IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,460
- 7,371
...goodnahitaji Muda Kukuelezea Uelewe,sina Kwa Sasa,ila Naahidi Kuweka Maelezo Marefu Hapa Baadae Naamini Utapata Ufafanuzi Mzuri Tu Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
...goodnahitaji Muda Kukuelezea Uelewe,sina Kwa Sasa,ila Naahidi Kuweka Maelezo Marefu Hapa Baadae Naamini Utapata Ufafanuzi Mzuri Tu Mkuu.
ndiyo Ukweli Na Hata Kabila Alishafanya Makubaliano Kitambo Tu Na Tshisekedi Na Si Majuzi Kama Watu Wanavyodai,huwezi Amini Makubaliano Hayo Yaliyoambatana Na Mkataba Maalum Yalifanyika Kabla Ya Kabila Kumtangaza Shadary!Na Kitu Cha Kuchekesha Zaidi Ni Kuwa Hata Shadary Mwenyewe Anaufahamu Mkataba Huo Na Ni Mmoja Wa Mashuhuda Wa Utiwaji Saini!Ilikuwa Kwamba Kama Akishinda Shadary Na Felix Ameula Pia,na Kama Akishinda Felix Basi Kabila Na Shadary Wangeula Ila Kupitia Mlango Wa Nyuma Kwamba Bado Kabila Angedhibiti Jeshi Na Usalama Wa Taifa.
UVCCM kesi yenu ya uraiya wa Zitto imepangiwa tarehe ngapi??[/QUOTE
Asikushughulishe yule Mr kimbele mbele,atanasa tu
Sawa, ondoa utata na mkanganyiko. Upo sahihi kiasi fulani ila pia umetuchanganya.nahitaji Muda Kukuelezea Uelewe,sina Kwa Sasa,ila Naahidi Kuweka Maelezo Marefu Hapa Baadae Naamini Utapata Ufafanuzi Mzuri Tu Mkuu.
Hata mm naamin kama haya ni ya kwel basi hii akili aliyotumia kabila sio ya kwake bali ni ya kagame.Ila huu mchezo alocheza kabila nauhakika sio akili yake ....Naona kabisa hii ni akili ya Anko Beny hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
yes bado maslah yetu yamelindwa...Ila huu mchezo alocheza kabila nauhakika sio akili yake ....Naona kabisa hii ni akili ya Anko Beny hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani kujua binafsi una hoja gani?Hata mabavicha yaliruka rula kwa furaha
Demokrasia bila maendeleo ni ujinga mtupu na kelele Zinazoumiza masikio na vichwa vyetu.Kabla ya kuwasakama wazungu, tujiulize kwa dhati kabisa sisi waafrika, tunafanya nini kusaidia demokrasia ndani ya nchi zetu. Tukishindwa kuheshimiana wenyewe kwa wenyewe tujiandae kusumbuliwa na hawa the so called mabeberu!
Imeleta logic now.ndiyo Ukweli Na Hata Kabila Alishafanya Makubaliano Kitambo Tu Na Tshisekedi Na Si Majuzi Kama Watu Wanavyodai,huwezi Amini Makubaliano Hayo Yaliyoambatana Na Mkataba Maalum Yalifanyika Kabla Ya Kabila Kumtangaza Shadary!Na Kitu Cha Kuchekesha Zaidi Ni Kuwa Hata Shadary Mwenyewe Anaufahamu Mkataba Huo Na Ni Mmoja Wa Mashuhuda Wa Utiwaji Saini!Ilikuwa Kwamba Kama Akishinda Shadary Na Felix Ameula Pia,na Kama Akishinda Felix Basi Kabila Na Shadary Wangeula Ila Kupitia Mlango Wa Nyuma Kwamba Bado Kabila Angedhibiti Jeshi Na Usalama Wa Taifa.
Naomba unitumie PM huo mfafanuo au kiweka nitag mana inaonyesha ni stori nzuri sana. Kweli Jf rahanahitaji Muda Kukuelezea Uelewe,sina Kwa Sasa,ila Naahidi Kuweka Maelezo Marefu Hapa Baadae Naamini Utapata Ufafanuzi Mzuri Tu Mkuu.
Jana tume ya uchaguzi Nchini nKongo (CENI) ilimtangaza FELIX TSHISEKEDI kutoka chama cha Upinzani cha UDSP kuwa mshindi wa kiti cha Urais baada ya kupata kura milioni 7, akifuatiwa na MARTIN FAYULU kura milioni 6.4 aliyekuwa akiwakilisha Muungano wa vyama vya Upinzani huku mgombea aliyekuwa anaungwa mkono na Rais anayemaliza muda wake EMMANUEL SHANDRY akiambulia milioni 4.4.
Baada ya kutangazwa kwa matokeo hayo, wafuasi wengi wa vyama vya Upinzani Nchini Kama ambavyo ilitarajiwa hawakusita kuonesha furaha zao kupitia mitandao mbalimbali kwa hoja kubwa kwamba chama tawala kimeondoka madarakani na wengine kwenda mbali zaidi na kusema 'Kabila habari yake imekwisha'
Kwa wafuatiliaji na wachambuzi waandamizi wa masuala ya kisiasa hasa za Kiafrika watakubaliana nami kwamba kilichofanyika ni Rais aliyeondoka madarakani KABILA kupiga chenga ya mwili akili za Wapinzani nchini Kongo na Afrika kwa ujumla sambamba na Mataifa ya nje ambayo kila kunapokucha hayapendi kuona taifa hilo likiwa katika hali ya amani na utulivu kwani kunaweza kuwa kikwazo kikubwa katika wizi wa madini yaliyojaa tele katika taifa hilo la Afrika ya kati.
kabila alipigaje hiyo chenga ya mwili?
Kutafuta mshindi ambaye atalinda maslahi yake binafsi na watu wa Kongo, ikumbukwe kanisa katoliki nchini Kongo na Ufaransa kwa nyakati tofauti yameeleza Mgombea aliyekuwa anawakilisha umoja wa Upinzani FAYULU ndiye aliyeshinda uchaguzi huo, Kama huo ndio ukweli ni wazi baada ya Kabila kubaini mgombea wake(SHANDRY) ameshindwa huku FAYULU akiwa na kura nyingi, akifuatiwa na TSHESEKEDI alichokifanya ni kuchagua shetani moja kati ya wawili( rejea theory of the lesser evil) na kwa mazingira yalivyokuwa akaamua kumtangaza TSHESEKEDI kuwa mshindi akiamini msimamo wake dhidi yake(kabila) ni AHUENI ikilinganishwa na FAYULU ikumbukwe kuwa TSHISEKEDI alikuwa tayri na uhasama na umoja wa vyama vya Upinzani ukiongozwa na FAYULU baada ya kumzuia kupeperusha bendera ya umoja huo licha ya kuwa maarufu na wafuasi wengi.
Ni nini kimetokea na kitatokea baada ya chenga hiyo ya mwili?
i) wananchi, vyama vya Upinzani na wakosoaji wakubwa wa kabila sambamba na mataifa ya nje yaliyokuwa yanampiga hayaongei lugha moja yanapingana yenyewe badala ya Kabila!!!!!!!
ii)Ni vigumu sasa kwa mataifa ya nje kutoa mashinikizo kwa tume ya uchaguzi kurudia uchaguzi zaidi ya kukosoa mwenendo wa uchaguzi haukuwa wa haki n.k kwanii bado aliyeshinda ni kutoka Upinzani Kama mataka ya awali ya Nchi hizo.
iii)TSHESEKEDI ataapishwa na kulinda maslahi mapana ya wakongomani pamoja na yale ya Kabila.
Kabila katoa funzo kubwa kwa Afrika kwamba tunaweza kulinda maslahi yetu mapana ya wananchi wetu pasipo kuleta kusababisha umwagaji damu, vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo hutoa fursa kwa mataifa ya nje kuvuruga amani na utulivu wa nchi zetu.
So deepHuweleweki, unasema babake ni kutoka Rwanda huku akipambana Ndadai wa Burundi. Kwanini autake urais wa Burundi na sio Rwanda? Ndadai alionngoza Burundi mwaka 1993 na kuuwawa mwaka huohuo. Tayari Kabila na familia yake wapo Dar siku nyingi miaka ya 70. Sijakuelewa ujue!! Jipange ulete habari kamili.