Jinsi kutembea na HIV test kwenye begi kulivyoninusuru na maambukizi Mara 6 (asante mungu)

Siwaaminishi kuwa kumpima mtu HIV nakumpata yuko salama kuwa ni tiketi yakutotumia kinga "condom" *hapana*
Mkuu hivyo vipimo sio 100% correct... Kwa taarifa yako mtu akiwa katika matumizi ya ARV Viral load inakuwa chini sna...hivyo ukitumia hicho kipimo lazima isome Negative tuu.... Hapo ndipo kunapokuwa kilio na kusaga meno
 
Jina lake ni Goodfool halafu ww unamwita Pumbavu unadhani zaidi ya kuitika jina lake afanye nn cha ziada ila anaupumbavu mzuri kweli kama jina lake
 
Back
Top Bottom