Jinsi Karamagi alivyokaangwa Bungeni (Picha)

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,399
39,550
Akaanza,
karamagi001.jpg


akajitahidi...
karamagi002.jpg


gia kubwa..
karamagi003.jpg


Mwanachama mwenzake..
karamagi004.jpg

Have a good weekend!! listen to Bongoradio on Sunday, we might have something from Dar for you.

M. M.


NB: Picha zote original kwa hisani ya Khamis Athumani.
 
Hawa wezi wakubwa bado wanakubalika bungeni kweli tuna serikali?
 
jamii nyingi zimepitia hatua mbalimbali kufikia mafanikio,hatua zingine ni mbaya,jaribu kusoma historia ya nchi zilizoendelea utaona.Kwa sasa hapa kwetu akina Nazir,el,ra,bwm, jk na wengine ndio wanatupitisha ili tufikie mafanikio.Kikubwa kwetu sisi tufunue kila jiwe.
 
Hawa wezi wakubwa bado wanakubalika bungeni kweli tuna serikali?


Hawa tuwashinikize mpaka wafukuzwe bungeni au kujiuzulu. Ufisadi waliofanya hawastahili kupewa hata ujumbe wa nyumba kumi kumi achilia mbali ubunge.
 
Zile pesa za kampeni zilizomwagwa BKB vijijini sijui kama zimesharudi zote,pole sana kondoo wa kafara maana RICHMOND +TICTS zote zimepigwa kabari na wabunge,sasa bado hiyo taasisi yako ya fedha ya VERTEX sijui nayo wataichunguza huduma zake pesa zinazopitia humo zinatokea wapi.Ulikuwa umeukata kabisa.Sasa rudia kazi yako ya zamani ya kubeba saruji itakufaa kwa siku hizi zilizobakia kuishi hapa duniani
 
Mwaka huu una raha zake

Mimi nitaridhika tu kama wote watafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yao .Kujiuzulu bado am not impressed japokuwa ni one step na wanakuwa more exposed.Lazima sheria ichukue mkondo na CCM wangalikuwa wa maana wangaliwavua Ubunge kwa kuwafukuza uanachama .Lakini they are all washirika .Tuendelee na kuwapiga mawe maana wako katika nyumba ya kioo sasa .
 
Mimi nitaridhika tu kama wote watafikishwa mahakamani kujibu mashitaka yao .Kujiuzulu bado am not impressed japokuwa ni one step na wanakuwa more exposed.Lazima sheria ichukue mkondo na CCM wangalikuwa wa maana wangaliwavua Ubunge kwa kuwafukuza uanachama .Lakini they are all washirika .Tuendelee na kuwapiga mawe maana wako katika nyumba ya kioo sasa .

Unajua MKuu hapa CCM walisha pigwa bao wale waliowazuri hawana ubavu wa kuwavua uanachama wenzao. Kuna mtu anaweza kumuondoa bosi wake? Ndio maana ulisikia watu kama RA akisema yeye ni mtu mzito sana, alimaanisha wote hata yule anayemuita anaweza kulipoti kwake.

Kile chama ukiangalia kwa mbali wale wakuu wa Chama waliowengi wamejipanga vizuri sana, angalia Kila sehemu utamukuta either RA or EL or AC au BWM nk.

Wanachama wamekuwa wakitumiwa kulinda masirahi ya hawa bwana wakubwa bila wao kujua. Hata ukiangalia Mzee makamba majibu aliyoyatoa juzi kuhusu AC ni kama vile hakuamini alichokisikia. Na siyo yeye tu sasa hivi waliowengi ni kama vile wanatolewa upofu machoni na kuona kumbe hali yenyewe ndio hii.

Kwa kifupi ni rahisi kwa watu waliowazuri ndani ya CCM kuanzisha Chama chao, kuliko Kupambana na MAFISADI waliojikita ktk chama.Wakati huu wameisha chelewa.
 
mkuu thanx my wkend imeanza vzuri....
ila duh... visenti! mpaka kieleweke mwaka huu
 
Akaanza,
karamagi001.jpg


akajitahidi...
karamagi002.jpg


gia kubwa..
karamagi003.jpg


Mwanachama mwenzake..
karamagi004.jpg

Have a good weekend!! listen to Bongoradio on Sunday, we might have something from Dar for you.

M. M.


NB: Picha zote original kwa hisani ya Khamis Athumani.

Thank you Mkuu Mwanakijiji, real is a nice weekend wish, we relax into the sea of troubles.
 
Jamani Wazee Wa Chama Na Washauri Makini Wako Wapi|?mi Siuelwi Ukimya Wao Huu..wapi Malecela,lusinde,msuya,etc?wakemee Sana Haya Na Wawaonye Na Kuwasimamisha Hata Uanachama Wa Ccm Jamani Hivi Mpaka Lini Jamani Wajua Mnatufanya Kama Sisi Hatuna Haki Kwenye Nchi Yetu Ila Nyie Tu???kwa Nini Lakini?mimi Nina Machungu Sana Wajua?aahhh....
 
Maoni yangu ni kuendelea kukijenga chama tu maana itafika mahala pumba na mchele utajitenga haya ni mapitio tutafika mahala wale mafisadi woote watakaa pembeni kwa aibu na kuwaacha akin JK MP na wengineo wadilifu wakichapa kazi la msingi kama bwana BMW amekuwa akiikamua Tenesco 142 m per day hili ni tatizo mlala hoyi ndiye anubeba huu mzigo kwa maana hiyo basi kama bwana BMW hawezi kushitakiwa basi amrishwe kwa nia njema tu arudishe hayo mabilioni aliyopola kama itathibitika
 
Hapa Mkuu wa vijisenti anajua kila kitu kilichofanyika. lakini naona Mkuu Karamagi hapa ni kitanzi tu. hana la kufanya. Mwaka huu utakuwa katika historia yake.

Uwaziri kakosa, Dubious zake zote alizopiga inaonekana zinaingiliwa mchanga. Sasa hapo Mzee Makamba bado hajasema.

Mwaka wa hasara ni hasara tu.
 
naona ngombale mwiru bado anakula pesa zetu na kusinzia bungeni Mungu tubariki tupate viongozi bora
 
Kaka Mwanakijiji

Mimi kwangu hao watu wote ni hao hao tuuu

Waliotoka TUNDUNI na waliobaki wate ni ndege, nilazima watafutiwe MANATI.

Hao wote ni mafisadi tu na SHOKA lao linakuja.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom