Jinsi Jirani alivyoliwa Mkewe na Jank wa Field

Mwagito84

JF-Expert Member
Jan 2, 2016
235
705
Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia kazi.

Basi bhana kijana toka Chuo kadondoka fresh na kuanza kufanya kilichomleta pande hizi. Mother House ambaye ni mzaliwa wa mwaka 86 na mama wa mtoto mmoja ni mtu mwema na mkarimu, kumbuka yule jank wa Field Uncle wake ni mtu wa kazi sana na anasafiri mara kwa mara na anaishi msela mkewe naye yuko DSM Hivyo muda mwingi Jank wa Field anakuwa Peke yake, huku na huku ukazaliwa urafiki baina ya Mother house na jank, Mara Jank anaitwa achukue misosi mara juice nk.

Mara wanacheki tamthiliya hadi mida mirefu. Huku na huko Jank akamaliza Field yake na muda wa chuo kufungua ukawa. Basi bwana asubuhi wapangaji wote wapo makazini home anabaki Mother House na Jack wa field anayekaa kwa Uncle wake.

Siku moja mimi sikwenda kazini kama kawaida yangu basi nikawa chumbani kwangu ila pazia nimelivuta upande. Wa nje hawezi ona ndani ila wandani. Mwendo kama wa saa nne asubuhi hivi nikiwa najipatia kifungua kinywa nikamuona yule jank akimgongea Mother house, wakawa wanaongea pale mlangoni, ila Jank ni kama akawa anamsisitizia jambo na akarudi Ndani kwa Uncle wake.

Nikaendelea kutazama huku machale yakinicheza. Baada ya sekunde kadhaa yule mother house kama mshale akazama kwa Jank baada ya kuangaza jicho kushoto na kulia kiusalama. Mlango ukafungwa Paaaa. Kama nusu saa hivi Akatoka jank uwanjani akazugazuga kucheki usalama akarudi na kumchomoa Bibie akiwa ndani ya dela.

Dhaaa roho iliniuma kama nimetafuniwa mimi. Sema nini kitu ambacho Jank hajua ni kuwa MotherHouse na mumewe(Bro)wote ni POSITIVE na wanatumia dawa mwaka wa 3 sasa.
 
Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia kazi. Basi bhana kijana toka Chuo kadondoka fresh na kuanza kufanya kilichomleta pande hizi. Mother House ambaye ni mzaliwa wa mwaka 86 na mama wa mtoto mmoja ni mtu mwema na mkarimu, kumbuka yule jank wa Field Uncle wake ni mtu wa kazi sana na anasafiri mara kwa mara na anaishi msela mkewe naye yuko DSM Hivyo muda mwingi Jank wa Field anakuwa Peke yake, huku na huku ukazaliwa urafiki baina ya Mother house na jank, Mara Jank anaitwa achukue misosi mara juice nk. Mara wanacheki tamthiliya hadi mida mirefu. Huku na huko Jank akamaliza Field yake na muda wa chuo kufungua ukawa. Basi bwana asubuhi wapangaji wote wapo makazini home anabaki Mother House na Jack wa field anayekaa kwa Uncle wake.
Siku moja mimi sikwenda kazini kama kawaida yangu basi nikawa chumbani kwangu ila pazia nimelivuta upande. Wa nje hawezi ona ndani ila wandani. Mwendo kama wa saa nne asubuhi hivi nikiwa najipatia kifungua kinywa nikamuona yule jank akimgongea Mother house, wakawa wanaongea pale mlangoni, ila Jank ni kama akawa anamsisitizia jambo na akarudi Ndani kwa Uncle wake. Nikaendelea kutazama huku machale yakinicheza. Baada ya sekunde kadhaa yule mother house kama mshale akazama kwa Jank baada ya kuangaza jicho kushoto na kulia kiusalama. Mlango ukafungwa Paaaa. Kama nusu saa hivi Akatoka jank uwanjani akazugazuga kucheki usalama akarudi na kumchomoa Bibie akiwa ndani ya dela. Dhaaa roho iliniuma kama nimetafuniwa mimi. Sema nini kitu ambacho Jank hajua ni kuwa MotherHouse na mumewe(Bro)wote ni POSITIVE na wanatumia dawa mwaka wa 3 sasa.
Dahhh , labda na Jank nae kaukwaa kwani umempima?
 
Ndugu yangu anaishi mkoa mmoja km karibu 700 toka yalipo makazi yake huku anafanua kazi. Huku kamuacha mkewe, Kwa kuwa ananyumba kumbwa na nyingine za kuzunguka amepangisha wapangaji kadhaa. Mmoja wa wapangaji miezi kama 3 iliyopita alimleta mpwa wake ili afanue Field katika taasisi anayofanyia kazi.

Basi bhana kijana toka Chuo kadondoka fresh na kuanza kufanya kilichomleta pande hizi. Mother House ambaye ni mzaliwa wa mwaka 86 na mama wa mtoto mmoja ni mtu mwema na mkarimu, kumbuka yule jank wa Field Uncle wake ni mtu wa kazi sana na anasafiri mara kwa mara na anaishi msela mkewe naye yuko DSM Hivyo muda mwingi Jank wa Field anakuwa Peke yake, huku na huku ukazaliwa urafiki baina ya Mother house na jank, Mara Jank anaitwa achukue misosi mara juice nk.

Mara wanacheki tamthiliya hadi mida mirefu. Huku na huko Jank akamaliza Field yake na muda wa chuo kufungua ukawa. Basi bwana asubuhi wapangaji wote wapo makazini home anabaki Mother House na Jack wa field anayekaa kwa Uncle wake.

Siku moja mimi sikwenda kazini kama kawaida yangu basi nikawa chumbani kwangu ila pazia nimelivuta upande. Wa nje hawezi ona ndani ila wandani. Mwendo kama wa saa nne asubuhi hivi nikiwa najipatia kifungua kinywa nikamuona yule jank akimgongea Mother house, wakawa wanaongea pale mlangoni, ila Jank ni kama akawa anamsisitizia jambo na akarudi Ndani kwa Uncle wake.

Nikaendelea kutazama huku machale yakinicheza. Baada ya sekunde kadhaa yule mother house kama mshale akazama kwa Jank baada ya kuangaza jicho kushoto na kulia kiusalama. Mlango ukafungwa Paaaa. Kama nusu saa hivi Akatoka jank uwanjani akazugazuga kucheki usalama akarudi na kumchomoa Bibie akiwa ndani ya dela.

Dhaaa roho iliniuma kama nimetafuniwa mimi. Sema nini kitu ambacho Jank hajua ni kuwa MotherHouse na mumewe(Bro)wote ni POSITIVE na wanatumia dawa mwaka wa 3 sasa.
Hayakuhusu...kwani wewe haujagonga mke wa mtu ?...Na wewe nenda ukanywe maji ya kisima Kama una wivu kuliko mwenye kisima.
 
Nzi kafia kidondani!
 
Hizi mada muwe mnaweka restriction,waliooa wasisome,mtatuua kwa presha...
 
Mwana kulitafuta mwanakulipata apambane
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom