Jinsi gani ya kuhifandhi nyama( ya kuku) bila kuwa na friji ?

She loves Me

She loves Me

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Messages
765
Points
1,000
She loves Me

She loves Me

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2017
765 1,000
Mhhh nan kakuchinjia
Naomben msaada sina friji, nataka niwe nahifandhi nyama ya kuku at least ifike siku nne mana niko peke angu siwez mmaliza wote, pia suala la bajeti.

Shukran
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
6,938
Points
2,000
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
6,938 2,000
kumbanika ndo kumchoma juu juu ? Kwa ges nawezafanikisha ?
Sijajua kwa gesi kama inawezekana,

Umchome juu juu ila moto uingie ndani damu ikauke
 
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Messages
2,423
Points
2,000
lazalaza

lazalaza

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2012
2,423 2,000
Mkaange mkuu atadumu walau Tena mkaushe
 
Escaper

Escaper

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Messages
1,780
Points
2,000
Escaper

Escaper

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2018
1,780 2,000
Kama broiler hata usisumbue watu hapa jamvini.
 
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2016
Messages
6,318
Points
2,000
L

LadyRed

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2016
6,318 2,000
1.Mkaange
2.Beba take away kesho yake ule na wenzako mchana
Au
3.karibisha mgeni home mumle aishe
 
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Messages
3,275
Points
2,000
Perimeter

Perimeter

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2014
3,275 2,000
unaila inakaa huko tumboni..hakikisha ukiskia haja huendi toilet maana utakua umeshndwa kuhifadhi.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
8,045
Points
2,000
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
8,045 2,000
Shida nini, hebu nialike tuje kummaliza huyo, siku nyingine zamu yangu kununua
 

Forum statistics

Threads 1,334,524
Members 512,012
Posts 32,479,082
Top