Jinsi ishara, maajabu na miujiza inavyotajirisha wachungaji na maustadhi feki

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
Watu wamekuwa wahanga wa kubwa wa kutajirisha hawa wachungaji na maustadhi kwa kuendeshwa na imani ya ishara, maajabu na miujiza.

Wahanga hawa kwa asilimia kubwa mno wamekuwa ni wanawake ambao wameumbwa kudanganyika kirahisi mno.

Wachungaji na maustadhi feki wamegeuka kuonekana ni miungu-watu wakati kiukweli inabidi wawe wanahubiri neno la Mungu.

Hali hii imepelekea mpaka kutengeneza matukio ya kuteka imani za wahanga na wengi tumeshuhudia haya matukio.

Kwa mwaka jana pekee, kuna mtu huko Iringa aliyejinadi ni mchungaji alitengeneza tukio la kumnasa mchawi juu ya paa lake ila ikaja kuthibitika baadaye kwamba huyo aliejifanya ni mchawi walikubaliana na mchungaji feki watengeneze hilo tukio ili mchungaji apate ng'ombe (waumini) wengi na kisha kuwakamua maziwa (pesa).

Vivyo hivyo nao ma ustadh hawapo mbali sana maana kuna baadhi wanalipa matangazo kwa mastaa wa Instagram wawatangazie biashara yao ya kusoma visomo watu wenye mikosi, nuksi, n.k. Matangazo yao huwa yana video ya mtu kugalagala kwa kile kinachidhaniwa wanatoa majini.

Wahanga wa hii miujiza ama kwa jina maarufu "NG'OMBE" wamekuwa wakikamuliwa bila huruma kitu kinachowafanya wachungaji na hawa maustaz kuwa mabilionea.

Kwa leo naskia huko Moshi watu 20 wamekufa kwa haya haya mambo. Biashara zimekuwa nyingi za kujitajirisha kupitia hawa ng'ombe.

Kuna mchungaji kawakamata kisawasawa hawa ng'ombe mkoa flani; kaweka vifurushi vya maombi, sikumbuki kiasi sahihi ila kifurushi cha kifungua njia kilikuwa laki 5, kufungua mlango milioni 1 na kufungua geti ni milioni na nusu.

Cha ajabu hawa wahubiri wamekuwa wakiishi maisha ya juu na ya anasa ila hutokuja kusikia wakisaidia waumini wao hata ada za kupeleka watoto wao kusoma.

Mwenye macho na aone! Tumeshuhudia hawahawa wakamuaji wakiwa ni vinara wa ulevi waziwazi na wengine hata video zao kuvuja wakifanya uzinzi na waumini wao, mwenye macho haambiwi, anaona!

Kama ulichofata kanisani ni miujiza, nakushauri uende tu kwa waganga, wapo wengi.
 
Machozi ya Simba, Mkuu pole Sana kwa muda wako, bahati mbaya Ni kwamba HUWA HAWAELEWI.

UNAFIKIRI WATAKUELEWA BASI? UTADHANI WALISHAROGWA

ARUSHA KWETU.
 
Mkuu pole Sana kwa muda wako, bahati mbaya Ni kwamba HUWA HAWAELEWI.

UNAFIKIRI WATAKUELEWA BASI?? UTADHANI WALISHAROGWA

ARUSHA KWETU
Tunakumbushana tu aisee, watu wanatandikwa viboko na hao wakamuaji kwa kisingizio cha kumuondoa jini.
 
Watu wamekuwa wahanga wa kubwa wa kutajirisha hawa wachungaji na maustadhi kwa kuendeshwa na imani ya ishara, maajabu na miujiza.

Wahanga hawa kwa asilimia kubwa mno wamekuwa ni wanawake ambao wameumbwa kudanganyika kirahisi mno.

Wachungaji na maustadhi feki wamegeuka kuonekana ni miungu-watu wakati kiukweli inabidi wawe wanahubiri neno la Mungu.

Hali hii imepelekea mpaka kutengeneza matukio ya kuteka imani za wahanga na wengi tumeshuhudia haya matukio.

Kwa mwaka jana pekee, kuna mtu huko Iringa aliyejinadi ni mchungaji alitengeneza tukio la kumnasa mchawi juu ya paa lake ila ikaja kuthibitika baadaye kwamba huyo aliejifanya ni mchawi walikubaliana na mchungaji feki watengeneze hilo tukio ili mchungaji apate ng'ombe (waumini) wengi na kisha kuwakamua maziwa (pesa).

Vivyo hivyo nao ma ustadh hawapo mbali sana maana kuna baadhi wanalipa matangazo kwa mastaa wa Instagram wawatangazie biashara yao ya kusoma visomo watu wenye mikosi, nuksi, n.k. Matangazo yao huwa yana video ya mtu kugalagala kwa kile kinachidhaniwa wanatoa majini.

Wahanga wa hii miujiza ama kwa jina maarufu "NG'OMBE" wamekuwa wakikamuliwa bila huruma kitu kinachowafanya wachungaji na hawa maustaz kuwa mabilionea.

Kwa leo naskia huko Moshi watu 20 wamekufa kwa haya haya mambo. Biashara zimekuwa nyingi za kujitajirisha kupitia hawa ng'ombe.

Kuna mchungaji kawakamata kisawasawa hawa ng'ombe mkoa flani; kaweka vifurushi vya maombi, sikumbuki kiasi sahihi ila kifurushi cha kifungua njia kilikuwa laki 5, kufungua mlango milioni 1 na kufungua geti ni milioni na nusu.

Cha ajabu hawa wahubiri wamekuwa wakiishi maisha ya juu na ya anasa ila hutokuja kusikia wakisaidia waumini wao hata ada za kupeleka watoto wao kusoma.

Mwenye macho na aone! Tumeshuhudia hawahawa wakamuaji wakiwa ni vinara wa ulevi waziwazi na wengine hata video zao kuvuja wakifanya uzinzi na waumini wao, mwenye macho haambiwi, anaona!

Kama ulichofata kanisani ni miujiza, nakushauri uende tu kwa waganga, wapo wengi.
Mkuu namwiitaji huyo mganga wa kweli
 
Huna mwanadamu anae weza fanya miujiza hayo ni mazingaombwe uchawi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom