Jinsi jirani alivyoniweka njia panda. Ungefanyaje?

Dah mzee umezingua hapo ilibidi tunda liliwe kimasihara we umepaisha
 
Nina mashaka na umri wako. Ishu ndogo kama hiyo inashindwa solve eti jamaa atakuchukuliaje wakati kafukuza mkewe usiku?
Wewe ukauwawe kisa busara hapa ni mjini kuletewa hadi watoto ulee hiyo ndio shida .
Uwaruhusu wakuzoee ili aende kwawadhamini wandoa au kwao .

Maisha mara ingine ni bora uwe roho mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom