DaveSave
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 440
- 637
Sina ugomvi na banks hapana ila kuwapongeza kwa kutumia fursa hii kwa mbinu ya delay technique wamefaulu
Mfano
Wateja 100,000 wakaangalia Salio mara 10 kila mmoja na kila ukiangalia unakatwa sh 300, sasa tuone faida wanayopata kwa kupitia Mobile
Total customers x10 x300
100,000 x10 x300=300,000,000/=
Kwa kuangalia Salio pekee wanapata milioni mia tatu.
Ikiwa Mshahara utaendelea kuchelewa ina maana fedha ambayo itapata Benki ni zaidi ya milioni mia tano. Fedha hizo zinaweza kulipa mishahara ya watumishi wote wa Benki.
Mwisho hakuna Benki itaendeshwa kwa hasara.
Hao ndio wazungu bana, wanakutawala na kufaidika kupitia teknolojia.