Jinsi kabila la Wabembe linavyoendelea kusambaa duniani

Bullshit

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,299
1,492
Wabembe ni kabila la watu ambao wanaishi katika nchi zote za Maziwa Makuu ya Afrika. Wanapatikana kwa wingi Fizi, Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia na wanaishi katika nchi tofauti kama: Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia, Burundi, Kongo (Brazzaville) na Mkoa wa Kigoma, Tanzania.

Lugha yao ni Kibembe.

Katika mwaka wa 1991 idadi ya Wabembe ilikuwa 252.000 (Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia). Ila kwa sasa idadi ya Wabembe haijulikani kikamilifu, kufuatana na kusambaratika kwa kabila hiyo kwenye sehemu zote duniani.

Miaka kadhaa iliyopita hadi hivi sasa kuanzia mwaka 2005, inazidi kuonyesha idadi ya Wabembe wengi katika mabara tofauti kama vile: Marekani, Australia, Ulaya ya Magharibi na Ulaya ya Kaskazini.

Pia idadi ya Wabembe wengine inaongezeka katika nchi za Afrika Kusini, Kenya, Zimbabwe, Malawi na Zambia.
 
Hivi kuna uhusiano wowote kati ya wabembe na wamaniema.
year husiano hupo,ukitaka kujua hlo muhuelza mmanyema alitokea wap,kama haitoshe mwambie mmanyema anaongea kilugha gan,hapo ndo utajua wamanyema chimboko lao n kutoka ktk kabla la wabembe.
 
year husiano hupo,ukitaka kujua hlo muhuelza mmanyema alitokea wap,kama haitoshe mwambie mmanyema anaongea kilugha gan,hapo ndo utajua wamanyema chimboko lao n kutoka ktk kabla la wabembe.
Je uhusiano baina ya wabembe na wahutu?
 
year husiano hupo,ukitaka kujua hlo muhuelza mmanyema alitokea wap,kama haitoshe mwambie mmanyema anaongea kilugha gan,hapo ndo utajua wamanyema chimboko lao n kutoka ktk kabla la wabembe.

We utakuwa na Uraia Pacha tu maana Kiswahili chako kinafanana na cha kina Zitto
 
Mbona wananiema,wahutu, wabembe,watutsi,wakasai,waha na wahaya wanavipaji saana ukija kwenye mpira wamo kwenye muziki wamo kwenye utawala wamo nk.
 
Mbona wananiema,wahutu, wabembe,watutsi,wakasai,waha na wahaya wanavipaji saana ukija kwenye mpira wamo kwenye muziki wamo kwenye utawala wamo nk.
ila sina uhakka kama n wote uliowataja
 
Back
Top Bottom