Jinsi Joseph Kabila alivyopiga chenga ya mwili, akili za wapinzani na mataifa ya Nje!

Ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Chenga uliyowapiga wakoloni mamboleo hakika ni ya kimataifa na imethibitisha wewe ni mwanaume ambaye hujakubali kuwa mnyonge mbele ya mabeberu.

Soma kwa makini

Iko hivi, rais aliyemaliza mda wake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila aliwekewa vikwazo vingi na mataifa ya ulaya kwa madai ya uminyaji wa demokrasia na kung'ang'ania madaraka ndipo Kabila aliamua kutangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi na jambo lililowafurahisha wengi ni pale alipotangaza kuwa hatashiriki katika uchaguzi huo kama mgombea wa kiti cha urais kwakuwa muhula wake ushaisha kwa mujibu wa katiba ya Congo.

Uchaguzi uligubikwa na mashinikizo na maswali mengi yaliyokosa majibu. Kelele nyingi zilipigwa na kuwaaminisha wakongo kuwa chama tawala hakifai kuendelea kuwepo madarakani kwani hata asipogombea Kabila wananchi waliaminishwa kuwa mgombea yeyote wa chama tawala atakuwa kibaraka wa Kabila. Nyuma ya pazia mataifa ya ulaya kwa kushirikiana na vibaraka wao kama vile Kanisa Katoliki nchini Kongo walimuandaa mgombea wao ambaye akipita ataendesha Congo kwa maslahi yao binafsi.

Kabila kwa kutambua hilo akajua wananchi wana chuki dhidi ya chama tawala hivyo akifanya figisu kumpitisha mgombea wa chama tawala Shadary Ramadhan basi itazua machafuko nchini Kongo lakini pia akipita Martin Fayulu wa upinzani ndiye mgombea wa nchi za ulaya wanaempenda, kwa kuona hilo kwamba wakoloni wamemwaga ugali kwa kumchafulia chama chake na kumwekea vikwazo nae akaamua kumwaga mboga kwa kufanya figisu kumpitisha Felix Tshisekedi Tshilombo ambae sio papeti wa wakoloni mambo leo.

Ndio maana bado mataifa ya ulaya hadi leo wanatilia shaka matokeo ya urais nchini Kongo ila wanaogopa kuweka wazi kwakuwa wataulizwa shaka zenu mmezitolea wapi wakati nyie sio tume ya uchaguzi?

Mwaga ugali namwaga mboga! #Bado_somewhere
 
Hujui chochote ujinga wa kujiliwaza hapo rumumba kama issue ni ubeberu basi beberu namba moja ni felix aliyekua anaishi huko ubeberuni(ubeligiji) Jenga hoja nyingne achana na singeli yenu ya kishamba kwamba wanaopendwa na wananchi ni mabeberu.Hii ndio hoja mnaojifichia mabeberu wa Lumumba
 
Ufaransa wamesema wazi kwamba eti aliyepaswa kushinda ni Fayulu. Nimewashangaa sana kwa upumbavu wao. Kumbe kisa huyo Fayulu ni mfanyabiashara na walijua watafanya nae biashara ya mafuta.

Big up Kabila. Nilipishana nae Makutupora JKT 834 KJ mwaka 1993 yeye anatoka kumaliza mafunzo mimi naingia. Namkubali sana mabeberu aibu tele na Chisekedi Chilombo (Ndivyo inavyotamkwa) ataapishwa tu
Ukimwaga mboga tunamwaga ugali. Chenga uliyowapiga wakoloni mamboleo hakika ni ya kimataifa na imethibitisha wewe ni mwanaume ambaye hujakubali kuwa mnyonge mbele ya mabeberu.

Soma kwa makini

Iko hivi, rais aliyemaliza mda wake wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Joseph Kabila aliwekewa vikwazo vingi na mataifa ya ulaya kwa madai ya uminyaji wa demokrasia na kung'ang'ania madaraka ndipo Kabila aliamua kutangaza tarehe rasmi ya kufanyika uchaguzi na jambo lililowafurahisha wengi ni pale alipotangaza kuwa hatashiriki katika uchaguzi huo kama mgombea wa kiti cha urais kwakuwa muhula wake ushaisha kwa mujibu wa katiba ya Congo.

Uchaguzi uligubikwa na mashinikizo na maswali mengi yaliyokosa majibu. Kelele nyingi zilipigwa na kuwaaminisha wakongo kuwa chama tawala hakifai kuendelea kuwepo madarakani kwani hata asipogombea Kabila wananchi waliaminishwa kuwa mgombea yeyote wa chama tawala atakuwa kibaraka wa Kabila. Nyuma ya pazia mataifa ya ulaya kwa kushirikiana na vibaraka wao kama vile Kanisa Katoliki nchini Kongo walimuandaa mgombea wao ambaye akipita ataendesha Congo kwa maslahi yao binafsi.

Kabila kwa kutambua hilo akajua wananchi wana chuki dhidi ya chama tawala hivyo akifanya figisu kumpitisha mgombea wa chama tawala Shadary Ramadhan basi itazua machafuko nchini Kongo lakini pia akipita Martin Fayulu wa upinzani ndiye mgombea wa nchi za ulaya wanaempenda, kwa kuona hilo kwamba wakoloni wamemwaga ugali kwa kumchafulia chama chake na kumwekea vikwazo nae akaamua kumwaga mboga kwa kufanya figisu kumpitisha Felix Tshisekedi Tshilombo ambae sio papeti wa wakoloni mambo leo.

Ndio maana bado mataifa ya ulaya hadi leo wanatilia shaka matokeo ya urais nchini Kongo ila wanaogopa kuweka wazi kwakuwa wataulizwa shaka zenu mmezitolea wapi wakati nyie sio tume ya uchaguzi?

Mwaga ugali namwaga mboga! #Bado_somewhere

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujiliwaza nako ni sehemu ya maisha hata pale nguvu ya umma inapomlazimisha mtu kukubali matokeo sie tunawaza mabeberu tu ila hao hao tuwaitao mabeberu wakituma misaada wanageuka kuwa marafiki wa kweli. Just know that Kabila had no option given the election situation in DRC.
 
Hapa wapinzani wa Afrika ndio huwa wanashangaza, badala ya kumpongeza wao wana kuchelewesha mambo na wanapingana tena. Nategemea mpinzani kuleta mabadiliko ya kimfumo na kuutawala. Hasa katika kufikia matanio ya wapinzani.
 
Ufaransa wamesema wazi kwamba eti aliyepaswa kushinda ni Fayulu. Nimewashangaa sana kwa upumbavu wao. Kumbe kisa huyo Fayulu ni mfanyabiashara na walijua watafanya nae biashara ya mafuta.

Big up Kabila. Nilipishana nae Makutupora JKT 834 KJ mwaka 1993 yeye anatoka kumaliza mafunzo mimi naingia. Namkubali sana mabeberu aibu tele na Chisekedi Chilombo (Ndivyo inavyotamkwa) ataapishwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Haitamkwi Chilombo bali ni Shilombo na kwa Kuandikwa inaandikwa Tshilombo.
 
Mbona hakukuchagua Wewe kuwa Mgombea huko Congo DR kama alivyofanya kwa huyo mwingine ERS? Siku hizi Joseph Kabila ameacha Kupenda Kuvuta Bange / Bangi sana kama ilivyokuwa kawaida yake hata alivyokuwa huku Tanzania? Kama ameacha Mungu mkubwa na Damu ya Yesu imkomboe zaidi.
Hahahaaaa ule mmea ukikolea kuuacha sio rahisi ila kama kaacha hongera yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah Prezda anapenda weed
Aisee hii dhahma

Tena anaivuta nadhani hata Hayati Bob Marley angekuwepo na angemuona angempa Tuzo ya Uvutaji wa Bange / Bangi wa Kutukuka. Ndugu zake wa Kiume Siku hizi ' wanarandaranda ' mno hapa Dar es Salaam hasa hasa Mbezi Beach na Mikocheni na kuna mdogo wake mmoja alikuwa Mpole kweli zamani ila tokea amekuwa ( Ndevu zimemuota ) Siku hizi ni ' Kitombinyo ' ile mbaya na nina uhakika ' Mbunye ' za Jijini zinamkoma.
 
Yale majani sio poa kaka
Kuanza kuyatumia ni rahisi ila tatizo namna ya kuacha
Tena anaivuta nadhani hata Hayati Bob Marley angekuwepo na angemuona angempa Tuzo ya Uvutaji wa Bange / Bangi wa Kutukuka. Ndugu zake wa Kiume Siku hizi ' wanarandaranda ' mno hapa Dar es Salaam hasa hasa Mbezi Beach na Mikocheni na kuna mdogo wake mmoja alikuwa Mpole kweli ila tokea amekuwa Siku hizi ni ' Kitombinyo ' ile mbaya.
 
Back
Top Bottom