya kama saa hivi kupita nikawa nasikia njaa hatari, nikawa nasikia tumbo liko empty kabisa, ikabidi nimtoe kifuani kwangu na kumpush kidogo pembeni ili niweze kuinuka. Nikamwacha akiendelea kulala mimi nikaelekea jikoni kuandaa chakula. Baada ya kumaliza kuandaa, nikaenda kumwamsha ili tuje tule pamoja.

Anyway tokea siku hiyo safari yetu ya mapenzi ikawa kama imeanza upya. Ikawa kila nikimhitaji anakuja bila shida yoyote japo kuna kila dalili zilinionyesha kwamba kuna mtu anammiliki. Simu yake ilikuw busy sana. Kuna siku zingine hasa Ijumaa alikuwa analeta visingizio kila nikimhitaji.

Jamaa zangu walikuja kufahamu kuwa Khumbu huwa anakuja mjengoni ila kwa sababu walikuwa wanamfahamu toka kitambo haikuwa kesi sana.

Mapenzi yangu na Khumbu yalishamili sana mpaka tukawa tunapanga mipango ya kuoana.

Kama nilivyoelezea hapo nyuma kuhusu hawa mahome boys niliokuwa nakaa nao kuhusu tabia yao ya tungi. Siku za weekends walikuwa wananunua bia za kutosha na nyama ya ng'ombe kilo za kutosha kwa ajili ya bbq (nyama choma). Kwa hiyo siku za weekends ilikuwa kama party vile hapo nyumbani. Hadi mademu wale mtu na mdogo wake waliokuwa wanaishi ndani ya complex niliowaelezea kuwa mmoja wao nilishapita naye walikuwa wanakuja kupiga mtungi kwa hisani ya hawa jamaa zangu. Kwa hiyo na mimi nilianza kujiachia na Khumbu wangu bila kificho tena kwa sababu kila mtu analeta mtu wake. Hakuna wa kumsema mwenzio kwa boss kubwa.

Khumbu alikuwa anakuja siku za weekends maana alikuwa anapenda sana maisha ya kula nyama na pombe. Binafsi sinywi pombe hivyo alikuwa anakunywa na hawa jamaa zangu pamoja na wale mademu. Pia hawa jamaa walikuwa na mademu zao permanent ambao siku za weekends walikuwa wanakuja. Kwa hiyo mle ndani ilikuwa inageuka kuwa kama bar hadi wapangaji wa floor za chini yetu na juu yetu wakawa wanacomplain kwa land lord.

Utaratibu ukafanyika wa kutumiwa official complaints kwenda kwa don mwenyewe. Hizi taarifa zikamfikia don maana yeye ndio aliyeingia mkataba wa hiyo nyumba. Jamaa alipiga mkwara wa haja akasema hataki mademu kwenye nyumba yake. Mambo ya kula bata kwa fujo yakaisha ila jamaa hawakuacha kuleta mademu. Jamaa (don) alikuwa na kawaida ya kutoingia ndani. Kama ana shida atapiga simu utatoka nje na kwenda kuongelea huko nje kwenye gari, alikuwa haingii kabisa ndani sijui kwa nini. Kwa huo utaratibu wake watu waliendelea kujiachia.

Mimi niliendelea kumleta Khumbu kama kawaida.

Kuna siku moja weekend, hawa masela kama kawaida yao japo walishakatazwa kufanya party ya fujo walinunua bia na nyama ya kutosha. Mademu zao walikuwepo na pia Khumbu alikuwepo, hiyo ndio siku nilipotaka kufanya jaribio la kutest 071.
Itaendelea...
 
Huyu nmb j Ni boya Sana yaan ndie kaharibu Kila kitu ,et binafsi nimekwazika Sana ,yaan unakwazika na kitu ambacho hujalazimishwa kukisoma.
Ni sawa mtu uende mwenyew bar alaf useme nimekwazika kuona wanawake wakiwa nusu uchi ,yaan we lijamaa nmb j Ni bonge moja la snitch yaan umejianika waz kabisa kuwa upo hivyo hata katika maisha yako ya Kila siku ,pia una roho ya husda.

Konda msafi Rudi kutoa madin hapa na usiache kitu hata kimoja ,sisi tunaelewa content ya uzi Ni ipi na for sure uko sahihi kabisa.
Jamaa boya sn.. kwani amelazimishwa kusoma uzi huu.. sasa ona ameharibu kila kitu

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wazee wa fordsburg
Ndani ya gauteng jozi
View attachment 1701421

Tuje maeneo tutakutana marshalltown
View attachment 1701422
View attachment 1701423
View attachment 1701424

Maisha ya sauzi kama bongo akaunti inasoma milioni 50 mpaka 100.na unaweza kulipa kodi kuanzia laki 6 basi kule unaweza kuishi maisha mazuri na michongo kibao.
Ila tahadhari wabongo asilimia 90 sio watu huko wanaweza kukutoa kwenye ramani hata ujilani nao mbali kabisa.

Kuna pisi za kufa mtu na chai ya moto (ukimwi) maana baridi tu litakufanya huwe mlevi au mpenda chini.
umerudi tena mzee?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom