Jinsi Lowassa alivyojichomeka sherehe za RC Ifakara na kumchefua kardinali Pengo

This is the bad newz kwa pasco lowassa na genge lake baada ya mbeleko ya mwisho ambayo waliitegemea zaidi kumbeba nayo inaonekana si salama sana,mbeleko ya kwanza kuwakatisha tamaa amabyo nayo waliitegemea sana ilikua ni nec ya ccm,lakini kitendo cha nec kupitisha mambo ambayo lowassa na watu wake hawakuyapenda kiliwanyima raha sana na kuamua kuelekeza nguvu kanisani
 
Baada ya kusoma thread yake hata mimi sasa my reservations about the dude are gone especially kumbe alikuwa mmpambe wa harusi ya binti wa Lowassa. Before I wasn't sure if his posts were full of irony and sarcasm towards EL, lakini sasa najua kumbe jamaa ni pumba tupu.
 
Zinja, I'm just human!. Nakiri kweli mimi Pasco wa jf ni pumba tupu!.
 
This is the bad newz kwa pasco lowassa na genge lake baada ya mbeleko ya mwisho ambayo waliitegemea zaidi kumbeba nayo inaonekana si salama sana,mbeleko ya kwanza kuwakatisha tamaa amabyo nayo waliitegemea sana ilikua ni nec ya ccm,lakini kitendo cha nec kupitisha mambo ambayo lowassa na watu wake hawakuyapenda kiliwanyima raha sana na kuamua kuelekeza nguvu kanisani
Its true its bad news kwangu na kundi langu kwa vile mimi ni CCM Damu!.
 
Acheni uongo nyie viunbe wa Mungu mbona tabia zenu zinakuwa za kikwere; Lowassa atahudhuriaje sherehe hizo kama muumini mwingine wakati yeye sio mkatoliki?

Kwa wakatoliki hata muislamu au mpagani unaweza kuingia church ukasikiliza mahubiri, hawabagui wala hamuingii kwa card.
 
Its true its bad news kwangu na kundi langu kwa vile mimi ni CCM Damu!.

wewe ccm lowassa sio ccm damu,lowassa akiondoka ccm na wewe utamfuata huo ndio ukweli,wewe sio mwana ccm wewe ni mwana lowassa...na huyo lowassa wako ndio katuponza kwa mara nyingine tena tunapoteza jimbo la pili katika mkoa ambao huwa mnadai ndio ngome yake,bahati mbaya zaidi wagombea wote wawili katika majimbo hayo mawili ni watu wake wa karibu ambao aliinvest a lot kwao kuhakikisha wanapitishwa na vikao vya ccm kama mlivyokua mkidai,sasa kama kashindwa kutupatia wabunge wawili tu maana yake ni kwamba ana uzito wa unyoya not a heavy weight again as mlitaka kutuaminisha hapa.

Shame on u guyz!
 
pengo hawezi tena kumuunga mkono EL sio kondoo wake na anaona kondoo zake magwanda wana muelekeo mzuri kwa nn hasi wasapoti ili waingie magogoni waanze kuponda tena si unajua wanalikizo ya miaka 10!
 
Katoliki iliendelezwa na mafioso na mpaka sasa mafioso ndo wenye kuli control kanisa, nikiwa na maana italian mafia.
 
Nashukuru kwa Pengo kulitolea hili la chaguo la Mungu ufafanuzi make lilinifanya nilishangae sana kanisa hili
 
wewe ccm lowassa sio ccm damu,lowassa akiondoka ccm na wewe utamfuata huo ndio ukweli,wewe sio mwana ccm wewe ni mwana lowassa...na huyo lowassa wako ndio katuponza kwa mara nyingine tena tunapoteza jimbo la pili katika mkoa ambao huwa mnadai ndio ngome yake,bahati mbaya zaidi wagombea wote wawili katika majimbo hayo mawili ni watu wake wa karibu ambao aliinvest a lot kwao kuhakikisha wanapitishwa na vikao vya ccm kama mlivyokua mkidai,sasa kama kashindwa kutupatia wabunge wawili tu maana yake ni kwamba ana uzito wa unyoya not a heavy weight again as mlitaka kutuaminisha hapa.

Shame on u guyz!
Asante. Mimi ni CCM EL!. Tafuta thread yangu ya "CCM Imechokwa"!. Kwenye kumpigia debe Lowassa ateuliwe kuwa mgombea wa CCM was only meant kwa the great thinkers!. Walengwa walinielewa!. Kwa wengine kama wewe, sorry, ili kumuelewa vizuri Parco wa jf, lazima uwe na level fulani ya uelewa!. Sorry can't help you!. Na kama na wewe umejihesabu uu miongoni mwa ma great thinkers wa jf simply because ur r jf member n jf is home of great thinkes, sorry URNOT!.
 
Katoliki iliendelezwa na mafioso na mpaka sasa mafioso ndo wenye kuli control kanisa, nikiwa na maana italian mafia.

Baada ya kumkataa lowassa ndio umejua hivyo au?

Hivi lowassa ana nini,maana watu wake hata mwalimu nyerere baada ya watu kuweka bayana alimkataa lowassa wamekua ktika jitihada kubwa za kumchafua pia ili lowassa atakate!
 
Asante. Mimi ni CCM EL!. Tafuta thread yangu ya "CCM Imechokwa"!. Kwenye kumpigia debe Lowassa ateuliwe kuwa mgombea wa CCM was only meant kwa the great thinkers!. Walengwa walinielewa!. Kwa wengine kama wewe, sorry, ili kumuelewa vizuri Parco wa jf, lazima uwe na level fulani ya uelewa!. Sorry can't help you!. Na kama na wewe umejihesabu uu miongoni mwa ma great thinkers wa jf simply because ur r jf member n jf is home of great thinkes, sorry URNOT!.

Kwa kuwa wewe ndio mpima ubora wa viwango vya who is the great thinker en who is not wa jf au?na lini ulipewa cheo na nani walikupendekeza ? au umejipa mwenyewe tu na umejiridhisha bila ridhaa kuwa unastahili kuwa mpima ubora?

Basi kazi unayo mzee,na vipi kile "kiti moto" chako ulichotaka kukirejesha kwa kutumia mgongo wa great thinker wa jf kimeishia wapi baada ya kukileta hapa kwa great thinker ambao wewe ndio mpima viwango vyao??

Kiufupia bwana Pasco Lowassa a.k.a.mzee wa bahasha za khaki hakunaga mtu anaekuelewa humu ndani,sema watu wanakudharau kwa kuwa wmeshakujua wewe ni mchumia tumbo tu unaesumbuliwa na njaa ya maendeleo ya haraka kwa kulamba miguu ya watu.

MWISHO WA SIKU SIKUOMBA KUWA GREAT THINKER JF NA HATA WEWE PIA NADHANI ULICHOOMBA KWA KUJAZA FOMU NI MEMBERSHIP!SO NTAENDELEA KUSIMAMA KATIKA NILICHOOMBA...SAMAHANI SANA KWA KUNIUDHI!
 
Mimi ni Mkatoliki, kutokana na heshima kwa dhehebu langu sio busara kuujadili humu usafi wa Kanisa Katoliki ila kutaka kumtenga EL kwa kisingizio si msafi hakina mashiko. Kwani Masiya alikuja kwa ajili ya waliopotea na wasio wakamilifu. Nimebahatika kufika mpaka Rome na kuishuhudia lile dungu la dhahabu pale juu kwenye ule mduara, si wengi wanajua hìlo dungu lilitoka wapi na lilipatikanaje mpaka kufika hapo!. Sio wengi wanawajua the realy funders wa Vatican!. EL anauchafu gani wa kuwa despised na Kanisa Katoliki!. Tatizo la kanisa letu, the right men ni kwao ni Wakatoliki tuu kama alivyokuwa Julius, akaja Beninyamini na sasa wanampigia chapuo Berinado au Wilibodi!. Kwa vile EL ni Mlutheri, huyo kwao sio!.

Pasco umeongea bila kufikiri na hata kushirikisha mikono yako na akili pamoja. Hizi siasa za kueneza chuki dhidi ya watu na dhidi ya dini hazina maana na zinakosa mshiko hasa pale muongeaji anapo payuka bila kujifunza na kutafuta ukweli kabla ya kuongea lolote.

Julius hakuwekwa madarakani na Katoliki wala Wakristo wala Lake Zone na North zone kama ambavyo umegoma kutafuta na kutafiti ukweli! (Rejea Historia ya Uhuru na awamu ya kwanza ya Utawala) Ndivyo hivyo hivyo hata Ben pia hakuwekwa madaraka na hao (Tafuta ukweli juu ya uchaguzi wa 1995 na Historia ya Ben). Kama kuna mtu aliingia madarakani kwa nguvu za Wakristo na Katoliki hapa Tanzania basi Kikwete ni namba moja na ninadhani hato tokea mwingine kama yeye (rejea uchaguzi wa 2005, kama una kumbukumbu).

Watu wa aina yako bahati mbaya ndio wanaoifanya zaidi ya asilimia 80% ya Watanzania na huo ndio mkosi pekee tulionao kama nchni. Kitu kimoja ambacho pia hujui ni kuwa hakuna tofauti ya Kikwete na Ben, hivi tofauti za kidini mnaziona nyie wenye upeo mdogo na msiyo ijuwa Dunia; wao wanakutawala haijui na hawaioni.

Samahani sana kama nimekuhudhi, nisamehe sana ila tafuta ukweli siku zote na acha kuweka maneno juu ya hewa.
 
Mbona waandishi waliokuwa huko hawajaandika habari? Mbona kwenye TV zetu hawakuonyesha hayo? Au ndio yale matatizo aliyosema JK juzi? Kama ni kweli, hii ni aibu na kashfa kwa vyombo vyetu vya habari maana walikuwapo waandishi makini huko. Na hata hii Kiongozi ni kwa kuwa ni gazeti la kanisa na wameona wajisafishe na mafisadi, kwa kuwa watu sasa wanasema kanisa Katoliki linachukia mafisadi lakini linapenda fedha zao, kumbe sivyo bali ni kuingiliwa kama alivyofanya RC Bendera.
Wataandikaje wakati nao wanapokea mshahara wa kila mwezi mpaka hapo mission itakapo kamilika, huyu bwana asha wanunua hawa waandishi wote na huta kuja kuona habari zake mbaya bali ni nzuri tu katika media zetu.Labda Raia Mwema na mwana halisi tu,Wahariri watabadilikika siku watakapo chorwa tena kwenye katuni wakilamba mifuko ya huyu bwana wao.
 
Nyie bado mnahangaika na huyo muandishi wa Lowassa!wale wenzake kina hutaki unaacha na mtoa tetesi waliokuwa wanakuja hapa na kujaribu kucreate fear kwa wabongo eti lowassa ni untouchable na mpaka kwenye vikao vyenu vile vya jioni tusimuongelee vibaya kwani tunaweza tusifike nyumbani baada ya kutoka vikaoni kisa tunaweza kushambuliwa sijui wako wapi siku hizi?
 
Back
Top Bottom